Ulijitafuta ukajipata kwenye maisha ukiwa na umri gani?

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Ndugu zangu safari ya maisha ni ndefu sana kila mmoja ana safari yake, wapo waliotusua kwa mateso makali sana.

Wapo waliotusua kiurahisi hawa huenda walikuta tayari njia imeshatengenezwa hivyo kufanikiwa haikuwa kazi kubwa sana.

Lengo la kuleta uzi huu ni kuwatia moyo wale ambao wanajiona muda umewatupa mkono, hivyo kuona mafanikio kwa ni ndoto yaani haiwezekani wamekata tamaa.

Embu nyie ambao mmejipata kisawa sawa tupeni uzoefu mlijipata mkuwa na umri gani?

51BCF344-63D5-4CF0-8F42-1397725ED0EC.jpeg
 
Bakhresa mwenyewe bado anajihisi hajajipata anaongeza uwekezaji kila kila mara
 
Tunajiita tumefanikiwa pale ambapo tunaweza kuyafikia mahitaji yetu kirahisi Kwa kutumia pesa.

Utajiri mkubwa zaidi wakati mwingine ni sifa Tu na ufahari kwani hauongezi chochote kwenye mahitaji ya maisha
 
Back
Top Bottom