maisha

  1. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha jifunze sana kuongea ili kuleta suluhisho na sio kujitetea au kutaka ushindi

    Kuna mtu ananielewa? Ni kawaida kwa asili ya binadamu kutaka kuwa na hulka ya utimilifu na kutamani mazuri pekee. Ndiyo maana katika maongezi yetu mara nyingi ni ligi na ushindani, hatuongei ili kusuluhisha bali tunajitetea kwa kuhakikisha tupo sahihi. Matokeo yake ni vigumu mno kumaliza...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Washikilie wanaokujali

    Kuna watu, ambao wapo na wewe wakati wa raha na huwamkaribu nawe kwa manufaa yao, Kuna watu wapo na wewe, wakati wa shida na huja tu endapo utakua katika wakati mgumu, Kuna watu wapo na wewe sababu tu kuna vitu mnafanya pamoja, yaweza kuwa kazini, masomoni, au kwenye shughuli mbalimbali za...
  3. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Ambaye ameweza kugundua Purpose ya maisha yake!! Aniambie alifanyaje fanyaje

    Kuna watu hawataelewa…..kama ni mmoja wapo basi Jitulize! Kugundua purpose ya maisha yako ( purpose of your life) si kitu kidogo. Watu wanaweza kuishi maisha yao yote pasipo kujua. Binafsi bado sijagundua au sijawa na uhakika pamoja nimejaribu kusoma article mbali mbali. Pindi ukijua utaonesha...
  4. Elton Tonny

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Mimi

    MIMI NA MIMI A Story by Elton Tonny Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Ysiyotazamiwa R-rated 18+ Enjoy! ★★★★★★★★★★★★★ SEHEMU YA KWANZA ★★★★★★★★★★★★★ Maisha ni safari ndefu yenye kila aina ya changamoto, na hakuna mwanadamu yeyote azaliwaye kwenye sura...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watu 28 wamepoteza Maisha kutokana na mvua Morogoro, nyumba 1,035 zimebomolewa

  6. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "kusaidiana" maisha na mwanamke katika utafutaji ni ya wanaume dhaifu na wajinga sana

    Peace be upon you all, Siku za hivi karibuni kumeibuka dhana ya wanaume kutaka kuoa wao wanasema "kuoana" na wanawake wenye kipato na ajira ili "kusaidiana maisha" Aina hii ya wanaume ni wanaume dhaifu both mentally and physically oooh wait hata spiritually ni dhaifu na magoi goi. Tangu lini...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

    Poleni kwa msiba, familia imepigwa bomu wakafa ndugu, watoto wake na wajukuu, yote hii kisa aliamrisha HAMAS wavamie Israel na kuchinja watoto wa Wayahudi...... Jamaa anakula maisha tu, kayapatia... ====================== Three sons of Hamas leader leader Ismail Haniyeh were killed in an...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hakika changamoto ya ajira imekuwa kubwa na Maisha yanazidi kunibana

    Nipo katika kipindi kigumu cha Maisha kwa sasa ambapo changamoto zimekuwa kubwa sana na zinanibana. Nina degree ya utawala, pamoja na uzoefu na ujuzi katika mauzo, masoko, ukusanyaji wa data, na uandishi wa miradi. Aidha, nina ujuzi kompyuta, na uzoefu wa miaka 7 kwenye kazi na rekodi nzuri...
  9. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kupitia Mapambano ya Maisha kuna muda unasema vita nimevipiga ila ndio hivyo

    Maranyingi kama mtu unakaa mahali tulivu na kufikiria. Unajitathmini mwenyewe na kulinganisha maisha yako sasa na miaka 1/2 au zaidi iliyopita. Unagundua kuna vizuizi vingi mno umeshindana navyo au umeviondoa kwenye maisha yako na unajipa pongezi. Motisha ya kuendelea kupambana na maisha...
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na simulizi za uhalisia wa maisha, msimuliaji akiwa mhusika

    Binafsi huwa ninapenda sana simulizi ambazo zina uhalisia wa maisha ya kila siku tunayoishi hususan kwetu sisi wapambanaji na watafutaji wa kila siku. Yaani simulizi ambazo msimuliaji ndiye mhusika na anasimulia kuhusu experience yake katika jambo au mambo fulani sanasana masuala ya utafutaji...
  11. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    Habari wanajf. Binafsi Niko visiwa vya Haiti Marekani ya kaskazini. Kiujumla Maisha ndio yalinifanya nikafika huku, kwa sikuwahi kuwaza kuwa ntavuka visiwa vyetu vya Tanzania Yaani Pemba na Unguja. WATU WA HUKU(WAHAITI) Watu wa huku ni weusi ti Kama sisi huwezi kutofautisha na wasukuma...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Dogo ana miaka 17 tu tayari ana maisha mazuri na mpenzi

    Endrick mchezaji wa palmers ya Brazil katika umri wa miaka 17 tayari ana mafanikio makubwa ya kimaisha huku akimiliki mtoto mkali wa kula naye maisha. Dah kweli maisha hayapo fear
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha

    Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa. Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

    Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Sio kila Single Mother anateseka na maisha wengine wanabarikiwa baada ya kuwa Single Mothers

    Shalom, Siwezi kusema mengi sana kuwa single mother ni matokeo ya maisha ya sisi wanadamu kama ilivyo kwa magonjwa na vifo na mengineyo. Kuna single mothers wamebarikiwa baada ya kuwa single mothers, wengine wamefunuluwa baraka na Neema tele baada ya kuachika kwenye ndoa zao. Kuna baadhi ya...
  16. Ofisho mlinzi

    JamiiForums Tanzania Unafuu wa maisha na ugumu wa maisha ya Mtanzania huletwa na yeye mwenyewe

    Awali ya yote niwasalimu ndugu na wadau wa jamii forum ,pili nikushukuru wewe unaelisoma andiko hili tatu na mwisho nikuombe wewe ikiwa unaguswa na haya basi tumia nafasi ulio nayo bila kupima udogo ama ukubwa wake kuisaidia jamii yetu ipate kuwa na ufahamu amabao utasadia miongoni mwa wengi...
  17. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo; 1. Tembea hatua 10,000 kwa siku 2. Kula kwa wastani 3. Punguza wanga 4. Epuka vitu vyenye sukari 5. Epuka sigara, pombe 7. Pata muda kidogo wa...
  18. sanalii

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kitabu cha Mhubiri ndio uhalisia sahihi wa maisha

    1. Mwandishi anaonekan ni mtu aliekua na wadhfa na mali, wapo wanasema mwandishi ni Mfalme Suleman ila wengine wanakataa. 2. Pamoja na mafanikio hayo, anaonekana amejawa na msongo wa mawazo na alie "disappointed"sana, mara nyingi husema " ...ni sawa na kufukuza upepo." 3. Anaonekana hana imani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Dini za wakoloni hazina maisha marefu Afrika. Watu wameanza kujua ukweli

    Jamaa ameongea maneno makubwa sana. Jamaa Kaniacha hoi mwishoni tu alivyomalizia na stiki ya kutolea meno tunaagiza china
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ndiyo utakuja kuiangusha CCM

    Wananchi wanateseka sana kwa ugumu wa maisha na kila kukicha afadhali ya jana. Bei ya bidhaa, vifaa vya ujenzi, mafuta kila kukicha unakuta bei ya jana siyo ya leo. Leo nimesoma kuwa bei ya mafuta kwa mwezi huu wa Aprili imepanda tena. Kama jirani zetu hapa Kenya, Zambia bei ya mafuta kwao ni...
Back
Top Bottom