Uraibu wa mizigo yenye makalio makubwa

Hayo yote ni ubatili mtupu na kujilisha upepo. Uzinzi na uasherati ni dhambi, na wote wafanyao hayo hawataurithi Ufalme wa Mungu, wala msidanganyike, Mungu hadhihakiwi. Biblia inasema wema wa Mungu unatuvuta ili pengine tutageuka na kutubu, maana yake ukiona upo hai leo jua Mungu amekuweka hai kwa Neema tu ili pengine ubadili njia zako umrudie ili uponye nafsi yako, kwasababu ameweka siku atakayowahukumu wanadamu wote, matendo kama haya yote watu watatolea hesabu na watalia na kusaga meno. Ufanyapo hayo yote jua Mungu anakuona na anakusikitikia.

Yesu alisema, itamfaa nini mtu aupate ulimwengi wote ila mwisho aende motoni? hivi itakufaa nini ndugu yangu?

Marko 8:36 SWAHILI: 36Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? 37Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake? ENGLISH: For what shall it profit a man, if he shall gain the whole world, and lose his own soul? Or what shall a man give in exchange for his soul?

yaani, upate wanawake woote dunia yote, upate pesa zooote, upate kila kitu ambavyo vyote vya dunia hii ni vya kitambo tu, lakini uukose uzima wa milele. watu wanaenda hadi kwa waganga, wanauwa, wanaiba, wanaonea, wanazurumu, wanazini ili wapate kitu, wanafanya yote, Mungu anawaona na Mungu anatamani mbadilike kwasababu kama hamtabadilika hamjui siku wala saa mtakayoondoka hapa duniani, iwe kwa ajali, iwe ka ugonjwa au Yesu akarudi kulichukua kanisa lake, kama haujaanda maisha, utakuwa mgeni wa nani? KESHENI BASI, MWENYE KUZURUMU AZIDI KUZURUMU, MCHAFU AZIDI KUWA MCHAFU LAKINI ANAYEPENDA UTAKATIFU AZIDI KUJITAKASA ILI AWE MTAKATIFU KILA WAKATI. MUNGU AWABARIKI.
 
🙏
 
Yaani nikiona mzigo wenye makalio makubwa akili aifanyi kazi vizuri.

Sina uhakika kama ubongo wangu uko-wired vizuri, inawezekana makalio makubwa yanasababisha shoti sehemu

Hili tatizo napatwa wapi matibabu yake?
Nilikuwa naitafuta clip moja youtube umsikilize mtumishi wa Mungu Sheikh Kipozeo anasemaje juu ya hilo ila sijaipata ila kuna wadau watakuwa nayo
 
Back
Top Bottom