Tuacheni uzinifu, madhara yake ni makubwa sana hata ukitoa magonjwa yaliyopo

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Leo ngoja niweke ushahidi wangu binafsi.

Kuna mahala kwenye mijadala yangu humu niliwahi kusema nina mke mmoja na michepuko watatu ila watu wakapinga. Lakini ukiachana na michepuko hao watatu wapo wengine wasio rasmi ambao kila nikikanyaga mikoa husika nachagua mmoja aje kutoa huduma. Hapo haujapigia wale barmaids ambao nikilewa nikamtamani basi analipiwa counter naondoka nae.

Kuna madhara makubwa sana ya kisaikolojia ninayoyapata. Yaani imefikia hatua kiasi kwamba mwanamke hata awe mzuri vipi, nikishalala nae mara moja tu namuona kama katuni, yaan ghafla namchukia tu, na simtamani tena.

Hali hii imefikia hadi kwa mke wangu alionizalia watoto wanaotambulika ni wanangu. Yaan nikiwa nae sina kabisa hamu nae. Hapa pemyewe weekend inaisha nipo mkoa iliopo familia yangu lakini weekend nzima sikuweza kukaa nyumbani, nina lodge hapa mjini nimejifungia na kitoto toka ijumaa jioni kesho ndo nitamtimua, na hapa nimeshaishiwa hamu nae yaan natamani nimfukuze sasahivi.

Wakuu tupunguzeni uzinzi, una madhara sana kisaikolojia ukiachia kiafya, miaka ya zamani sikua hivi kabisa. Uzinzi ukikutana na hela na pombe ujue umeingia jehanam ya duniani, na kuchomoka sio rahisi.
 
Yaani wewe na mimi CHAPUTA hatuna tofauti kabisa

though jamii inanisema mimi na kukusifu wewe, ila ni unafki tu

wote ni watumwa wa chululu
Hapana, kuwa na heshima.

Usinifananishe na chaputa, hao ni weakest version ya wanaume.

Hata niwe na upwiru vp, siwezi tomba mkono au mafuta au sabuni, huo ni udhaifu na unapunguza uanaume wako
 
Hali hii imefikia hadi kwa mke wangu alionizalia watoto wanaotambulika ni wanangu. Yaan nikiwa nae sina kabisa hamu nae. Hapa pemyewe weekend inaisha nipo mkoa iliopo familia yangu lakini weekend nzima sikuweza kukaa nyumbani, nina lodge hapa mjini nimejifungia na kitoto toka ijumaa jioni kesho ndo nitamtimua, na hapa nimeshaishiwa hamu nae yaan natamani nimfukuze sasahivi.
 
Leo ngoja niweke ushahidi wangu binafsi.

Kuna mahala kwenye mijadala yangu humu niliwahi kusema nina mke mmoja na michepuko watatu ila watu wakapinga. Lakini ukiachana na michepuko hao watatu wapo wengine wasio rasmi ambao kila nikikanyaga mikoa husika nachagua mmoja aje kutoa huduma. Hapo haujapigia wale barmaids ambao nikilewa nikamtamani basi analipiwa counter naondoka nae.

Kuna madhara makubwa sana ya kisaikolojia ninayoyapata. Yaani imefikia hatua kiasi kwamba mwanamke hata awe mzuri vipi, nikishalala nae mara moja tu namuona kama katuni, yaan ghafla namchukia tu, na simtamani tena.

Hali hii imefikia hadi kwa mke wangu alionizalia watoto wanaotambulika ni wanangu. Yaan nikiwa nae sina kabisa hamu nae. Hapa pemyewe weekend inaisha nipo mkoa iliopo familia yangu lakini weekend nzima sikuweza kukaa nyumbani, nina lodge hapa mjini nimejifungia na kitoto toka ijumaa jioni kesho ndo nitamtimua, na hapa nimeshaishiwa hamu nae yaan natamani nimfukuze sasahivi.

Wakuu tupunguzeni uzinzi, una madhara sana kisaikolojia ukiachia kiafya, miaka ya zamani sikua hivi kabisa. Uzinzi ukikutana na hela na pombe ujue umeingia jehanam ya duniani, na kuchomoka sio rahisi.
Nenda ukaombewe ni pepo hilo, yani wewe ngono unaichukulia kama dhahabu wakati ni kitu cha kawaida sana
 
Pole mkuu, najua ushawaka kwasababu ya pipe..😪
 
Attachments

  • IMG-20230515-WA0003.jpg
    IMG-20230515-WA0003.jpg
    17 KB · Views: 4
Leo ngoja niweke ushahidi wangu binafsi.

Kuna mahala kwenye mijadala yangu humu niliwahi kusema nina mke mmoja na michepuko watatu ila watu wakapinga. Lakini ukiachana na michepuko hao watatu wapo wengine wasio rasmi ambao kila nikikanyaga mikoa husika nachagua mmoja aje kutoa huduma. Hapo haujapigia wale barmaids ambao nikilewa nikamtamani basi analipiwa counter naondoka nae.

Kuna madhara makubwa sana ya kisaikolojia ninayoyapata. Yaani imefikia hatua kiasi kwamba mwanamke hata awe mzuri vipi, nikishalala nae mara moja tu namuona kama katuni, yaan ghafla namchukia tu, na simtamani tena.

Hali hii imefikia hadi kwa mke wangu alionizalia watoto wanaotambulika ni wanangu. Yaan nikiwa nae sina kabisa hamu nae. Hapa pemyewe weekend inaisha nipo mkoa iliopo familia yangu lakini weekend nzima sikuweza kukaa nyumbani, nina lodge hapa mjini nimejifungia na kitoto toka ijumaa jioni kesho ndo nitamtimua, na hapa nimeshaishiwa hamu nae yaan natamani nimfukuze sasahivi.

Wakuu tupunguzeni uzinzi, una madhara sana kisaikolojia ukiachia kiafya, miaka ya zamani sikua hivi kabisa. Uzinzi ukikutana na hela na pombe ujue umeingia jehanam ya duniani, na kuchomoka sio rahisi.
eti kuchomoka sio rahisi.!?
~hela ikikata utachomoka
~ukifumaniwa kibabe utachomoka
~uki paralyze wakati wa uzinzi utachomoka
~ukiheshimu kiapo cha ndoa utachomoka
~magonjwa yakianza kukutafuna utachomoka
~ukimpenda Mungu utachomoka
~ukimpenda na kumthamini mkeo utachomoka
~

Sasa kati yetu na wewe nani mzinzi hapa? Sisi ndio tunatakiwa kukushauri wewe. Hayo unayotwambia sisi, inabidi wewe ndio uyafanyie kazi.
 
eti kuchomoka sio rahisi.!?
~hela ikikata utachomoka
~ukifumaniwa kibabe utachomoka
~uki paralyze wakati wa uzinzi utachomoka
~ukiheshimu kiapo cha ndoa utachomoka
~magonjwa yakianza kukutafuna utachomoka
~ukimpenda Mungu utachomoka
~ukimpenda na kumthamini mkeo utachomoka
~
~
Mimi nakwambia from personal experience, pombe ukiunganisha na uzinzi halafu ukawa na pipeline ya hela ambayo ni ngumu kuisha basi huchomoki kamwe.

nina bonds ambazo hata nisipofanya kazi mwaka mzima nina uhakika wa kula kulala na kuhudumia watu wa muhimu,
 
Back
Top Bottom