Je, umri ulionao una tafsiri gani na maisha uliyonayo?

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,111
803
Wakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? Au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?.

Nawasilisha.
 
Mimi ni Jobless pro max

Mafanikio ni dhana kubwa Sana mkuu, wengine ni Malengo au vitu.

Sasa uki Anza kufananisha ndo una kosea Sana.

Wengine mafanikio ni kuwa na tumbo kubwa, huyu hawezi lingana na anaye taka mke mzuri.

Hakuna hiyo dhana kuwa ume andikiwa ukose vitu vikubwa.
Nyumba, gari ?? Mbona vitu vya kawaida Sana.

Take your time and keep chasing fella.
 
Back
Top Bottom