magufuli

  1. Patriot

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa Magufuli ni moja ya dawa ya matatizo yetu

    Kwa maoni yangu, tuliposhindwa kuunda katiba mpya ilikuwa ni ishara ya utawala mbovu kabisa! Kwamba Bunge na Serikali vyote vilikuwa viko taaban! Yawezekana biashara ya Ndege ni mbaya lakini kila taifa hutamani kuwa na ndege chache. Treni ni muhimu pia. Tujiulize Ilikuwaje kwa miaka yote hiyo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sherehe za Mapinduzi uwanja wa Amani Zanzibar Rais Magufuli na Dr Shein kuhudhuria

    Sherehe hizi zitarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Azam tv, ITV nk Rais Magufuli wa JMT na Rais Shein wa Zanzibar watawaongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho hayo. Karibuni! Up dates; Viongozi wastaafu wameshaingia ukumbini wakiwemo mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Sumaye...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wasukuma na Wanyamwezi wengi walikuja Zanzibar na kutorudi tena usukumani akiwemo baba yangu mkubwa

    Rais Magufuli amesema Zanzibar ni kisiwa cha raha hata watanzania bara wengi wanapohitaji kupumzika huja Zanzibar. Rais Magufuli amesema hata kaka wa baba yake alikuja Zanzibar na kubakia huko huko kama ilivyokuwa kwa wasukuma na wanyamwezi wengi. Chanzo: Channel ten
  4. J

    JamiiForums Tanzania Live ITV: Rais Magufuli anafungua Hotel ya Verde Azam Luxury Resort & SPA mtoni jijini Zanzibar inayomilikiwa na S S Bakhresa

    Ni tukio kubwa na la kihistoria kwani hii ni hoteli ya kipekee kabisa nchini Tanzania, Afrika mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara. Karibuni!
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ni aibu Shule za Zanzibar kuwa za mwisho, Wakandarasi wakikupa 10% kula ila simamia Sheria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema ni sa aibu kuona shule za Zanzibar zinakuwa miongoni ambazo hazifanyi vizuri pindi inapofika wakati wa kutangaza matokeo ya Shule za Sekondari. Rais Magufuli ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye uwekaji wa jiwe la...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tanzania election: Life has got worse under Magufuli we need change...

    POLITICSTANZANIATOP STORY Tanzania elections: Life has got worse under Magufuli. We need change. BY ZITTO KABWEJANUARY 8, 2020 SHARE: Opposition leader Zitto Kabwe says the past four years of CCM rule have been disastrous and lays out his vision for a thriving and happy Tanzania. Opposition...
  7. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

    Baada ya likizo ya mwisho wa mwaka, kesho Rais Magufuli ataanza ziara ya siku 5 Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuhudhuria sherehe ya mapinduzi Zanzibar tarehe 12 mwezi huu. Pia Mh. Rais atazindua jengo la makao makuu ya Usalama wa Taifa kisiwani Zanzibar katika ziara yake Zaidi. soma: Zanzibar...
  8. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya wamachinga maarufu kama vitambulisho vya Rais Magufuli

    Kuna vitambulisho vya wamachinga vilivyo kuwa vinatolewa kwa gharama ya shilingi 20,000/=, ambavyo vilisemekana ni kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama wamachinga. Kwa kweli watu ambao wamenufaika na vitambulisho hivi ni wafanya biashara wakubwa kwani waliamua kutoa bidhaa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kamau: Rais Magufuli adhibitiwe na EAC, amevuka mipaka!

    MNAMO Novemba 5, 1984, kinara wa ODM Raila Odinga alifahamishwa kuhusu kifo cha mamake, Bi Mary Juma ikiwa imepita muda wa miezi miwili tangu afariki. Mary alifariki mnamo Septemba 1984, lakini Bw Odinga hakuwa na ufahamu wowote kuhusu tukio hilo kwa kuwa alikuwa akitumikia kifungo katika...
  10. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siku hazigandi, mwaka 2020 aliotangaza Rais Magufuli kuwa ndiyo mwaka wa kufanya mikutano ya kisiasa, kwa vyama vya upinzani, ndio huo ushafika

    Mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais wa nchi hii, Rais Magufuli alivipiga marufuku vyama vya upinzani nchini kutofanya mikutano ya kisiasa hadi mwaka 2020, kwa madai kuwa uchaguzi umekwisha, kwa hiyo huo ni wakati wa kufanya kazi na siyo wakati wa kampeni. Wakati akitangaza hivyo Rais Magufuli...
  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Sikukuu zimeisha, Rais Magufuli tunakuomba uanze ziara

    Naandika hivi ni kwa sababu Mh Rais unapokuwa katika ziara zako hapo ndipo kero za wananchi huibuliwa na kutatuliwa. Maana wengi wa wasaidizi wako ni kama hawana msaada kwa wananchi. Misafara yako inaposimama kila mahali hapo ndipo akina mama na wazee walioonewa na kudhulumiwa huwa unawasaidia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na CCM mpya kwa Tanzania imara: Falsafa inayojenga mtazamo chanya kwa watanzania juu ya CCM

    Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna hata Mradi mmoja wa Rais Magufuli utakaofanikiwa

    Nina imani 110% na ninachokiandika hapa. Rais wetu (hata kama hakuchaguliwa na wengi bado ni Rais wa nchi hii) hakujua kuwa alichokuwa unachokifanya kilikuwa counter-productive (nampa benefits of doubts kuwa alikuwa anajua pesa zilivyokuwa zinafujwa na alipaswa kuchukua hatua) lakini anakosea...
  14. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh Rais Dkt Magufuli, Wape muda watanzania, tatizo ni NIDA

    MH RAIS WAPE MUDA WATANZANIA, TATIZO NI NIDA. Na Elius Ndabila 0768239284 Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aliyenipa afya njema na nguvu ili niweze kukuandikia barua hii ya wazi Mh Rais. Pia nitumie wasaa huu kuwatakia heri ya mwaka mpya Watanzania wote ambao Mungu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama ya Mafisadi mpaka Mahakama ya Kusamehe Mafisadi...!

    Watu wanaitazama Tanzania kwa jicho lingine. Labda huu nao ni ubunifu wa Utawala na pengine ni mafanikio miongoni mwa mafanikio. Watawala walianza na kile kilichoitwa kutumbuwa mafisadi na kuwasekwa ndani waliotuhumiwa. Mara ikaundwa mahakama ya Mafisadi na kutangaziwa kiama mafisadi wote...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nitaendelea kutumbua majizi 2020

    Aidha, alitaja miradi hiyo kuwa ni ununuzi wa ndege, kujenga reli na elimu bure, huku akitaka Watanzania kudumisha amani na upendo ili uwe mwaka wa maendeleo na ustawi kwa taifa. Kwa mujibu wa salamu za Mwaka Mpya kwa Watanzania zilizopo kwenye taarifa kwa vyombo vya habari, Rais Magufuli...
  17. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania GE2020 CUF yaapa kuingia Ikulu

    UCHAGUZI WA MWAKA 2020: Chama cha Wananchi CUF chataka mazingira mazuri Chama cha wananchi CUF kimetoa wito kwa Rais John Magufuli kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa ili kuweka mazingira mazuri ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama cha...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake

    Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

    Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika: 1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu 2...
  20. technically

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urais 2020: Lissu Vs Magufuli Vs Membe nini kitatokea?

    Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili. Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM asili Magufuli ataungwa mkono na ccm dola. Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu? Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
Back
Top Bottom