maajabu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya CCM kutaka amani bila haki

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Nimefuatilia kauli takribani zote kuhusiana na uchaguzi mkuu zinazotokea katika chama hii kubwa. Si katika uzinduzi wa kampeni si katika walioongea katika kampeni au popote kuhusiana na uchaguzi 2020. Hakuna wanaposema neno 'haki'...
  2. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo awasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa, atinga 'kininja' kukwepa maafisa uhamiaji

    Mgombea Ubunge katika jimbo Pangani kupitia chama cha ACT Wazalendo , ndugu Msagati ametinga kwa Msimamizi wa Uchaguzi kuwasilisha pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM (Aweso), na kuwasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa huku akiwa kavalia nguo iliyofunika uso wake ili kuwakwepa maafisa Uhamiaji...
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

    Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC. Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
  4. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Ifahamu ndege aina ya Concorde

    Moja kati ya mafanikio ya karne ya 19 yalikua ni hii ndege. Makubaliano ''concord" kati ya serikali mbili ya Uingereza na Ufaransa ndio yaliozaa wazo la kutengeneza hii ndege na wakakubaliana waipe jina la kifaransa la Concorde yaani maana yake makubaliano(concord). Ilikua na uwezo wa kubeba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni Maajabu: CCM inajua kuna wagombea wamepita kwa kutoa Rushwa ila TAKUKURU hawajamkamata hata mmoja nchi nzima

    Inachekesha Sana kwamba Kama nchi tuna chombo Cha kupambana na Rushwa Ila Hadi Leo tunavyoongea Hakuna mtia Nia wa chama chochote aliyepelekwa mahakamani kwa tuhuma za kugawa Rushwa ingawa Rushwa imetembea wazi wazi Cha kushangaza zaidi CCM Wana taarifa za baadhi ya wagombea kupitishwa kwa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi haya ni maajabu enyi wabobezi wa masuala ya Bahari, Maziwa na Mito nielimisheni zaidi kuhusu hili

    Body of a man who drowned in River Nzoia retrieved after two months Mwili wa Mtu aliyezama Mto Nzoia umeonekana baada ya Miezi Miwili Citizen TV Kenya Mimi ninachojua na nilichokaririshwa na Wadau ni kwamba Mtu yoyote akizama iwe Baharini au Ziwani au Mtoni ndani ya Siku Moja tu ataonekana
  7. Puma yetu

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge ashawishi Kamati ya Siasa ya Wilaya kuwakata majina yote watia nia ya Udiwani wasiomuunga mkono

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekua mbunge jimbo la Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu alishawishi kamati ya siasa ya Wilaya kuwakata majina wale wote waliotia nia ya kugombea udiwani CCM wasio muunga mkono yeye. Sasa watia nia hawa wa udiwani wanasubiri majina yao yakatwe watinge...
  8. mgt software

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya jimbo la Kawe: Halina propoganda za kuletewa Maji, Barabara wala Umeme; akili tu ya mtu wa kujenga Taifa

    Wana JF, Jimbo la Kawe ni jimbo lililosheheni viongozi wengi vichwa, mpaka sasa kuna Mawaziri wakuu wastaafu watatu, makatibu wakuu karibu wote. Jimbo hili linataka mtu kichwa tu, si kwa kuwa na hela nyingi eti utafanya kampaini, la hasha. Lenye vituo vya mafuta, lina migogoro ya ardhi tu...
  9. Wazo la kabwela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu ya mwanamke yaliyowashinda hata wanafalsafa kuelewa

    Ukinipinga pinga kwa hoja. Wanawake ni binadamu wa ajabu sana katika uso huu wa Dunia yaani hawa watu ni next level, kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa, Newton na uwezo wake wote linapokuja suala la wanawake lazima atoke kapa na (ndio maana haieleweki hata kama akioa). Manabii na...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu: Fomu ya kuomba Wadhamini ya Mgombea wa CCM inatembezwa na Viongozi wa CCM Makao Makuu...

    Utaratibu wa miaka yote mgombea mwenyewe au wapambe wake ndio wenye jukumu la kutafuta wadhamini wa Mgombea wao , si viongozi wa Makao Makuu, hii ni kwa sababu viongozi hao hawatakiwi kubagua wanachama , maana wagombea wanaweza kuwa zaidi ya mmoja , ndio maana wagombea wote wa urais wa CCM 2015...
  11. ngoshwe

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Dar, imetupilia mbali kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Spika Ndugai kwa kumtambua Mwambe kama Mbunge baada ya Kujiuzulu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa uamuzi na kutupilia mbali shauri la Kikatiba Na. 10 la mwaka 2020 lililofulinguliwa na Wakili wa Kujitegemea Revocatus Paul Kaunda kupinga Kauli ya Mhe. Spika aliyoitoa Bungeni kumtambua Mhe. Cecil Mwambe kuendelea kuwa Mbunge. Mahakama Kuu kupitia...
  12. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maajabu 7 ya dunia

    Mara nyingi watu husikia mara kwa mara kuhusu maajabu 7 ya Dunia, ila wengi wao hawajui ni yapi. Basi tuwe pamoja katika kuyaelezea tupate kuyafahamu vizuri.. Maajabu hayo ni kama yafuatayo: 1: Piramidi za Giza (Misri ya Kale) 2: Mabustani ya Semiramis (Babeli) 3: Hekalu ya Artemis mjini Efeso...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya NASA

    Duniani kuna mambo ya kushangaza . Unaijua NASA Ndio nasa shirika la anga za juu la mmarekani ambalo hakuna taasisi ya anga za juu kubwa kuliko yoyote duniani Kama NASA . Hata hao space x unaowasikia manjonjo yao yote yanaratibiwa na NASA. Sasa cha ajabu hawana jengo lao binafsi jengo ambapo...
  14. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Dunia inashuhudia Tanzania ikionesha maajabu!

    Tanzania inaendelea kuishangaza dunia kwa maajabu yanayofanyika tokea kuzuka kwa Ugonjwa wa Covid-19! Chini ya Rais wake John Pombe Magufuli: Tanzania ilikataa kwenda Lockdown. Tanzania ilikataa kufunga mipaka kuhofia Uchumi kuporomoka. Tanzania ilikataa kufanya vipimo vya Covid-19 kwa kudai...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe asiyeishiwa maajabu

    Ukikaa ukatafakari matukio uliyokwisha kutana nayo kwa wanawake utaungana na mimi. Hawa watu wanamaajabu mengi na siku zote hawaishiwi maajabu Kuna jambo moja kwangu nataka leo mnisaidie kunifafanulia Haya mambo hutokea hasa sehemu za makazini, mtaani na hata chuoni. Wadada wanaonyesha kuwa...
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema azuiwa kuingia mahakamani kwa kuambiwa kuwa ana Corona baada ya joto lake kusoma nyuzi 37.1

    Haya nayo ni maajabu mengine yametokea huko Tarime hapo jana baada ya ndugu Chacha Heche aliyetakiwa kumdhamini kada wa Chadema mahakamani kupimwa joto la mwili likasoma nyuzi joto 37.1 kisha akaambiwa kuwa ana Corona na kuzuiwa kuingia ndani ya viunga vya mahakama. Kada huyo alilazimika...
  17. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu

    Mzuka wanajamvi Kamwe usingewaza tukio kama hili kutokea Uswizi. Korona (pathetic virus) imeleta shida kwa kipindi kifupi sana. Yani watu Uswizi wanapanga foleni ndefu tena ya zaidi kilometre moja kupewa chakula cha bure tena wanawahi kupanga mstari kwaanzia saa kumi na moja asubuhi. Kwa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Habari Njema: Tiba Lishe Ya NIMRI Yaanza Kufanya Maajabu Katika Kuwaponya Wagonjwa wa Covid 19

    Hatimaye watafiti wetu wa tiba mbadala wameanza kupata matokeo chanya katika kuwatibu wagonjwa wa Korona. Kumbe walikuwa katika utafiti kwa muda mrefu tu wakitafiti dawa ya HIV. Na sasa lilipokuja hili la korona wamefanya maboresho wanayoyajua wao. Hatimaye matokeo mazuri yamepatikana...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maajabu hayataisha Tanzania, pamoja na yote haya wananchi wataichagua CCM

    Habari wakuu! Kwa umri wangu mdogo wa miaka takribani 30 nimejifunza mengi, sijabahatika kuvuka mipaka ya Tanzania lakini nimefika karibu mikoa 20 ya Tanzania bara. Hulka na silka za Watanzania zinafanana. Kwa uelewa wangu wa mambo ya kisiasa niliojifunza mitaani na mitandaoni nimehitimisha...
  20. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Kwa sasa Wananchi hawatapewa dawa za kukabiliana na Corona kutoka Madagascar, inafanyiwa utafiti kwanza

    Tumerudi kutoka Madagascar jana usiku ila hatujaja na dawa ya kuanza kugawa leo, tumekuja na dawa za kuanza utafiti na uchambuzi maabara, nimepokea simu nyingi, meseji WhatsApp Watu wanataka niwagaie, jamani sina dawa, sijaja na chupa za dawa”- Waziri Kabudi “Chupa tumepewa mbili tu (control)...
Back
Top Bottom