magufuli

  1. kibokomchapaji

    Yaliyojiri wakati wa mkutano wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF)

    BW. BERNARD KONGA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YA MFUKO HUO KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO LEO DESEMBA 12, 2019* NHIF imetumia jumla ya Shilingi Bilioni 13.7 katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwezesha ukarabati na ununuzi wa vifaa...
  2. elivina shambuni

    Makampuni mengine 58 yatoa gawio Serikalini

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philipo Mpango leo amepokea gawio na ziada nyingine kwa Makampuni 58 ambayo yalikuwa hayajatoa gawio kwa serikali ambapo Rais Magufuli alitoa siku sitini (60) wawe wametoa gawio. Pia Waziri Mpango ameagiza Makampuni na taasisi ambazo bado hazijatoa gawio la...
  3. gango2

    Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

    Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa). “Ndege yetu...
  4. J

    Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

    Kamati kuu ya CCM imekutana jijini Mwanza na kuongozwa na Mwenyekiti wake Dr Magufuli. Kamati kuu imempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa ujenzi wa miradi mikubwa inayoendelea nchini. Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kwa sasa hakuna kikwazo chochote kinachoweza kupunguza kasi ya...
  5. MsemajiUkweli

    Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

    Zitto Kabwe amewashutumu viongozi wa upinzani walioenda kwenye sherehe za uhuru, Mwanza na kupanda jukwaani kuomba maridhiano ya kisiasa kwa Rais Magufuli. Ametoa shutuma hizo kupitia mitandao ya kijamii akidai walichofanya ni kujipendekeza kwa Rais ili waachiwe nafasi chache za ubunge mwaka...
  6. Sky Eclat

    Mfungwa aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais akamatwa kwa wizi

    MFUNGWA ALIYEACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI AKAMATWA NA POLISI Mmoja wa wafungwa walioachiwa kwa msamaha wa rais mkoani Njombe anashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa kosa la kuvunja nyumba ya kulala wageni ya Nang'ano mjini Makambako ili kuiba fedha. Mussa Msolwa maarufu Hitler amedai...
  7. M

    Rais Magufuli na mbinu ya Charm offensive: Ujuha wa Chadema

    Kama kuna kitu inabidi nimsifu au niwasifu washauri wa kisiasa wa rais Magufuli ni uwezo wake wa kuwatumia mahasimu wake kujipandisha chati kisiasa. Tekniki mojawapo ambayo rais Magufuli ameonekana kuimaster ni kukuminya kisha akakutumia wewe mwenyewe kumsafisha na athari za kibinyo chake mbele...
  8. Determinantor

    Mfungwa aliyepatiwa msamaha wa Rais agoma kutoka jela

    Katika hali ya kushangaza Merad Abraham ambaye ni miongoni mwa wafungwa 70 waliosamehewa na Rais John Magufuli jana Disemba 9, amekataa kuondoka katika gereza la Ruanda mkoani Mbeya akidai kuwa hana mahala pa kwenda huku akijijeruhi usoni kwa jiwe kwa nia ya kutaka arejeshwe katika Gereza la...
  9. M

    Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  10. Pascal Mayalla

    Trend reading zaonyesha Tanzania njema kisiasa, Rais Magufuli is changing for the better!. Je, soon kukaa na wapinzani, kuruhusu mikutano ya siasa?!.

    Wanabodi, Mode: Kunapotokea jambo kubwa, jema, zuri lenye manufaa kwa mustakabali wa taifa kama leo, naomba ruhusu free flow of information kuhusu jambo hilo kwa kuruhusu hata threads 100 zenye mawazo na mitazamo tofauti tofauti zipande, kisha zitakuja kuunganishwa mbele ya safari, lakini isiwe...
  11. aka2030

    Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

    Wadau nimeandaa safari ya kwenda kuonana na Rais JMT hata nahitaji nikaonane naye ana kwa ana nifanye naye mazungumzo kama raia wa kawaida kijana mpenda maendeleo. Watu wengi sana wamekuwa wakienda Ikulu lakini hao ni wale wenye channel. Je, kwa mimi nisiye na channel ama kujuana na yoyote...
  12. S

    Kesho Mwanza CHADEMA itaifunika CCM sherehe za uhuru. Wakuu wa chama kuhudhuria

    Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeazimia kushiriki katika sherehe za Uhuru zitakazofanyika Mwanza kitaifa.
  13. Erythrocyte

    Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

    RC wa Manyara, Alexander Mnyeti amefuta kikundi cha watu wa Kilimanjaro waishio Manyara. Wiki chache zilizopita alikifuta kikundi cha watu wa mkoa wa Mara waishio Manyara. Amesema ataendelea kuvifuta vikundi/vyama vyote vya watu kutoka mikoa mingine waishio Manyara kwa sababu havina faida kwa...
  14. The Assassin

    Kwanini watu wanahoji Rais Magufuli kupeleka maendeleo Chato na Geita kwa ujumla?

    Watu wanahoji kwa nini Rais Magufuli anapeleka maendeleo kwao, Chato na Geita kwa ujumla, kama vile watu wa Chato au Geita hawastahili kupata maendeleo, sasa asipeleke Chato apeleke wapi? Unapokuja kwenye rasilimali za nchi hii haziko kwenye mgawanyo sawa, kuna mahala pengine utafikiri sio...
  15. Nigrastratatract nerve

    Rais Magufuli ni dira ya maendeleo barani Afrika

    YASHUHUDIE MAAJABU YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO INAYOJENGA VIPYA PAMOJA NA KUFUFUA VILIVYOKUFA: Uongozi wa nchi ni sawa na fumbo la imani. Hakuna awezaye kujua kesho atakuwa nani isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee ndiye mwenye ufunguo kwa kila mja wake. Unaweza ukawa na wazo, nia pamoja na malengo...
  16. elivina shambuni

    Yaliyojiri wakati wa hafla jiwe la msingi ujenzi wa meli mpya, chelezo na ukarabati wa meli Ziwa Victoria za Mv Victoria na Mv Butiama

    WATU na taasisi wameguswa na uamuzi wa serikali kujenga daraja la aina yake la Kigongo-Busisi wilaya Misungwi kwa kumhakikishia Rais John Magufuli kuwa naye bega kwa bega wakimsihi aendelee kuchapa kazi bila kujali kelele. Aidha, daraja hilo refu kuliko yote katika Afrika Mashariki na la sita...
  17. ubongokid

    Jinsi Ukiritimba wa Magufuli unavoiua CCM na Kuijenga Chadema na Popular Movement

    Ni ukweli usiopingika kwamba Magufuli amethibitisha kwamba yeye ni chuma. Pamoja na jitihada zake nyingi za kujaribu kujenga Tanzania Mpya na mafanikio ambayo tunayaona kuna maeneo ambayo kwa hakika kabisa anaenda kukiua chama cha Mapinduzi CCM na kuimarisha chama cha Upinzani hasa Chadema...
  18. Pascal Mayalla

    Unaweza Kuamini Hii?!, Pamoja na Juhudi Zote za Rais Magufuli Kuleta Maendeleo Kwa Kusisitiza Ukweli Daima, Lakini Bado Anadanganywa Mchana Kweupe!.

    Wanabodi, Kuna hii video clip ni ya kipindi cha nyuma, ila mimi ndio nimeisikiliza leo, naomba na wewe isikilize halafu uniambie hayo yanayozungumzwa humu kama yanaweza kuwa ni kweli?!. Mimi nimemsikiliza huyu Meya wa Jiji la Mwanza, Mtahiki James Bwire, hivi huyu kweli haya anayoyasema kwenye...
  19. Sky Eclat

    Rais Magufuli: Ninaomba Mungu anisaidie misidentify kuwa na kiburi

    MUNGU ANISAIDIE NISIJE KUWA NA KIBURI - RAIS MAGUFULI "Siku zote nimekuwa nikimuomba Mungu anisaidie kamwe nisije nikawa na Kiburi, nikajiona mimi ni kiongozi. Nitaendelea kuwa mtumishi wenu na muda wangu ukimalizika nitarudi kijijini," - Rais Magufuli.
  20. J

    Rais Magufuli: Sisi watanzania ni Wamoja tusibaguane kwa makabila, dini na siasa awapongeza CCM na kusema Wapinzani wanaisoma namba

    Rais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa. Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza. Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa...
Back
Top Bottom