Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.

Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.

Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani

Kwa uchache naowajua ni hawa ila tuzidi kujuzana kupitia comments

SONGEA -

Ottawa - real estate na mabasi

Super Feo - Biashara yake ni ya mabasi, Kakamata route nyingi za Songea na Njombe.

MBEYA -

Achimwene - tajiri mchimba dhahabu za Chunya, Biashara yake ni mabasi, kila baada ya miezi kadhaa i kawaida kuona kazindua mabasi mapya mjini.

Sauli - Nae ni mchimba dhahabu huko Chunya, Anamiliki mabasi chapa ya Scania.

Machemba - Msambazaji mkubwa wa hardware

Maranatha - Anamiliki chain ya maduka ya madawa na hospitali.

Nasoma - kijana ana duka kubwa la Hardware

Sugu - Mwana aliezeeka sio wa kumchukulia poa, nae kimtindo yumo yumo katika madon maaraufu wa Mbeya

MANYARA

Laizer - huyu mzee alipiga mshindo mzito sana na kujipatia umaarufu kupitia madini ya Tanzanite
 
Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.

Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.

Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za kimataifa, iwe ligi yetu ya watanzania wa asili.

Kwa uchache naowajua ni hawa ila tuzidi kujuzana kupitia comments

SONGEA -

Super Feo - Biashara yake ni ya mabasi, Kakamata route nyingi za Songea na Njombe.

MBEYA -

Achimwene - Biashara yake ni mabasi, anazidi kuleta mafuriko ya mabasi kila baada ya miezi kadhaa

Weka na Chapaulinge, Memba, Tunyande, Andrew Midu, Fresh ya Shamba, Mafegi, Okoa, Sombrero, Safina
 
Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.

Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.

Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za kimataifa, iwe ligi yetu ya watanzania wa asili.

Kwa uchache naowajua ni hawa ila tuzidi kujuzana kupitia comments

SONGEA -

Super Feo - Biashara yake ni ya mabasi, Kakamata route nyingi za Songea na Njombe.

MBEYA -

Achimwene - Biashara yake ni mabasi, anazidi kuleta mafuriko ya mabasi kila baada ya miezi kadhaa

Sugu - Mwana aliezeeka sio wa kumchukulia poa, nae kimtindo yumo yumo katika madon maaraufu wa Mbeya

MANYARA

Laizer - huyu mzee alipiga mshindo mzito sana na kujipatia umaarufu kupitia madini ya Tanzanite
Daaah sikutegemea uzi utakuwa mwepesi hivi, kama hujatembea au huna taaria za kutosha ungepiga kimya.

Mfano mby

Kuna kina saul

Achimwene

Machemba

Tughimbe

Nasoma

Mkulu nk.

Huko Songwe kuna kina

Ntanyinya nk
 
Kusema MTU ni tajiri..lazima value YA asset zake /investment ziwe kuanzia 1milliom USD

Pia kwanini uwatenge wahindi au waarabu kwani wao Sio wazawa..acha ubaguzi

Watu Wana Hela Ila Sio ropp ropo, mfano watu Wa madini Geita, Mwanza Kuna Akina Gachuma (CMg investment

CMg investment..inakadiriwa kuwa Na ukwasi Wa Zaidi YA billion 20 ana kampuni za ujenzi, coca YA Mwanza, hotel new Mwanza hotel etc

Zuberi ana mabasi YA kutosha
 
Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.

Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.

Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za kimataifa, iwe ligi yetu ya watanzania wa asili.

Kwa uchache naowajua ni hawa ila tuzidi kujuzana kupitia comments

SONGEA -

Super Feo - Biashara yake ni ya mabasi, Kakamata route nyingi za Songea na Njombe.

MBEYA -

Achimwene - Biashara yake ni mabasi, anazidi kuleta mafuriko ya mabasi kila baada ya miezi kadhaa

Sugu - Mwana aliezeeka sio wa kumchukulia poa, nae kimtindo yumo yumo katika madon maaraufu wa Mbeya

MANYARA

Laizer - huyu mzee alipiga mshindo mzito sana na kujipatia umaarufu kupitia madini ya Tanzanite
Mwanza
Guitar
Arusha
Moshi
Dodoma
Sumbawanga
Shinyanga
Kigoma
Iringa
Mtwara
Dodoma
Singida
Kahama
Etc
 
Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa.

Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani.

Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za kimataifa, iwe ligi yetu ya watanzania wa asili.

Kwa uchache naowajua ni hawa ila tuzidi kujuzana kupitia comments

SONGEA -

Super Feo - Biashara yake ni ya mabasi, Kakamata route nyingi za Songea na Njombe.

MBEYA -

Achimwene - Biashara yake ni mabasi, anazidi kuleta mafuriko ya mabasi kila baada ya miezi kadhaa

Sugu - Mwana aliezeeka sio wa kumchukulia poa, nae kimtindo yumo yumo katika madon maaraufu wa Mbeya

MANYARA

Laizer - huyu mzee alipiga mshindo mzito sana na kujipatia umaarufu kupitia madini ya Tanzanite
UPEO WAKO MDOGO SANA.
 
Back
Top Bottom