Hakuna hata Mradi mmoja wa Rais Magufuli utakaofanikiwa

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,774
Nina imani 110% na ninachokiandika hapa.

Rais wetu (hata kama hakuchaguliwa na wengi bado ni Rais wa nchi hii) hakujua kuwa alichokuwa unachokifanya kilikuwa counter-productive (nampa benefits of doubts kuwa alikuwa anajua pesa zilivyokuwa zinafujwa na alipaswa kuchukua hatua) lakini anakosea pakubwa katika jambo hili

HAKUNA mfabiashara smart atakaefanya shughuli zake nje ya mfumo, hata akipiga dili atafanya ndani ya mfumo (na kisheria Kabisa).

Kila aliepo jela leo hali ikitendeka si Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa au (kubwa lao) Mzee Kikwete atakaesalimika.

Kuwasulubu watu wasiohusika leo hii kwa ajili ya udhaifu katika kutunga na/au kufuatilia sheria wa Serikali zilizopita kutakuwa na tokeo MOJA TU: PRIVATE SECTOR KUFA.

Na ndio walipa kodi unaowategemea.
 
Mkuu, kama wewe siyo fisadi, basi ni muathirika mmojawapo wa waliotikiswa na utawala huu, umeandika kwa hisia za chuki hadi umepoteza maana.

Nimesoma 'main heading' na 'content' vimepishana, ni kama uliandika huku ukikimbia kivuli chako!.

....hakuna mradi hata mmoja...!

Hii miradi yote iliyoibuliwa na kutekelezwa kwenye awamu hii, wewe hauioni, au labda ulitaka miradi gani itekelezwe, ili wewe useme miradi imetekelezwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri kesho akiamka atang'amua alichokiandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndo hali aliyonayo rais wetu kwa sasa
20200104_065905.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kama wewe siyo fisadi, basi ni muathirika mmojawapo wa waliotikiswa na utawala huu, umeandika kwa hisia za chuki hadi umepoteza maana.

Nimesoma 'main heading' na 'content' vimepishana, ni kama uliandika huku ukikimbia kivuli chako!.

....hakuna mradi hata mmoja...!

Hii miradi yote iliyoibuliwa na kutekelezwa kwenye awamu hii, wewe hauioni, au labda ulitaka miradi gani itekelezwe, ili wewe useme miradi imetekelezwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi inayopambana na ufisadi haiwez kumsumbua CAG na kumfuta kazi
 
Wewe ulitaka ufuatiliwe ili upate umaarufu. Kwa taarifa yako wafuatiliaji wako bize na mambo yanayojenga
 
Jiwe anafanya makosa ya kiufundi ambayo watu wengi hawaelewi kwasababu tu ya ujinga wao.
 
Back
Top Bottom