maajabu

  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimeja sana Afrika na hatufanyi maajabu? Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanaume ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msiopanda 'DalaDala' mnakosa Uhondo, Vituko na Maajabu makubwa ya Kuzijua vyema zilivyo Akili 'Tata' za Waswahili Wenzetu

    Mtu ( Abiria ) anapanda DalaDala halafu anaamua Kukaa katika Siti ambayo japo kuna Jua Kali linapiga lakini Dirisha lake ni zima na linapitisha Upepo ( Hewa ) vizuri tu ( hasa Kipindi hiki cha Joto Kali jijini Dar es Salaam ) anaamua Kuhama hapo ili kulikwepa hilo Jua na kwenda Kukaa katika Siti...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ajira unaotumika umefeli kutokana na sababu zifuatazo

    Mfumo wa ajira unaotumika umefeli kutokana na sababu zifuatazo. 1. Haiwezekani jina la mtu aliye ajiriwa kujirudia zaidi ya Mara 195 alafu wasingizie kuwa ni tatizo la kiufundi. 2. Haiwezekani mtu aliyemaliza form 4 mwaka 2019 kuajiriwa alafu wasingizie kuwa mfumo ulikuwa hauruhusu ku edit...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

    Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni Mdau wa ELIMU Naiomba Ofisi yako iweze kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya majina ya waajiriwa wa Kada...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

    Kusema ukweli hizi ajira ni MAGUMASHI, hazina uhalisia wowote. Jina moja linajirudia mara nyngi na kituo ni kilekile. Kuna wengine wamemaliza fom4 mwaka 2019 eti na wao wameajiriwa. Swali: Kwanini hawajaandika vyuo walivyosomea? Kwanini hawajaweka serial number? MUNGU TUNUSURU --- --- ---...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

    Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika. Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge...
  7. HIMARS

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

    Wadau nini kimetokea? Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda.... Jaribu kwa Airtel, Vodacom
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Emaus Mwamakula, wewe ni Mtumishi wa Mungu kweli kweli!

    Mtumishi wa Mungu Askofu, nakusalimu kwa Jina la Yesu Kristo. Amani ya Bwana Iwe pamoja nawe. Napenda kukuandikia barua fupi yenye maneno machache. Napenda kukutambua rasmi kuwa wewe ni Mtumishi wa Mungu kweli kweli. Kazi yako ya upatanishi, haki na imani umeitendea haki, na Mungu akubariki...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya viongozi waandamizi wa CCM

    Ni jambo la kushangaza sana kuona hadi msemaji wa Ikulu kwenye ukurasa wake wa Instagram na Twitter akipost wasanii watakaokuwepo kwenye kampeni za Magufuli. Inastaabisha sana kuwekeza nguvu kubwa kwenye kuwatangaza wasanii badala ya mgombea urais. Hawa jamaa ni kama wamejitoa mshipa wa aibu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Dkt. Magufuli atema cheche

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Kampeni zikiendelea, mgombea wa CCM ameonyesha alivyodhamiria kuiboresha nchi vilivyo hata kuwa na barabara bora kabisa: Hata hivyo barabara hii ilikuwapo pia katika ahadi za 2015. Si haba, "chelewa ufike" japo waswahili pia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya kampeni za CCM, Mwigulu naye acharuka

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Siku za kampeni ndiyo hizo zinayoyoma. Kampeni nazo haiishi viroja. Mwendo ni bandika bandua. Mmoja baada ya mwingine. Sikia mheshimiwa huyu Ninawasilisha.
  12. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Tanzania: Badala ya Mgombea kuulizwa maswali, yeye ndiye anawauliza maswali Wananchi

    Ni bahati mbaya mikutano ya CHADEMA na ACT wanaoulizwa maswali ni Wananchi waliokuja kuwasikiliza badala ya wananchi kuwauliza wao maswali. Kwa kuwa siku bado ningefurahi kama kuna atakayewauliza wagombea wakuu wa CHADEMA na ACT haya maswali yangu. Au tufanye mdahalo nao? Maswali yangu ni haya...
  13. saidi bunduki

    JamiiForums Tanzania Maajabu 20 ya tunda la stafeli katika tiba

    Kwa jina jingine hujulikana kama (Tope tope) Nadhani ni kwa sababu ya umbile lake hasa likiwa limeiva huwa laini mfano wa tope. Huenda sura yake ikawa mbaya kwa muonekano, lakini ni tunda lenye faida nyingi sana ikiwemo uponyaji wa magonjwa mbali mbali. NAMNA YA KUTUMIA STAFELI Stafeli...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maajabu hayaishi Tanzania. Kijana amemaliza chuo hana ajira lakini anaishabikia CCM

    Kuna classmates wangu kadhaa nawaona mitandaoni hasa Facebook wakiwa ndani ya nguo za CCM. Kwakuwa Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali hii basi wanajua mimi ni mwana CCM pia. Nikiwahoji wanafanya kazi gani wanabaki kulia njaa tu na kunipiga mizinga au connection. Serikali si lazima ikuajiri lakini...
  15. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya undu Lissu na CHADEMA yake

    Kuna Mambo ya ajabu nimeyashuhudia na ninaendelea juu ya huyu Lissu na Chadema yake. Habari zake za kampeni zilikua zinahujumiwa na baadhi ya Vyombo vya habari zisitoke au kupungua umuhimu,lakini zinatoka.na watu wanahudhuria mikutano yake. Sijaona bango hata moja la Lissu lakini watu...
  16. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu ya Gwajima: Waumini wananyeshewa mvua, yeye anaahidi kujenga barabara kwa pesa zake mwenyewe

    Wana JF, Tangu nimjue Askofu Gwajima, sijawahi kuona amejnga shule muhimu kama mama Rwakatale, wala hajawaji kujenga kanisa lake mwenyewe m waumini wake daima wanakaa nje, sasa haya maendeleo anayotaka kutuletea kawe yatatoka wapi. Huyu ahadi zake ni nyingi watu inabidi tuzipime tusije...
  17. Kurzweil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee atibua harusi akidai maharusi ni watoto wake

    WAPENZI wawili waliokuwa tayari kufunga ndoa katika eneobunge la Bura, Kaunti ya Tana River walilazimika kusitisha harusi yao baada ya mwanamume kujitokeza ghafla harusini akidai yeye ni baba yao. Anne Magwi na Jotham Munini, watoto waliolelewa na wazazi wa kambo, walikuwa wamefika kanisani...
  18. BAK

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nipeni miaka mitano muone maajabu

    Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo ni haki yao kisheria. Gharama za maisha zikapanda lakini kipato cha watumishi kikabaki kilekile...
  19. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi.

    Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo ni haki yao kisheria. Gharama za maisha zikapanda lakini kipato cha watumishi kikabaki kilekile...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya CCM kutaka amani bila haki

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Nimefuatilia kauli takribani zote kuhusiana na uchaguzi mkuu zinazotokea katika chama hii kubwa. Si katika uzinduzi wa kampeni si katika walioongea katika kampeni au popote kuhusiana na uchaguzi 2020. Hakuna wanaposema neno 'haki'...
Back
Top Bottom