maisha

  1. JamiiForums Tanzania Ulijitafuta ukajipata kwenye maisha ukiwa na umri gani?

    Ndugu zangu safari ya maisha ni ndefu sana kila mmoja ana safari yake, wapo waliotusua kwa mateso makali sana. Wapo waliotusua kiurahisi hawa huenda walikuta tayari njia imeshatengenezwa hivyo kufanikiwa haikuwa kazi kubwa sana. Lengo la kuleta uzi huu ni kuwatia moyo wale ambao wanajiona muda...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Bilionea Shami kudai kutishiwa maisha, wanaomdai wajitokeza na kumwambia alipe deni

    Baada ya Mfanyabiashara maarufu wa Magari Jijini Dar es Salaam, Samweli Shami maarufu kwa jina la Bilionea Shami kudai kuwa ametishiwa maisha na watu aliodai ni vigogo wa Polisi, amejibiwa na waliojitambulisha kuwa ni wahusika aliofanya nao biashara wakimtaka alipe fedha alizopewa na sio...
  3. JamiiForums Tanzania Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

    Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2! Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maisha sio mstari mnyoofu, kona zisikufanye utoke mchezoni

    Kinachotutesa wengi ni kuishi kwa imani kuwa maisha ni mstari mnyoofu na hili sio tu tumelijenga sasa la hasha! Bali hata mifumo ya malezi inachangia hilo. Kuna ambao wamelelewa kwa kuaminishwa kuwa vitu hupatikana kwa wakati ule watakao hivyo kufanya ukubwani watu wapate shida sana pindi...
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna nyumba ya mtu inayoelea, amka kafanye kazi!

    Mimi ni muwakilishi tu, usinipige mawe sikiliza mwenyewe.
  6. JamiiForums Tanzania Konda wa daladala aliniokoa kipindi nachapika na maisha

    Based on true story: Nakumbuka graduation yangu na washkaji zangu ilikua na mvuto sana pale mlimani city hall mwaka 2017 ,niliona baada ya muda mfupi tu basi ningepata mchongo mzuri na ningevuta usafiri unaosomeka crowm new model within the year(s) JK alitoa hamasa kwa vijana wakapambane na...
  7. JamiiForums Tanzania Jordan na Marekani waambiwa wasifanye utani na maisha ya watu. Wadondosha vifurushi vichache vya chakula bila maji

    Mashirika kadhaa ya misaada na wanasiasa wamezibeza juhudi za Marekani na ufalme wa Jordan za kudondosha vyakula kwenye jimbo la Gaza kama ni mchezo usiopendeza kipindi hiki watu wanakufa njaa jimboni humo. Seneta wa Marekani,Jeff Merkley ameuambia utawala wa raisi Biden ikiwa kweli wamekusudia...
  8. JamiiForums Tanzania Je, umri ulionao una tafsiri gani na maisha uliyonayo?

    Wakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? Au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?. Nawasilisha.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Abdul Mwinyi: Hayati Mzee Mwinyi hajawahi kuugua maisha yake yote, isipokuwa miaka 2 iliyopita

    Akitoa salaam za familia, mtoto wa mzee Ali Hassan Mwinyi, Abdul Mwinyi amesema baba yao hajawahi kuugua katika kipindi chote cha uhai wake. Kaanza kuugua kwa mara ya kwanza miaka 2 iliyopita. Hakika mzee Mwinyi ni somo zuuri. Mungu amrehemu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Unyenyekevu ni somo la maisha ya RIP Ali Hassan Mwinyi

    Nilimsika Padre mmoja jumapili tatu zilizopita akihubiri juu ya suala zima la wito, yalikuwa ni mahubiri ya kina ambapo aliamua kufundisha kuhusu wito na michakato yake maishani. Padre yule alielezea kuwa adui wa ajira nyingi za watu mbalimbali ni ukosefu wa sifa ya unyenyekevu katika maisha...
  11. JamiiForums Tanzania Kalamu Yangu, Rais Ali Hassan Mwinyi na Kitabu: "Mzee Rukhsa" Safari ya Maisha Yangu"

    KALAMU YANGU, RAIS ALI HASSAN MWINYI NA KITABU: ''MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU'' Makala hii fupi niliandika May 2021 baada ya kutoka kitabu cha maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi. ''Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kipi Bora kukaa kwa kaka aliyeoa au Kukaa kwa dada aliyeolewa, wakati unajichanga maisha?

    Habari za Leo Wanajf, Katika pitapita yangu Leo jioni,Nimekuta mada ya watu wakibishana kuhusu swala la kukaa kwa hao ndugu!mmoja wa wachangiaji amedai anayekaa kwa dada anakuwa huru na Raha zaidi kuliko anayekaa kwa kaka aliyetoa!Hebu tupe maoni Yako mwanajf na sababu zako...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Usiku wake baba alipigiwa simu akiambiwa mama hali yake ni mbaya na alienda moja kwa moja hospital. Baaba ya masaa kama mawili nilishtuka kwa kelele za vilio kutoka kwa mama zangu wadogo. Mama alikua amefariki tayari INAENDELEA Kabla ya kuendelea naomba niweke vitu flani sawa: Hakuna mahali...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna Walimu wa Shule ya Sekondari wanaharibu maisha ya Wanafunzi wa kike Kilwa (Lindi)

    Asee kuna hili jambo linanikera sana na lina Waharibia Wanafunzi future yao. Nikiwa Mdau muhimu wa Elimu naumia sana kuona Waalimu wa kiume kukatisha ndoto za mabinti kwa kukuanzisha uhusiano nao na kisha kuwapa ujauzito na wengine ndoto zao kuisha kabisa. Wapo Wanafunzi kadhaa walifaulu...
  16. JamiiForums Tanzania Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

    Habari za Jumapili, Maisha sio Pouwa! Nakubaliana na wale wanaosema Maisha ni majaliwa. Na jitihada hazizidi kudura. Wapo waliosoma kwa bidii mila hiyo na waliona taa ya matumaini kulingana na matokeo ya darasani waliyokuwa wakiyapata. Waliamini kuwa maisha yao na hatma yao ipo mikononi mwao...
  17. JamiiForums Tanzania Ripoti AfDB: Gharama kubwa za maisha zinaweza kuamsha machafuko zaidi Afrika

    UCHUMI: Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) imesema kuendelea kupanda kwa gharama za maisha hasa mahitaji muhimu kama Chakula, Nishati na bidhaa nyingine kunaweza kuibua hasira za Wananchi na kusababisha vurugu katika baadhi ya Mataifa ya Afrika. AfDB imezitaja baadhi ya Nchi zinazopaswa kuchukua...
  18. JamiiForums Tanzania Afungwa jela maisha kwa kumnajisi mtoto wa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi wilaya ya Mbeya imemhukumu kifungo cha maisha jela Mwalimu Johnwell Mwamboya (38) mkazi wa Iyela jijini Mbeya baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miaka saba. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Tedy Mlimba mbele ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanaolewa ili kupata urahisi wa maisha na sio upendo wa kweli

    Jambo? Kwa ulimwegu wa sasa wenye changamoto nyingi za malezi na uzinzi uliokithiri kupita kiasi usije ukajidanganya kuwa mwanamke unaetaka/uliemuoa anakupenda kwa dhati. Mwanamke aliewahi kuwa na mahusiano kadhaa nyuma huwa anaolewa kwasababu ya vitu na sio upendo wa kweli. Sasaivi sio jambo...
  20. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Serikali haiwezi kukuletea mabadiliko kwenye maisha yako, kuilaumu ni kupoteza muda tu

    "Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…