magufuli

  1. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

    Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa. Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto. Maendeleo hayana vyama!
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Rais Magufuli awaogope wapinzani aliowashinda kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa asilimia 99.9?

    Nimeshangazwa sana na kauli aliyoitoa Rais Magufuli wakati ajihutubia makada wenzie wa CCM kuwa wasibweteke kuwa watashinda kirahisi uchaguzi mkuu ujao, ambao unategemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu na akawaeleza makada hao kuwa wapinzani wana mbinu nyingi za wazi na za kificho, kwa hiyo...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kilichomfanya Magufuli kukengeuka na kuanza kuwaogopa Wapinzani hiki hapa

    Pamoja na juhudi zake binafsi , za serikali anayoiongoza na za chama chake za kuunda kesi za kizushi dhidi ya Wapinzani wake wa kisiasa kwa kushirikiana na ofisi ya DPP pamoja na Jeshi la Polisi huku wengine akiwafunga jela, lakini bado ameshindwa kuumaliza upinzani na sasa amekiri hadharani...
  4. G Sam

    JamiiForums Tanzania Lengo la Rais Magufuli kuzuia makinikia ni ili Smelter inunuliwe hapa nchini. Prof. Muhongo alifukuzwa uwaziri kwa kushindwa kununua Smelter

    Nikukumbushe tu Rais Magufuli mwaka 2017 wakati unapokea taarifa ya Prof. Mruma lalamiko lako kubwa sana na hata watanzania wakakuamini (Isipokuwa mimi) ni kuhusu kuchenjulia makinikia nje ya nchi. Nakumbuka sana ulimlaumu sana Prof. Muhongo ukafikia hatua yakumwambia kuwa Prof. mwenzake yaani...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dr Magufuli: Wapinzani wametukubali wanaccm wanaodai chama " kinawafuatafuata" wanaweza kuondoka

    Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewataka wanaccm wanaodai chama kinawafuata fuata kujirekebisha mara moja kwani usipofuata maadili chama hakitaacha kukufuatilia. Dr Magufuli amesema kwa sasa CCM iko imara kuliko wakati mwingine wowote na hata wapinzani wanaikubali. Dr Magufuli amesema...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Upinzani wa sasa umebadilika

    Mwenyekiti wa CCM na Rais John Magufuli amekionya chama chake kisibweteke kwani upinzani wa sasa unatisha kutokana na mikakati yake Akiwahitubia viongozi wa wilaya na mikoa kote nchini jijini DSM hapo jana Rais amesema wapinzani wa leo wamebadilika na wana mikakati ya hadharani na ya siri...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Kwenye maslahi ya Rasilimali za nchi, Magufuli ametuvusha salama

    Nitakukumbuka daima Mheshimiwa Rais. Nitakukumbuka kwa ujasiri wa kipekee. Nitakukumbuka kwa kutuonesha njia na kutuaminisha kuwa sisi ni watu kama walivyo watu wengine duniani...yaani tuna akili, tunajua kuzitumia na tuna mahitaji. Mheshimiwa Rais umetuonesha kuacha ubinafsi na tufanye kazi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

    Nimekuwa natafakari sana. Hivi huyu Lugola katika umahili wake wa kuwa graduate wa sheria UDSM, kuwa naibu waziri ofisi ya Makamu wa Rais, na Waziri wa Mambo ya Ndani, atawezaje kufanya kosa la ku-sign Mkataba wa USD 453m bila kumhusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Bunge, na pia Rais...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ili Lugola aende nje kikazi lazima aeleze sababu na Raisi Magufuli atoe ruhusa. Je Magufuli alimruhusu Lugola aende kusaini mkataba ili aje amtumbue?

    Tumemsikia Raisi wetu akisema Lugola katumbuliwa kwa ku-saini mkataba wa mabilioni ya fedha bila ruhusa ya Bunge wala yeye raisi. Sasa iko hivi. Ili waziri wa serikali atoke nje ya nchi, inabidi ruhusa itolewe na Raisi Magufuli, na waziri aeleze kwa kirefu anaenda nje kufanya nini. Na kama kuna...
  10. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo: Mwezi April 2020 nitamkabidhi Rais Magufuli orodha ya Wakurugenzi wavivu

    Waziri wa nchi Tamisemi, Seleman Jafo amesema ana majina ya wakurugenzi wasiokwenda na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania, atayakabidhi kwa Rais John Magufuli Aprili, 2020. Jafo ameeleza hayo leo Jumatano Januari 22, 2020 mjini Dodoma wakati akikabidhi mashine 7227 za kukusanyia...
  11. Luqman mohamedy

    JamiiForums Tanzania Hivi Makao Makuu ya nchi ni Chato au Dodoma? Mzee anatuchanganya

    Sielewi ziara za viongozi wakubwa zote Chato. Naona harakati za kuikuza Dodoma zinadumaa kwa style hii. Na kwa style hii tunachanganya watendaji hatujui nguvu waeke wapi Dodoma au Chato? Kuna muda itafika tutawalaumu mawaziri na manaibu wao bure tu. Naendelea kuuliza je mipango hii ilikuwepo...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua tena Lyatonga Mrema kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Parole

    Rais Magufuli ateua wenyeviti 5 wa bodi na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa. Mara kwanza Mrema aliyeteuliwa na Rais John Magufuli kuongoza bodi ya Parole Julai16, 2016, na muda wake kuisha Julai 16, 2019 baada ya kutimiza kipindi cha miaka mitatu cha kuongoza bodi hiyo. Na leo 20 January...
  13. idawa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli abatilisha muda wa usajili wa laini za simu kwa kutumia Vitambulisho vya NIDA kama ilivyotangazwa awali na TCRA

    Amesema watanzania wapo milion 55 lakini waliosajiliwa NIDA ni million 15 tu. Hivyo tangazo la TCRA kuwa mwisho tarehe 1 mwezi wa tano itapelekea watanzania zaidi ya milioni 25 kukosa haki ya kumiliki mawasiliano. Ameongeza muda mpaka tarehe 31 mwezi wa kumi na mbili, hata hivyo muda utakuwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amualika Sultan mpya wa Oman kutembelea Tanzania wakati wowote

    Rais Magufuli amemualika Sultan mpya wa Oman kuitembelea Tanzania wakati wowote. Salamu za Rais Magufuli zimetolewa na Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi aliyeko nchini Oman alikotumwa na Rais Magufuli kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha Sultan wa nchi hiyo. Source: Channel ten
  15. J

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika ( AU) wampongeza Rais Magufuli kwa kutekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha Afrika

    Kamishna wa AU mh Bade kwa niaba ya Umoja wa Afrika amempongeza kwa dhati Rais wa Tanzania Dr Magufuli kwa kuzitekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha bara la Afrika. Bade ametoa pongezi hizo jijini Arusha wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la makao makuu ya...
  16. technically

    JamiiForums Tanzania Anguko la Rais Magufuli litakuwa na mshindo mkubwa sana

    Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote. Sio ndani ya vyombo vya usalama, Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote watapeleka mashambulizi juu ya hoja za Usalama wa taifa na utekaji wa watu, kuanguka kwa Uchumi, Ajira...
  17. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Swali la Ugomvi: Injinia Kamwelwe mnataka Rais Magufuli awabebeje ATCL?

    Hili ni swali ambalo linahitaji kujibiwa kwa usahihi, kwa haraka na kwa umakini. Ni kitu gani ambacho Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) linahitaji kufanyiwa na Rais Magufuli ili liweze kutengeneza hadhi inayostahili shirika la kitaifa? Huku ndiko ninakokuita kubebeka. Hadi hivi sasa Magufuli...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?

    Kwakweli huu mradi kila nikiuangalia na complications zake huwa nakuna kichwa sana na kujiuliza kina nani walipendekeza mradi wa aina hii? Pamoja na usanifu wake kujikita kwenye gharama za juu bado sijawahi kuona faida ya mradi huu na sijui kama utakuja kukamilika. Mbaya zaidi umeshatushinda...
  19. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Agizo la Rais Magufuli la kugawa eneo la Airport ya zamani kwa wamachinga latekelezwa

    Ikumbukwe eneo hilo liliombwa kwa Mh. Rais na Naibu spika Dr. Tulia siku ya tarehe 26 April 2019. Zaidi soma https://www.jamiiforums.com/threads/mbeya-rais-magufuli-ahutubia-wananchi-uwanja-wa-ruanda-nzovwe-agusia-usajili-wa-laini-na-machinga.1577226/ Tangu juzi wafanyabiashara wadogo wadogo...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne Januari 14, 2020 ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
Back
Top Bottom