makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Maandamano makubwa ya watu zaidi ya 180,000 yafanyika Paris ya kupinga chuki zozote dhidi ya Wayahudi

    Hii inapaswa iwafikie walioaminishwa na dini yao kuchukia Wayahudi, hamtaweza kuwafuta duniani maana hamkuwaumba nyie. ========== More than 180,000 people turned out on Sunday to march against antisemitism in France, after a surge in anti-Jewish incidents across the country in the wake of...
  2. K

    Mambo manne makubwa ambayo yataweka mwelekeo wa kisiasa Tanzania

    Kuna Mambo manne muhimu kwa miezi ya karibuni ambayo yataleta mwelekeo wa taifa letu kisiasa katika mambo haya manne matatu ni ya Chadema na mmoja ni la CCM. Chedema inatakiwa kufanya maamuzi magumu kwenye haya mambo matatu 1. Bila katiba na tume huru ya uchaguzi wajitoe kabisa kwenye chaguzi...
  3. Pascal Mayalla

    Tujifunze kuwa na Shukrani kwa Madogo ili Tupatiwe Makubwa!. Japo Tulitaka Kikubwa, Tumepewa Kiduchu!, Tukipokee Tushukuru, au Tususe Kudai Kikubwa?.

    Wanabodi, Huu ni wito kwa Watanzania tujifunze kuwa ni watu wa shukrani, tuwe na shukrani kwa kwa madogo ili tupatiwe makubwa!. Je tujifunze kuwa na shukrani kwa madogo ili tupatiwe makubwa!. Japo tulitaka kikubwa, Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, tumepewa kiduchu tuu!, je tukipokee...
  4. Chief Kumbyambya

    Hivi wanawake wenye makalio makubwa mnajionaje?

    Nisiwafiche, Nyie ni vibonge tuu... Msijione kama Nyie ndo namna gani vipi sio.... Mnariiiinga kisa hayo manyama? Nyie ni vibonge tu kama vibonge wengine. Leo nimeingia tawi moja hivi la NMB hapa town, Ile nafika tu nakuta teller anapiga umbea na mwenzie wa dirisha lingine na sio kwamba...
  5. matunduizi

    Faida ya kuwa Mkristo tajiri mwenye pesa nyingi siku za mwisho

    Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali. Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia. Hii ni fursa kwetu sisi...
  6. K

    Mwendo Kasi Msimbazi ni mateso makubwa sana

    Wadau, Tuko kituo cha Msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi. Tumekaa kama masaa 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300. Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nini?
  7. Gordian Anduru

    Timu 5 kubwa Afrika zinazodhaminiwa jezi na makampuni makubwa

    AL AHLY (ADIDAS) Wanadhaminiwa na kampuni ya kijerumani iitwayo ADIDAS ikumbukwe kuwa Adidas pia wanadhamini FC BAYERN MUNICH, FC SCHALKE 04, MAN UNITED, ARSENAL, LEICESTER CITY, JUVENTUS, REAL MADRID na timu KUBWA zingine nyingi WYDAD AC(MACRON) Wanadhaminiwa na kampuni ya kitaliano iitwayo...
  8. John Gregory

    Timu ambayo haijawahi kufika fainali mashindano yoyote makubwa kujilinganisha na timu yenye medali za CAF

    Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa sana katika bara la Afrika kiujumla kwa kutwaa medali na tuzo za kumwaga! Walau Yanga unaweza kuiweka...
  9. R

    Ufafanuzi wa Serikali: Kuvuja maji Uwanja wa Mkapa ni sababu ya ukarabati mkubwa uwanjani hapo

    Serikali kupitia wizara ya utamaduni, sanaa na michezo imetoa tamko rasmi kutokana na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha kuvuja kwa maji katika moja ya sehemu ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
  10. Peter Dafi

    Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

    MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI. Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu Paul C. Makonda anatarajiwa kupokelewa Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba, Mkoani Dar es Salaam. Viongozi, Wanachama wa CCM...
  11. sky soldier

    Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

    "USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo. Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao...
  12. Wimbo

    Maandalizi ya kubinafsisha Bandari yalikuwa makubwa, sasa ni reli

    Mheshimiwa Posi nimekusikiliza vizuri kipindi cha jambo na nimesoma citizen ninakukupa maua yako toka nyota yako ilipong'ara serikali ya awamu ya Tano umefaa kila kona uliyopelekwa kutumikia Taifa, naamini unaweza kuishauri serikali ikakusikia kama mwana uchumi. Hivi inaingia akilini kweli...
  13. MamaSamia2025

    Video: Huyu kijana wa Arusha kaongea mambo makubwa tofauti na matarajio ya wengi

    Tazama video usikilize. Kaupiga mwingi.
  14. Pascal Mayalla

    Prof. Lipumba: Nina Matumaini Makubwa na Rais Samia, Chaguzi Zijazo Zitakuwa Huru na Haki!, Mambo ya 2019/2020 Yasijirudie!

    Wanabodi, Nimeanzisha mfululizo wa makala za Uso kwa Uso, au Face to Face Vox Pop, ambapo nikialikwa event yoyote, nitakuwa nafanya mahojiano mafupi ya face to face kupata Vox Pop ya baadhi ya washiriki wa event hiyo Face2Face ya leo ni c̅ M/Kiti CUF, Prof. Lipumba - "Nina Matumaini Makubwa na...
  15. Afro Super Bags

    Nimefungua account ya CRDB BANK ila naogopa kuweka akiba, nasikia wanamakato makubwa sana

    Mimi ni mfanyabiashara mdogo, natengeneza vikapu vya ain mbalimbali. Kwa siku nyingi sikuweza kuwa na account ya bank kutokana na gharama kubwa za kufungua account, hivyo pesa yangu niliitunza kwenye line ya simu. Juzi kati nikiwa kwenye biashara yangu nilitembelewa na watumishi wa CRDB BANK...
  16. Lord Denning

    Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

    Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu. Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu. Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?
  17. T

    Nakusudia kuitisha maadamano makubwa nchi nzima ili kupinga mgao wa umeme ambao ni wa kutengenezwa ili kuumiza wananchi!!

    Jamani naomba mniunge mkono biashara yangu inakufa tra wanataka Kodi yao mwenye frem anataka Kodi yake nayaona maisha yangu yanakufa hivihivi. Kilichonikatisha tamaa ni kuona serikali imerelax kabisa haina hata wasiwasi. Wanakuja na majibu rahisi mno, eti tusubiri miezi 6! Naomba watanzania...
  18. DR HAYA LAND

    Ukiwa una dharau kundi lolote katika jamii yako, sahau kabisa kuhusu Mafanikio Makubwa

    Ili upate pesa zinazohesabika Unabidi kuheshimu kila MTU katika Jamii yako. Maana mfanyabiashara anahitaji pesa ya kila MTU uwe, masikini, uwe tajiri, uwe mlevi, Uwe shekh, uwe mchungaji nk. Hii kanuni inatumiwa na watu wenye Mafanikio kila hatua unayopiga huwa anasogeza Ukaribu zaidi na jamii...
  19. MSAGA SUMU

    Maharage: Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta

    Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta. Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo. "Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi...
  20. Mr Why

    Zifahamu mbinu wanazotumia Mataifa makubwa kufanikiwa

    Ndugu zangu tunapozungumzia Mataifa makubwa tunawalenga Marekani, Ujerumani, Wiingereza, Japan, China, Korea nakadhalika. Haya ni mataifa makubwa yalifanikiwa tangu zamani na wakati mwingine mataifa mengine yanajiuliza ni mbinu gani wanazotumia kufanikiwa. Jambo la kushangaza ni kuwa mbinu...
Back
Top Bottom