HOJA ZA MAPINGAMIZI YA SERIKALI YA MUUNGANO NA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUHUSU KESI YA BANDARI YATUPITILIWA MBALI, KESI YA MSINGI YA KIKATIBA SASA KUPANGIWA TAREHE YA KUANZA KUSIKILIZWA
https://m.youtube.com/watch?v=D5ZLtOJJ-nE
Ndugu Odero Charles Odero amechukua hatua ya kuipeleka...
Ipo clip inaonyesha Dp world foundations imeanza kutoa misaada mbalimbali ya Ujenzi wa misikiti awamu kwa awamu,ikumbukwe hawa ndugu zetu al maarab wanafedha kweli kweli,huu ni mtazamo wangu binafsi Dp world haikupaswa kuja Tanzania na kuanza kupromote suala la Ujenzi wa misikiti, hapo...
DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Pia soma
Mwanasheria: Hadi sasa...
Tangu kesi ya Mbowe na wenzie ianze upade wa utetezi umeweka mapingamizi kama sikosei matatu na yote yametupwa.
Ningefurahi kama wangetokea wanasheria huru waweke ushabiki pembeni) na watusaidie kuyajadili haya mapingamizi na technicalities zake.
Tusio wanasheria tusome tu na tuwaachie wataalamu!
jaji: Kama Shauri likienda mfululizo ingechukua Miezi kama Minne
jaji: Hivyo kwa Majukumu niliyonayo nimeona nijitoe aje Jaji mwingine haraka iwezekanavyo.
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 inatarajiwa kutoa uamuzi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.
Uamuzi huo ambao utatolewa na Jaji Mustapha Siyani (Jaji Kiongozi...
Mahakama ya Rufani leo October 13, 2021 imetupilia mbali mapingamizi ya mtoto mkubwa wa Reginald Mengi dhidi ya maombi ya mapitio ya kesi kutoka kwa Jacqueline Ntuyabaliwe.
Awali Abdiel mengi na Benjamin Mengi walimuwekea pingamizi la awali la kisheria Jacqueline wakiiomba mahakama iyatupilie...
Upande wa mlalamikaji ulieleza mahakama kwa ushahidi na facts kwamba mashtaka yaliyowasilishwa na Jamuhuri hayapo au hayana nguvu na msingi wa kisheria. Jaji alinaza baada ya kusikiliza pande zote mbili alikubali kuwa hati ya mashtaka ina makosa lakini pamoja na kubaini makosa kwenye hati ya...
Baada ya majina ya wagombea kupitishwa, sasa umezuka mtindo wa kila jimbo, kila kata kulazimisha mapingamizi ili wagombea wa CCM wapite bila kupingwa. Huu ni uzembe na uhayawani wa chama kikongwe. Miaka zaidi ya 50 bado CCM mnawaza kukataa kushindana!
Kuna majimbo yalishatangaza wagombea, rasmi...
NEC nihalali mgombea kujitangaza kapita bila kupingwa kabla hajathibitishwa na tume?
Tumeona Clouds FM & tv wakiadhibiwa kwa kutangaza matokeo kabla yakuthibitishwa na tume.
Je, ni halali kwa mgombea kujitangaza kashinda kabla hajathibitishwa na tume? Na hata uamuzi wa mapingamizi haujatolewa...
NEC imesema muda wa kutangaza wateule bado kwani kuna mapingamizi yanayoshughulikiwa na kwa mujibu wa ratiba mwisho wa kupokea mapingamizi ni leo 26 Agosti, saa 10.00 jioni. NEC imesema taarifa hizo zinaweza kupeleka uvunjifu wa amani
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson...
27.08.2020
Dodoma, Tanzania
MAREKEBISHO: TAARIFA KAMILI YA NEC KUHUSU MAPINGAMIZI YA LISSU KWA JPM NA LIPUMBA
Published on 27 Aug 2020
Hizi ni Ripoti za AyoTV kutokea Dodoma Tanzania ambapo kama ulitufatilia jana tulirusha matangazo ya moja kwa moja yani LIVE kwenye Youtube yetu kutokea...
Nilitegemea mapingamizi ya Wakili msomi yajikite kwenye ukweli wa kile kilichojazwa kwenye fomu na siyo ujazaji wa fomu. Yaani Tundu Lisu anakagua picha kana kwamba anasahihisha mtihani .
Msingi wa kujaza fomu ni mtu kuweka taarifa zake muhimu kulingana na matakwa ya nafasi anayoomba. Kitu...
Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao.
Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.