magufuli

  1. T

    Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

    Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika: 1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu 2...
  2. technically

    Vita ya Urais 2020: Lissu Vs Magufuli Vs Membe nini kitatokea?

    Lissu (CHADEMA) ataungwa mkono na vyama vyote vya upinzani asili. Membe ataungwa mkono na vyama matawi ya ccm kama ACT ndani ya upinzani na CCM asili Magufuli ataungwa mkono na ccm dola. Je kuna mwenye uwezo wa kupambana na Lissu? Kama kura za wana ccm zitagawanyika kwa wagombea wawili?
  3. J

    RC Chalamila: Wazee mnataka kumpongeza Rais Magufuli kwa sababu gani maana isiwe tu mnafuata mkumbo wa kupongeza?

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amewataka wazee wa mkoa huo kutoa sababu za kutaka kumualika Rais Magufuli ili wampongeze, amewataka wajihoji mmoja mmoja na kujiuliza wanampongeza kwa jambo gani maana isiwe wanafuata mkumbo tu. Chalamila amesema hayo kwenye kongamano la wazee wa mkoa wa...
  4. Corticopontine

    Wanaosema Rais Magufuli anapendelea Chato wanatakiwa wajibu hoja

    Wanaosema Muheshimiwa Rais anawapendelea wananchi wa Wilaya ya Chato kwa kutekeleza miradi mikubwa wilayani humo hata kaamua kwenda kula Christmas nyumbani kwao waje na hoja hizi (sisi wa Nyamagana hatuna swali, hata zile millioni mia alizotuahidi Mwanza Sekondari zimeshafika project inaendelea)...
  5. britanicca

    Uliyempigia Kura Magufuli mwaka 2015, ulipenda kipi kwake baadae ukagundua siyo? Na ulomnyima ulichukia nini kwake baadae ukagundua siyo?

    Tuna Mategemeo Kibao kila ziliapo kengele za Kuanza mchakato wa kampeni za Uchaguzi mkuu kitaifa! Kilichonivutia kwa Magufuli 1.Jinsi ya Kusimamia anayoyaamini hasa kwa wale wanaokwamisha maendeleo Nikasahau kwamba kumbe kuna ambayo naye anakuwa kinyuma hivyo inabidi asikilize washauri duh...
  6. Pascal Mayalla

    Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

    Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano. Naomba kuanza na angalizo, Kuna watu wana allergy na pongezi zozote kwa rais Magufuli na awamu yake ya 5, hivyo akifanya jema lolote au akipongezwa kwa zuri lolote, wao wanakasirika. Kwa vile bado tuko kwenye...
  7. Miss Zomboko

    Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

    Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31. Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole Mwananchi ====
  8. Nigrastratatract nerve

    Magufuli: The Chemist, PhD holder, The Mega projects implementer, NYERERE HEP, SGR, ROADS, WATER SUPPLY, ETC

    President John Magufuli is a chemical engineer. He holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam. Undeniably, he is fond of construction and has demonstrated the knack to push projects through once he buys into it. It is not for nothing that he has been nicknamed ‘bulldozer’, a...
  9. F

    Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

    Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo ! Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa! Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa! Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3...
  10. Bonde la Baraka

    Kama Magufuli ataendelea na Urais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitaacha kazi nikalime

    Kichwa kinajieleza. Mimi ni mtumishi wa umma, niliajiriwa 2015 June. Katika kipindi hiki cha Magufuli nimekopa fedha bank mara 3 kwa malengo tofauti. - Nilikopa 5m. Kwaajili ya ada - Nilikopa 3 kwaajili ya biashara ambayo ilifeli. Ilifeli kwaajili ya mzunguko mdogo (wateja hakuna). Biashara...
  11. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Ushauri wangu kwako Rais Magufuli

    Tangu uingie madarakani kumekuwa na hii teka teka ya watu ambayo imezua taharuki!! Wewe kama kiongozi unapaswa kuweka sawa na kutufahamisha kuwa hawa watekaji au wahuni ni kina nani na wana malengo gani hasa, kwani kukaa kwako kimya ni kuhalalisha utekaji na kuonyesha hautujali sisi wananchi...
  12. elivina shambuni

    Rais Magufuli Amwaga Ajira Kwa Wahitimu JKT

    Rais Magufuli ameagiza vijana wote wenye elimu ya shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) “Operesheni Magufuli” kupewa ajira katika taasisi mbalimbali za serikali. Ujumbe huo ulitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean...
  13. dubu

    Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT kuajiriwa

    [/URL] Rais wa Tanzania, John Magufuli Kwa ufupi Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 40,000 kati ya hizo, 800 zitawahusu vijana waliojitolea kwa miaka miwili katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Dodoma. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika...
  14. B

    Magufuli: Mwaka 2020 uwe wa kujenga umoja

    Mh. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania akiwa Chato katika misa siku ya Jumapili ya nne ya Majilio kuelekea Krismas na mwaka mpya, atoa ujumbe wa kipekee kwa wana Chato na Watanzania na kuwatakia sikukuu ya Krismas njema na Mwaka Mpya wa mafanikio, kujenga umoja...
  15. Chagu wa Malunde

    Suala sio Rais Magufuli kuongezewa muda, bali ni nani atayaendeleza haya anayoyafanya?

    Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya? Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake...
  16. Corticopontine

    Magufuli The Chemistry Engineer, The Implementer of Mega Economically viable Projects, the inborn intelligent bulldozer President

    President John Magufuli is a chemical engineer. He holds a PhD in Chemistry from the University of Dar es Salaam. Undeniably, he is fond of construction and has demonstrated the knack to push projects through once he buys into it. It is not for nothing that he has been nicknamed ‘bulldozer’, a...
  17. beth

    Rais Magufuli asaini sheria ya Watanzania kujipima UKIMWI wenyewe

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli amesaini sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU). Novemba 12, 2019 Bunge la Tanzania lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU na Ukimwi yaliyoruhusu umri wa kupima virusi vya...
  18. Chagu wa Malunde

    Hivi Rais Magufuli anayafahamu haya?

    Rais Magufuli ni Rais asiyependa kuona watu wanafanyiwa dhuluma na kunyanyaswa. Mfano mzuri ni alipokuwa kahama alimuonea huruma toka moyoni kabisa mama ambae mume wake aligongwa gari na polisi traffic. Ila kiuhalisia huku ngazi za chini wananchi bado wanadhulumiwa na kunyanyaswa sana. Hasa...
  19. Last Seen

    Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

    Habari wana jamvi, Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji. Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
  20. Return Of Undertaker

    Viongozi wapya wakuu wa CHADEMA 2019 - 2024

    1. MWENYEKITI - Freeman Mbowe 2. MAKAMU MWENYEKITI ZANZ - Said Issa Mohamed 3. MAKAMU MWENYEKITI BARA - Tundu A.Lissu 4. KATIBU MKUU - John John Mnyika 5. NAIBU KATIBU MKUU BARA - Benson S. Kigaila 6. NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR - Salum Mwalim WAJUMBE WA KAMATI KUU - TAIFA 1. John W. Heche 2...
Back
Top Bottom