Malezi bora anayotakiwa kupata mtoto kutoka kwa mlezi aw mzazi wakee...

winner09

Member
Sep 29, 2023
9
13
Habari wna jf naomb tupitie hii nakala fupi itatusaidia mahališŸ™šŸ¤

Ni vizur mtoto kupata mda mzur wa kupata malezi mema kutoka kwa wazazi aw walezi wake kabla dunia haijamfunza kip cha kufanya

Maan walezi aw wazazi ndio waalimu wakwanza kuwafundisha watot mambo mema na maadili mazuri na ata mambo na namna njema ya upambanaji

Ni vizur maan mtoto akipata shida inakua rahis kumtegemea mzazi wake kwa msaada kuliko kutegemea watu baki ambao baadae watamwacha na masimango kibao

Ikumbukwe kuwa wazazi/ walezi wna kazi kubwa ya kuwaandaa watoto wao kwa ajili ya ulimwengu Ili iwe rahis wao kupamban na changamoto atakazokabilian nazoo katik safar yake ya ukuajii

Hivyo bc ni wajibu wa kila mzazi/ mlezi kuhakikisha anamwadaa mwanaye kiroho, kiakili, na katika namna ambay itamsaidia katika maisha yakee,

  • kumwandaa katikaa mambo ya kiroho kumjua zaidi Mungu kwa kuwafundisha neno la Mung kutoka katika Biblia/Quran.
  • kumwandaa kitaaluma/ shule kumpa maarifa yanayoend na mambo anayoyosomea na pia kumtia moyo anapokua anakwamaa
  • kumwandaa kisaikolojia ni vema pia wazaz aw walezi kuandaa saikolojia ya watoto mapema ili wawe imara wanapokutana na changamoto waweze kutatua.
-kufundishwa namna nzuri ya kutumia vipaji walivyonavyo ili baadae viweze kuwasaidia
-Kufundishwa namn njem ya kutumia fedha na mali zilizopo pia kuridhika na hali ya nymbani kwao ili iweze kuwasaidia kuishi maish halisi na siyo ya kuiga lakin pia kuongeza juhudi katika kutafta mali zao kwa njia ya halali lkn hili lifanyike kuendan na umri wa mtoto mwenyw
-Kufundishwa kujijali wenywe , kujipenda na hasa la muhimu kujal afya zao ili pia waweze kuepuka mambo mabay kam madaw ya kulevya na mambo mengine mabay
-Pia kuwaepuka marafiki wabaya , wazazi wanaweza kuwasaidia watoto wao aina ya marafiki wem ambao watasaidiana nao.

Mwisho kabisa wazazi tujitahidi kuwapenda watoto wetu na kuwaonesha namna njem ya kuishi ili watakapoingia katika mapambano ya ulimwengu huu kusiwe na lawama zozote kwamba hatukutimiza wajibu wetu ipasavyo.
 
Back
Top Bottom