Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu.
Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa...
UPDATE:
Fuatilia LIVE coverage hapa:
Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila
==========
Heshima kwenu wakuu,
Heshima kwenu wakuu,
Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
Alichosema Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo katika maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mkoani Lindi.
"Miaka 20 iliyopita baba wa taifa alikuwa hai lakini sasa ametangulia mbele za haki. Miaka 20 ijayo sidhani kama kuna watu tutakuwa...
Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani.
Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi
Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
Kuelekea Tanzania ya Viwonder (Viwanda) ni lini tutafikia kutoa support kwa Wataalamu wetu wabuni na kutengeneza Vimashine vidogo au kubwa za kurahisisha kazi na kutengeneza ajira.
Tukiwa na nia ya dhati ya kupata 'Viwanda' inabidi sapoti hizi ziwepo, fungu liwepo na hamasa iwepo.
Yuko wapi...
Rais Magufuli kwenye sababu za kumuondoa January Makamba bora jikalie zako kimya.
Nimekusikia Rais leo ukijaribu kuelezea sababu za kumuondoa Uwaziri Bwana January Makamba. Kwa kweli hukuwa umejiandaa na maelezo ya kuridhisha.
Rais, kwenye suala la mifuko ya plastiki tunajua ukweli kwamba...
RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo.
Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
Rais Dkt John Magufuli anaongea na Wafanyabiashara Nchini ambapo katika hotuba yake ametaja vikwazo vikuu vya biashara Nchini kuwa ni Rushwa, utitiri wa kodi na tozo, ukosefu wa mitaji, Mawakala wa TPDF na utitiri wa taasisi zinazosimamia biashara.
Rais Magufuli anaendelea na hotuba na...
Na Kabwe Z. Ruyagwa Zitto, Mb
(Makala haya kwa sehemu kubwa yametokana na makala iliyoandikwa na mtu mwengine [....]. Mimi nimeiboresha tu Katika baadhi ya maeneo)
Juzi Serikali imetangaza bungeni kuwa Mradi mkubwa wa Ukanda Maalumu wa Kiuchumi wa Bagamoyo (Bagamoyo SEZ) wa thamani ya Dola za...
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.
Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop...
Inaonekana anatumiwa na mabeberu kukushushia credibillity kwa wanyonge.
Wewe ushafanya utafiti kabla ya maamuzi kwamba tunaweza KULIPA, KUSAFIRISHA AU KUBANGUA KOROSHO WENYEWE
Ulisema, hela tayari zipo benki ya wakulima, zishaingizwa.
Ulisema ikibidi wanjeshi hata kwa meno watabangua. Nchi...
Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka
Asisitiza, tena kwa sasa ndio haufai kabisa kufuatia Serikali kuhamia Dodoma.
Amewataka NSSF kujitafakari juu ya uwekezaji huu.
Amesema kama SSRA wangekuwa makini...
Mwalimu Nyerere kama kiongozi alikuwa na ndoto zake na miongoni mwa ndoto hizo ni pamoja na Kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma, pili kumiliki njia kuu za uchumi na tatu kuwa na bwawa kubwa la kuzalisha umeme Stieglers Gorge.
Katika uongozi wake kama Rais, Dr Magufuli ameweza kuhamishia...
ANGALIZO
Naomba kama unajijua kabisa kuwa uwezo wako wa kuona vitu vya umbali / unyeti / umuhimu wake basi katika huu ' Uzi ' kaa nao mbali kabisa na waachie wenye ' akili ' zao na ' Wachambuzi ' wa masuala haya ya Kijasusi ambao wapo ( tunao ) wengi humu na Sisi Mangumbaru na Mapopoma wengine...
'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons
So I’m not terribly surprised that the economy today looks pretty similar to the economy at the end of the Jakaya Kikwete administration. For example; unemployment Rate in Tanzania decreased to 10.30 percent in 2017 from 10.70 percent in 2014.
Though Economic growth has slowed since the last...
Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
1.Mabasi yanajaza kupita uwezo,ushahidi Upo, ni juzi tu nimesafiri kuelekea mbeya kwa basi mojawapo,wanaweka ndoo kibao. Traffic wanapewa chao mambo yanaenda kama kawaida
2. Kuna gari aina ya noa, zimebadilishwa na kuwa za abiria. Kiuhalisia ile gari ina capacity ya watu 8 ila inabeba 10...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.