maisha

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huku Lissu, kule Zitto... Huku Mbowe, kule Pompeo katikati BBC maisha yanaenda haraka

    BBC wameshamuweka Bulembo kwenye list ya USA ban na kimsingi Mambo yanazidi kunoga Sana tena sana kinachofanyika sSasa ni kuendelea kuuthibitisha ukweli Mambo yanayoendelea Tanzania. Zitto katishiwa kuuawa na Bunge na wabunge wakapiga makofi akiwemo mchungaji wa kanisa Mama Lwakatare. NAMTUMIA...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wanapaswa kupatiwa elimu ya afya na usalama ili kutohatarisha maisha ya raia

    Muono wa Dunia kwenye Afya na usalama tumepewa jina "SUFURI" kwa maana ya kwamba kupunguza vifo, magonjwa na ajali kufikia asilimia sufuri. Afya na usalama mahali pa kazi ni jambo la muhimu sana ili kuongeza ufanisi, uzalishaji na ubora wa kazi na hili ni lengo mojawapo kwenye Malengo endelevu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

    Yupo Super Kamanyola ya Mwanza. Nafikiri wanaimba tu nyimbo zilizotamba zamani. Nimemuona akikomalia kuiimba 'Nawashukuru wazazi wangu' ya DDC Mlimani Park najihisi kuhuzunika kiasi lakini sijui ni kwanini!!
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Vijana wetu 10 waliokuwa kwenye mafunzo ya JWTZ wamepoteza maisha

    Wakuu, Unajua haya mambo ya Jeshi sijui inakuaje kama mtu ukifiwa. Juzi tumepata msiba wa Vijana wetu zaidi ya kumi walikuwa kwenye Mazoezi. Leo ndo tunaaga hapa Lugalo Dar, kwa anayetaka kushiriki mazishi aje. Naamini Jeshi litatolea ufafanuzi taarifa hii ili kuondoa sintofahamu. Baada ya...
  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Maisha ndani ya Marekani ni sawa na gereza?

    Nasikia huko bila dollar 200 hujapata bado..., halafu nasikia matrafiki wa huko hawachukui rushwa kabisa, ukifanya kosa ni faini na inaingia kwenye rekodi.., tena huko hata ukimzaba mkeo kofi unalala ndani.., ukitembea upande usio wako barabarani (wanaita J walking sijui) unalala ndani, mkilala...
  6. DissDotCom

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MAISHA KAMA GWARIDE...HUU NDIO UKWELI

    01.👉 Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school. 02.👉 Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza. 03.👉 Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi tunayoishi wana wa adamu

    Angalia video hii na ujifunze namna watu wanaokuzunguka wanavyokurudisha nyuma kimaendeleo.utajifunza uhalisia halisi wa maisha yako ya kila siku
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka nane

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemuhukumu, Stambuli Yusufu (35) kifungo cha maisha jela baada ya kumkuta na hatia ya kumuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike wa miaka nane. Mshtakiwa huyo anadaiwa kumfanyia kitendo hicho mtoto huyo anayesoma darasa la nne kati ya mwaka 2017 na 2018...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mganga wa Kienyeji afungwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka 8

    Mahakama ya Wilaya Kigoma Mkoa wa Kigoma imemhukumu mganga wa kienyeji, Venas Edward (48), mkazi wa Ujiji Manispaa ya Kigoma/Ujiji kutumikia kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumnajisi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minane Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu kodi za nyumba, gharama za maisha na hali ya uchumi

    Nianze kwa kusema kwamba suala hili sasa imefika wakati liwe na mjadala wa kitaifa ili tuweze kufanya sekta ya makazi iweze kuwa rasmi na zaidi ili kuhakikisha kwamba wananchi wanapewa makazi bora na wanaishi katika mzingira rafiki. Kuna ambao wanaweza wakafikiri kwamba watanzania wengi wana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
  12. gstar

    JamiiForums Tanzania Maisha na mapenzi

    Katika mchakato wa Maisha kuna mengi tunapitia, kuna kupanda na kushuka pia kuteleza na kuanguka. Kila kitu tunacho pitia ni Mungu ndiye amepanga kutupitisha huko hivyo hata kama ni magumu kiasi gani unayo ya pitia usimkufuru Mungu. Kila mtu unaye kutana naye ama kuishi naye ni wa thamani kwako...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kijana anayeanza maisha usinunue godoro nunua mkeka huo huo kiti huo huo kitanda

    Vijana wengi kuanza maisha hupata shida waanzaje. Tafuta elfu tano nunua mkeka huo huo utautumia Kama kiti Cha kukaaa wewe na wageni wako na hapo hapo ujautumia Kama kitanda kulala usiku.
  14. beth

    JamiiForums Tanzania NIDA: Namba za Utambulisho (NIN) Milioni 6 bado hazijatumika kusajili laini za simu

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imesema kuwa inaendelea na zoezi la usajili na utambuzi wa watu, uzalishaji wa namba za utambulishi wa taifa na vitambulisho na ugawaji wake kwa wananchi ili waweze kuvitumia kusajili kadi (laini ) za simu kwa alama za vidole na huduma nyingine. Katika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya Chuo Kikuu

    MAISHA BAADA YA UNIVERSITY Mwanzo wa masomo katika chuo chochote kile hasa chuo kikuu huwa mzuri sana kwani wengi wanao pelekwa kusoma huwa na furaha na wengine wanahisi ndoto zao za mafanikio zimetimia. Ni Kipindi ambacho wanachuo uanza kuwasili vyuoni, ni kipindi cha Furaha kwa kila...
  16. Am a star

    JamiiForums Tanzania JamiiForums inavyobadilisha maisha yangu kwa kunipa wazo la (THD)

    TOPTRUST HELP DESC (A standby force) “ 0693354479 “ Baada ya kupitia nyuzi nyingi humu nilipata wazo! nikachukua hatua ya kukusanya taarifa zote muhimu za jiji la DAR ES SALAAM kuhusu huduma wanazohitaji watu ili kurahisisha maisha yao na kuokoa muda. sasa naweza kukusaidia Kila eneo...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mnaooa au kuolewa na wanaotegemewa katika familia zao changamoto mnazopitia kujenga maisha yenu

    Yule aliyeinuka mmoja tu kwenye familia. Anategemewa na familia nzima na kuna wakati anasahau kuwa ana familia yake. Anawaza amalize nyumba ya wazee, ada ya wadogo zake, chakula chao cha kila siku. Kwakua huyu ndiyo mtoto nyota wanaona hata wewe mume:mke unawazibia kwa mtoto wao. Pasi...
  18. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Siasa ndo inaendesha maisha. Kubali ukatae huu ndio ukweli

    Wanajamvi habari za muda huu? Naamini mko salama. Leo nimeona nije na mada hii kwamba siasa ndo inarun maisha kwa kuwa kila tunapobadilisha viongozi wa kisiasa kila kitu kinabadilika. kwa hiyo kwa uelewa wangu siasa ndo kila kitu. Kwanza ukiangalia mifumo ya maisha wanasiasa ndio wanaobuni...
  19. Mecury

    JamiiForums Tanzania Misimu ya maisha

    Siku nyingine baada ya kula mlo mmoja tu na muda mfupi tu baada ya kuzipitia jumbe fupi za zamani kutoka benki fulani hapa nchini ambayo nami nilikuwa mteja wa muda mrefu sana. Nikikumbuka miamala niliyokuwa naifanya kwa ajili ya kukidhi mahitaji yangu na starehe mbalimbali. Nimemkumbuka pia...
  20. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Ngono ilitaka kukatisha maisha yangu

    Wadau kheri ya mwaka mpya 2020! Nimeamua nijipinde mgongo kuandika ujumbe huu maana naona kizazi cha vijana wabichi kinaangamia huenda kwa kujua au kutojua. Mimi ni kijana niliyelelewa kwenye maadili ya kumcha Mungu na wazazi. Niliyaishi maisha hayo yakuwa na hofu ya Mungu hadi kufikia umri wa...
Back
Top Bottom