magufuli

  1. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unadanganywa; Umeme wa REA haujawafikia wananchi wengi vijijini

    Niko natembelea ndugu zangu walioko pembezoni mwa miji kadhaa ambao vijiji au tuviite vitongoji au mitaa katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka, cha kushangaza havina umeme. Viongozi wengi wamekuja na kupiga uongo eti wanaletewa umeme wa REA awamu ya tatu ni mwaka wa tano...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
  3. Kelvin Kihiyo

    JamiiForums Tanzania Magufuli, Kagame marais wa mfano

    UTENDAJI kazi wa marais, Dk John Magufuli na Paul Kagame wa Rwanda unaoweka mbele maslahi ya nchi na wananchi umemvutia Balozi wa Rwanda nchini, viongozi hao ni mfano wa kuigwa. Utendaji wa marais hao, unaojali zaidi vitendo vyenye kuonyesha matokeo chanya badala ya maneno yasiyo na tija, ndiyo...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli utaendelea kuiona kazi ya Urais kuwa ngumu, kwa kuwa huruhusu nchi iwe na taasisi imara

    Nimekuwa nikimsikiliza Mara kwa Mara Rais wangu Magufuli, katika hotuba zake mbalimbali, anazotoa kwenye majukwaa ya kisiasa na Mara kwa Mara amekuwa akirudia kauli yake ya kulalamika na kusema kuwa kazi ya Urais ni ngumu sana na kama yeye angelijua hilo kabla, basi hata fomu ya Urais mwaka ule...
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli 2020: Jogoo la Shamba linapowika mjini, wa mjini hujaribu kujitutumua!

    Na. M. M. Mwanakijiji Wapo ndugu zetu kati yetu ambao wanapomwangilia Magufuli na utendaji wa serikali yake wanamuona ni mshamba aliyeula. Kwa kejeli zisizo kikomo na dharau zilizopitiliza wanaamini kuwa Magufuli hajachakaruka wala kujanjaruka kama wao wa “mjini”. Naomba kupendekeza kwako...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Magufuli, "Kama Unaona Kazi ya Urais ni Ngumu Kwako, Jiuzulu! ".

    Wanabodi, Haya sii maneno yangu bali ni paraphrasing from ushauri wa mwana Jf humu. Angalizo kuhusu paraphrasing. Ni editing tool inayotumiwa na ma editors ku summarize long speeches kwa kufanya brief for brevity na coherent ujumbe ufike kwa urahisi . Huu ni ushauri kwa rais Magufuli...
  7. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania TRC yajivunia mafanikio uongozi wa Rais Magufuli

    SERIKALI ya awamu ya tano, imeleta mchango mkubwa katika kukamilisha na kuleta mafanikio katika sekta ya reli nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa uongozi wa Rais John Magufuli umekuwa wa kipekee kutokana na...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege nyingine 3 kuwasili mwakani. Wahudumu wa ATCL wana ‘shape’ nzuri

    Rais Magufuli wakati akipokea ndege iliyokuwa imezuiliwa Canada amebainisha kuwa ndege mpya tatu zilizobaki zitawasili ambapo moja (Bombardier Q400) itawawasili Mwezi Juni 2020 na nyingine mbili ni Air-Bus 220-300 ambapo moja itawasili mwezi Juni na nyingine mwezi Julai 2021 Lakini pia, ameweka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii ya Rais Magufuli nashindwa kuelewa mzee Mwinyi alifeli wapi hadi viwanda na mashirika ya umma yakafa!

    Nafuatilia kwa makini jinsi taasisi za serikali zinavyozidi kujitokeza kutoa gawio (dividends) kwa serikali. Nimeona hadi vyuo kama SUA, IFM nk vikitoa gawio sambamba na wakala mbalimbali za serikali na hata vitega uchumi vilivyoko jeshini na magereza mfano Suma JKT. Natafakari tu endapo...
  10. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

    Wajumbe wa NEC Waliokuwa Mwanza Kesho saa 3 Asubuhi watapanda bure na Kurejea Dar es salaam kwa Kutumia Ndege ya Mpya Ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada na Mabeberu. Watasafiri bure Kushuhudia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Hata Hivyo ifahamike kuwa Ndege Hiyo Mpya bado ipo...
  11. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Magufuli is driving Tanzania further from human rights

    Baada ya kuona ndege imeachiwa mabeberu wametoa hii 👇... KWA UFUPI NI... Rais wa Tanzania John Magufuli anaendelea kuiongoza nchi yake mbali na utawala bora, demokrasia na haki za binadamu. Hatua yake ya hivi karibuni ilikuwa kuondoa tamko la Tanzania likiruhusu Mtanzania mmoja mmoja...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Mh Rais Magufuli, jina la John maana yake ni ‘Mtu aliyependelewa na Mungu na kupewa baraka zote’

    Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ametoa tafsiri ya jina la John kwa mujibu wa Biblia kuwa ni mtu aliyependelewa na Mungu wa mbinguni na kupewa baraka zote. Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli, nami Johnthebaptist nakubaliana na huyu mzee wangu wa Kanisa pale St Alban...
  13. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Zama za Magufuli wanasiasa wanaume wamebaki CHADEMA

    ZAMA ZA MAGUFULI NI RAHISI KUWAJUA WANAUME NA WANAWAKE! NA Luqman Maloto KUNA "male" yenye kumaanisha jinsia ya kiume na "man" ambayo maana yake ni mwanaume. Kuna "female" yaani mwenye jinsi ya kike na "woman", mwanamke. Awamu ya President Magufuli ni rahisi sana kuijua tofauti kati ya wenye...
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Aman iwe nanyi wakuu Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana. Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Magufuli anatamani nchi yetu iwe na Katiba ya nchi mbovu zaidi ya hii tuliyo nayo sasa!

    Wananchi wengi wa nchi hii wanatamani nchi yetu iwe na Katiba mpya ambayo itaendana na nyakati hizi, tofauti na Katiba tuliyo nayo hivi sasa ambayo ilitungwa mwaka 1977, ambayo wananchi wengi wanaiona kuwa haikidhi matakwa ya sasa ya kisiasa na kijamii Wakati wananchi wengi wanatamani nchi yetu...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

    Verdiana Mjwahuzi (81) ambaye ni mama wa mwandishi wa habari, Erick Kabendera amemuomba Rais wa Tanzania, John Magufuli kumsamehe mwanaye. Akizungumza kwa huzuni leo Ijumaa Desemba 13, 2019 katika mkutano na waandishi wa habari, Verdiana amesema Kabendera ni mwanaye pekee anayemsaidia katika...
  17. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Boris Johnson ni wazi kuwa Dunia inataka akina Trump, Magufuli na Jair Bolsonaro wengi yaani wazalendo wafia nchi zao kwa gharama yeyote

    Baada ya Chama cha Conservative cha Boris Johnson kupata ushindi mkubwa wa viti zaidi ya 326 vya Ubunge Uingereza, Waziri Mkuu huyo ameweka msisitizo kwamba Januari 31,2020 Uingereza itajiondoa rasmi katika Umoja wa Ulaya (EU). _ Boris amesema ni jukumu lake kuindoa Uingereza kwenye Muungano wa...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwingine tena aliyetoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli amekamatwa akiiba ng’ombe Mkoa wa Pwani

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa, amesema kuwa Jeshi la Polisi mkoani humo linamshikilia Mustafa Malimi (25) ambaye juzi Desemba 9, 2019 alipata msamaha wa Rais Magufuli na kuachiwa huru kwa kosa la kuiba Ng'ombe mwenye thamani ya...
  19. kibokomchapaji

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wakati wa mkutano wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF)

    BW. BERNARD KONGA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YA MFUKO HUO KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO LEO DESEMBA 12, 2019* NHIF imetumia jumla ya Shilingi Bilioni 13.7 katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwezesha ukarabati na ununuzi wa vifaa...
  20. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Makampuni mengine 58 yatoa gawio Serikalini

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philipo Mpango leo amepokea gawio na ziada nyingine kwa Makampuni 58 ambayo yalikuwa hayajatoa gawio kwa serikali ambapo Rais Magufuli alitoa siku sitini (60) wawe wametoa gawio. Pia Waziri Mpango ameagiza Makampuni na taasisi ambazo bado hazijatoa gawio la...
Back
Top Bottom