Paul Makonda na vijana wenzake ndio kizazi kilicho bora zaidi kitakacholeta mageuzi makubwa

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.

Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu siasa.

Kizazi kipya Kitakacho kuja kuleta mageuzi makubwa ni hiki cha akina Paulo Makonda, Ally Happy na akina Lengai Ole Sabaya bila kujalisha matokeo ya sasa. Tusimchukie makonda tumuombee.
 
Nyie watu tuliwaita wajinga, sasa tunawaita wapumbavu na tutaendelea kuwaita malofa .
Makonda madudu yake yote yako wazi , mahakama zikamtetea kwa hila alivyokosa akili akawasema vibaya licha ya kumpigania kwa hila.
Makonda mpuuzi juzi kaipa serikali hasara ya bilioni 2.
 
Nikushauri kitu. Kum'pamba mtu, kaa chini bila papara, tafiti, andika, futa, soma tena, andika ili angalau usipate mashambulizi binafsi bali upingwe kwa hoja!
 
Yes kwa Nchi ilio jaaa wapumbvu kama wewe sishangai
 
Mageuzi ya Nini na ya kwenda wapi ?

Kabla ya yote lazima tujue tunataka kwenda wapi na tumekwama wapi na kwanini ?; Shida ni Watawala na kwa wewe kuamini mtu na sio watu wanaweza wakawatoa hapa mpaka pale ni kupotoka (Hususan kizazi hiki cha sasa cha umimi) kamwe hakiwezi kukusaidia wewe, bali kitajisaidia kwa kukufanyia maigizo...

Tunahitaji Sera zinazoendana na wakati / sayansi na teknolojia; Tunahitaji watu wapate ujira wa kuendesha maisha yao (practically na sio theories)....; Tunahitaji kuwavuta wasionacho angalau wapige hatua kidogo kupunguza matabaka (Extreme Poverty anywhere is a threat to Human Security Everywhere)

Hivyo watakaoleta mageuzi ni wananchi wenyewe watakaoendelea kupigika, cha kuomba hio iwe sooner na sio later sababu ikitokea later huenda tusirudi kwenye reli....
 
Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.

Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu siasa.

Kizazi kipya Kitakacho kuja kuleta mageuzi makubwa ni hiki cha akina Paulo Makonda, Ally Happy na akina Lengai Ole Sabaya bila kujalisha matokeo ya sasa. Tusimchukie makonda tumuombee.
Labda akifa Kikwete. Ana uwezo wa kuwasambaratisha apendavyo.
 
Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.

Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu siasa.

Kizazi kipya Kitakacho kuja kuleta mageuzi makubwa ni hiki cha akina Paulo Makonda, Ally Happy na akina Lengai Ole Sabaya bila kujalisha matokeo ya sasa. Tusimchukie makonda tumuombee.
Mchepuko
 
Takataka
 
Wewe ni moja ya watu mjinga sana kusini mwa jangwa la sahara...
 
Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.

Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu siasa.

Kizazi kipya Kitakacho kuja kuleta mageuzi makubwa ni hiki cha akina Paulo Makonda, Ally Happy na akina Lengai Ole Sabaya bila kujalisha matokeo ya sasa. Tusimchukie makonda tumuombee.
Tutolee upumbavu wako hapa. Hao vijana wadogo wenye roho za kishetani hawafai hata kuwa uraiani. Huyo Hapi asiye na nidhamu kiasi cha kutukana wastaafu hafai. Lengai ninaweza kumtaja kama laana ya taifa. Lengai ni kijana mshenzi zaidi kuwahi kutokea kwenye uongozi wa CCM na serikali.
 
Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi.

Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa unaowaona Leo 2030 watakuwa wamekata pumzi kabisa. Wengi watakuwa wamezeeka na wengine wamestaafu siasa.

Kizazi kipya Kitakacho kuja kuleta mageuzi makubwa ni hiki cha akina Paulo Makonda, Ally Happy na akina Lengai Ole Sabaya bila kujalisha matokeo ya sasa. Tusimchukie makonda tumuombee.
Mpumbavu.
 
Nyie watu tuliwaita wajinga, sasa tunawaita wapumbavu na tutaendelea kuwaita malofa .
Makonda madudu yake yote yako wazi , mahakama zikamtetea kwa hila alivyokosa akili akawasema vibaya licha ya kumpigania kwa hila.
Makonda mpuuzi juzi kaipa serikali hasara ya bilioni 2.
Hakuna binadamu Ambae hana madudu hata wewee hapo una madudu
 
Nikushauri kitu. Kum'pamba mtu, kaa chini bila papara, tafiti, andika, futa, soma tena, andika ili angalau usipate mashambulizi binafsi bali upingwe kwa hoja!
Mashambulizi ni kawaida hapa kwetu jf nimeandika nachokiamini nikiwa na akili timamu kabisa
 
ili jambazi sugu mahali anapostahili kuwa kwa sasa ni jela akisubiria kunyongwa hadi afe
Majambazi wakitajwa hata wewee huwezi kuachwa ni jambazi mzuri tu tuanze kukutia jela wew kwanza
 
Back
Top Bottom