makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Celebrities matajiri kwa ngazi za mikoa. Ni kweli asilimia kubwa ya Matajiri wapo Dsm lakini nako mikoani sio kwa kuwachukulia poa, uzi huu unawahusu wenye mawe yao huko mikoani. Wahindi na waarabu tuwaweke pembeni kidogo ni ligi za ugenini, hebu tudeal na ligi za timu asili za nyumbani Kwa...
  2. Jidu La Mabambasi

    January 1964, maasi ya jeshi na mwaka wa matatizo makubwa Tanganyika na Afrika Mashariki nzima!

    https://youtu.be/NlMzNWph_tE?si=ZEn2izCLvieZG_Th Vijana sasa hivi hawajuia yaliyo tokea miaka 60 iliyopita. Namshukuru Mungu, mimi nilishuhudia hata kama ni kiduchu na nilikuwa mdogo sana. Tukiishi Temeke miaka hiyo, na kambi kuu za jeshi Mgulani zilikuwa karibu sana. Nilikuwa na miaka saba...
  3. X

    Makampuni makubwa yanaogopa na kusuasua kuwekeza Marekani

    Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC, HONDA na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji. Tuanze na makampuni ya kutoka nje yaliyoonyesha nia kuwekeza katika sekta ya utengenezaji chips (semiconductors) ●TSMC Hii ni kampuni ya kutengeneza chips (semiconductor) ambayo makao...
  4. U

    Taasisi ipi ya Kiislamu ambayo ni mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi kwa mafanikio yake makubwa hapa nchini Tanzania?

    Wadau hamjamboni nyote? Je ni taasisi gani ya Kiislamu hapa nchini Tanzania ambayo imeanzishwa na kuendeshwa kwa mafanikio makubwa hususani kwenye Menejimenti hivyo kuwa mfano wa kuigwa miongoni mwa taasisi husika? Lugha zisizo na staha hazikubaliki Niwatakie sikukuu njema ya Noel
  5. Webabu

    Maandamano makubwa yafanyika Morocco kutaka kufutwa mahusiano na Israel

    Japokuwa Morrocco wamekuwa wakiandamana mara kwa mara dhidi ya Israel, lakini maandamano ya jana disema 24 ndiyo makubwa zaidi kufanyika kwa ajili ya kuitaka nchi yao kusitisha mahusiano yote yaliyokubaliwa mwaka 2020. Maandamano hayo yaliyosimamiwa na chama cha Kiislamu cha Al adl wal ihsan...
  6. William Mshumbusi

    Baada ya chama anafata Phiri

    Walai naapa baada ya chama anaenda kumwagwa Phiri kwa karanga za kuonjeshwa za Onana. Naaapa mkimaliza kuwafukuza timu inaenda kufikinika. Fitna hazijengi na Uongozi unaenda kufikinika. Nawaombea mkimaliza fitna na msivuke makundi kabisa.
  7. William Mshumbusi

    Chama hajagombana na kocha bali viongozi. Ata kama mmemchoka mmuache kwa heshima sio mizengwe ameifanyia makubwa klabu pia

    Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni. Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja. Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali...
  8. Nanamucho

    Aliyewaambia hatupendi matango makubwa kawadanganya

    Kuna pahala nimesoma eti yule kaka kaandika ya kwamba mwanaume kuwa na uume mkubwa ni mateso tu kwani wanawake hawapendi! Weeeeee thubutu! Nani alikwambieni hatupendi naniliu kubwa? Huyo aliendika huo ujumbe wenda yeye anako kananiliu kadogo ndo maana anataka sapoti ya wenye vidogo wenzie...
  9. Melki Wamatukio

    Picha: Hivi mpaka sasa bado kuna wanandoa ambao hutenganisha chumba chao kuwa vyumba viwili kwa kutumia mashuka makubwa?

    Hizi mambo mara ya mwisho kuziona ilikuwa ni 2008. Nimeshtuka sana pale nilipocheki chumba cha mfanyakazi mwenzangu Ona sasa!
  10. R

    Waliomdhalilisha Tido Muhando na kumtoa TBC na kumbambikia kesi za jinai leo wanajitokeza bila aibu kumpongeza kwa mafanikio makubwa ya Azam

    Tido mzee wa watu katika utumishi wake alijenga CV nzuri ndani na kimataifa. Walipoona anafanikiwa na anazidi kupata jina Duniani wakamwita na kumkabidhi TBC. Akaweka mikakati kiwe chombo cha umma kinachozingatia maadili. Akakataa miradi ya rushwa mara TBC ikaanza kupata watazamaji wakiwemo wa...
  11. Ritz

    Maandamano makubwa Tel Aviv, baada ya Wanajeshi wa IDF kuwaua mateka watatu huko Gaza

    Wanaukumbi. Maandamano makubwa huko Tel Aviv Israel. Wananchi wa Israel wanapiga kwa nini jeshi la nchi yao limewaua mateka wao, Wananchi wanahoji kwa nini waliwapiga risasi wakati hawakuwa na silaha… Wananchi wa Israel wanaitaka mateka warudia wakiwa hai...
  12. B

    Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe. Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine? Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo...
  13. B

    Kinywaji gani chenye kilevi lakini madhara yake si makubwa hapa Tanzania?

    Asilimia kubwa ya vitu vingi tunavyovitumia inasemekana vina madhara.Nasikia hadi soda eti zina madhara pengine kuliko hata baadhi ya pombe.Kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenzetu,pombe ipi angalao madhara yake ni kidogo kuliko zingine?Je ni spirit,lager,light,red wine au ni ipi?Siyo lazima...
  14. GENTAMYCINE

    Majanga makubwa yakitokea nchi zenye vyombo vya habari makini kipaumbele huwa ni Tukio, ila kwetu kipaumbele ni Kuipamba Mamlaka!

    Binafsi nilitegemea baada ya Tukio la Hanang Mkoani Manyara Media ya Tanzania ingekuwa inatupa Elimu zaidi ya nini kimesababisha na hata kutoa tahadhari zaidi kwa eneo husika au maeneo mengine yenye Jiografia kama ya Hanang ili kujiepusha na Majanga makubwa mengine. Ila cha kushangaza na...
  15. I

    Maboresha makubwa hospitali ya Muhimbili

    Leo nimepita hospitali ya Muhimbili nimefurahishwa sana na maboresho ya miundombinu kuanzia utaratibu wa kuingia na kutoka magetini, vibao vya ishara, sehemu za kupumzika wageni/wagonjwa, huduma nzuri ya Askari wa SUMA JKT, majina ya wards nk. Hongera sana uongozi wa Hospitali ya Muhimbili...
  16. Erythrocyte

    CHADEMA yatuma salamu za rambirambi kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababisha maafa huko Hanang

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa chama cha kwanza cha siasa Nchini Tanzania kutuma rambirambi zilizoambatana na salamu za pole kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea huko Hanang na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 20 , huku watu wengine wakiwa hawajulikani walipo. Pia...
  17. Aliko Musa

    Kanuni 50 Za Kuwekeza Kwenye Ardhi Na Majengo Kwa Mafanikio Makubwa

    Kanuni Na. 04. Kuwa Na Fokasi. Fokasi ni kuchagua mtaa mmoja na kuwaachia mitaa mingine wawekezaji wengine. Fokasi ni kujenga timu bora sana kwenye mkoa mmoja au wilaya moja na kuacha mikoa/wilaya zingine wawekezaji wengine. Fokasi ni kuchagua njia/mbinu moja ya kuwekeza kwenye ardhi na...
  18. Pfizer

    TAWA yajipanga kuiingizia serikali mapato makubwa kupitia Makuyuni Wildlife Park

    Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA Dr Simon Mduma amesema mpango mkatati wa kibiashara wa kuendeleza shughuli za utalii eneo la Makuyuni Wildlife Park uliondaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA unatarajiwa kuiingizia Serikali mapato makubwa ikiwa ni pamoja...
  19. T

    Kama Mpira umetushinda, tunawezaje kuleta mapinduzi makubwa kiuchumi na kisiasa?Jibu ni hatuwezi

    Pesa nyingi tunazotumia kwenye mambo ya ajabu kama vile kuwalipia mashabiki viingilio au hata kununua mechi kwenye ligi nk tungezitumia kufanya maendeleo ya soka. Wazungu wana maneno mawili kwenye soka Class Form Class is permanent, form is temporary Hadhi ya Morocco ni kubwa sana...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo makubwa ambayo wengi hawayajui kumhusu Nabii Ibrahim

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Licha ya Umashuhuri wa jina lake, ambao mpaka leo hakuna mzee wa nyakati zake ambaye anamfikia kwa umaarufu na umashuhuri. Umashuhuri wa jina lake umebebwa na Ufuasi wa kufa kuzikana, machozi, jasho na damu kwa waumini wa dini zenye Chimbo lake ambazo ni...
Back
Top Bottom