Tuache kufarijiana huko nje kwa maneno ya kijinga,Hakuna Mwanaume wa Kiafrika asiyependa au Kumtamani Mwanamke mwenye Makalio Makubwa!

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu!



Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize kwa kupenda Mishangazi yenye matako makubwa!

Hivi nani aliwaambia wanaume wa Kiafrika hawapendi wanawake wenye makalio makubwa?,Ukiona mwanaume wa kiafrika hapendi mwanamke mwenye makalio makubwa huyo atakuwa na kibamia!,Lakini siye wengine wenye inch kuanzia 5 na kuendelea lazima hayo matukuyema tunayapenda.

Raha ya Mwanamke ni matako,Matako yanaleta hisia na mshawasha,Mwanamke asiyekuwa na matako makubwa ni sawa na chai (Strungi) isiyo kuwa na viungo!. Kama Mwanamke umeumbwa bila kuwa na Makalio makubwa wala usijisikie Vibaya,wewe tafuta wazungu kwasababu ndiyo huwa wanapenda hizo type kama yako,lakini wanaume wa kiafrika tunapenda wanawake wenye wezere a.k.a wowowo!.


Huu uzi nadhani ni kwaajili ya wenye wowowo kama FaizaFoxy ,nyie miko ya pilau mpite kwa kunyata!
 
_20240105_232715.JPG
 
Back
Top Bottom