RPC Morogoro amepewa madaraka makubwa kuliko uwezo wake wa kufikiri

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,552
Morogoro kwasasa si mkoa salama, vitendo vya uporaji kwa kutumia bodaboda vimeongezeka, vikundi vya uhalifu vinasumbua sana katika baadhi ya mitaa na kufanya raia waishi kwa hofu.

Cha ajabu jeshi la polisi limeweka jitihada kubwa kupambana na bajaji, yaani ikifika saa 1 jioni, polisi wenye silaha zamoto huanza kukamata bajaji na kuzipiga faini ya laki 2 kwa kisingizio kuwa haziruhusiwi kuingia mjini.

Cha ajabu ni kwamba ifikapo sa 1 jioni daladala karibu zote huwa zimepaki japo idadi kubwa ya raia bado wanakuwa mjini hivyo vijana wa bajaji hutumia fursa hiyo kujipatia mkate wa kila siku.

Juzi Boss la DP World nilikuwa najaza mafuta (full tank) kwenye sheli moja mjini morogoro, ghafla nikaona purukushani bajaji moja imekosa mwelekeo kumbe askari kaingiza mkono kuizima ili waikamate.

Baada ya kumkamata yule kijana wakampiga kisha gari ikaja wakamchukua, polisi mmoja akawa anaendesha bajaji kuelekea kituoni. Binafsi nilijua labda ni mhalifu nikataka kulipongeza jeshi la polisi kwa kazi mujarab

Kuja kufuatilia naambiwa ni zoezi la ukamataji bajaj na baada ya kufuatilia kwa kina nikabaini ni agizo toka kwa RPC ili kuongeza makusanyo yatokanayo na faini (ubunifu wa kipumbavu kabisa)

BILA SHAKA HUYU RPC AMETUMWA NA MAKONDA KUFANYA HAYA ILI KUTEKELEZA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI.

BAJAJ MOROGORO, MAKONDA AKIFIKA KWENU MUULIZENI KWANINI ANAWAFANYIA HIVYO?
 
Kwanini msimchape makofi
 
Boss ulihuzuria mazishi kule Zanzibar?
 
Polisi huwa wanapenda sana kuendesha vyombo vya moto vya wanaume iwe Bajaji,gari au pikipiki.

Sijui kwanini wasinunue vyao au wamwambie boss wao awanunulie.
Wakazi wa Moro inabidi wawe smart kwenye chaguzi.
Huku Chuga hakuna ujinga wa kukamata bajaji wala TOYO ya mtu.
 
Hicho kituo Cha mafuta hapo karibu na stendi ya zamani itawaliza Sana. Siku moja nmetoka msamvu Ile nafika tu hapo sheli Ile nmeshuka nataka nitoe pesa naona bajaji imekaza mwendo inakimbia huku jamaa ananichungulia tu mlangoni kama vile nauli anaitamani lakini kuichukua pagumu. Nikabaki nashangaa then nikajagundua jamaa kaona polisi waliokuwa wanawinda bajaji zinazopaki sehemu isiyo sahihi
 
Back
Top Bottom