Katika hii Safari nimejionea maajabu Makubwa sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Nlisafiri kwenda Mkoani. Ili kukwepa traffic na mambo ya mwendo elekezi nikaondoka Dar saa 4 usiku. Kiukweli nlikuwa speed sana mpaka alfajil huo Mkoa watu walikuwa wakiona gari yangu inavyokimbia wanashika vichwa na kuachia mdomo wazi huku macho wametoa hivi.

Ile speed nahisi ilikuwa inakaribiana kwa ukaribu sana na speed ya light.au mwendo kasi wa Mwanga.

Nmekuja kurudi Dar baada ya siku 5 nakuta jamaa zangu wamezeeka sana.wengine wameshazalisha. Na mdogo wake wife nkkakuta ameshazaa muda tu.

Jamaa zangu nimerudi nimewakuta wamechoka sana. Wamekuwa Wazee...
 
Ulipita njia ya Bagamoyo au Kibaha? Ninavojua ya Kibaha kuna Portal pale Kwa Matihas, inafungukaga baadhi ya siku kwa watu special na ukiwa katika speed special.

Unapelekwa katika parallel universe ila sio ulimwengu huu. Dakika moja utakayo spend kwenye iyo universe ni zaidi ya masaa 12 huku. Sasa can you imagine siku 5 ulizospend huko?

Hope unavoondoka Kikwete alikua Waziri wa Mambo ya Nje.
 
Chai ya majani ya mpera, mstafeli, mronge, mchaichai na mlimao iliyotiwa hiliki, tangawizi, karoti na tango na tena imechemshiwa maji ya Dew drop, Kitulo, Rungwe, Jambo, Dasani, Udzungwa na Afya weeeeeeeeeh, halafu imepuliziwa Rungu, Fyn by Falsafa na HIT.
 
Ulipita njia ya Bagamoyo au Kibaha? Ninavojua ya Kibaha kuna Portal pale Kwa Matihas, inafungukaga baadhi ya siku kwa watu special na ukiwa katika speed special.

Unapelekwa katika parallel universe ila sio ulimwengu huu. Dakika moja utakayo spend kwenye iyo universe ni zaidi ya masaa 12 huku. Sasa can you imagine siku 5 ulizospend huko?

Hope unavoondoka Kikwete alikua Waziri wa Mambo ya Nje.
Bagamoyo. Kumbe nawe unayafahamu mambo haya? Aiseeeee.... Ni hatari sana unakuwa katika future. Nmekuta mabadiliko makubwa sana nliporudi. Ile speed sijawahi endeshea gari.
 
Bagamoyo. Kumbe nawe unayafahamu mambo haya? Aiseeeee.... Ni hatari sana unakuwa katika future. Nmekuta mabadiliko makubwa sana nliporudi. Ile speed sijawahi endeshea gari.
Mkuu unaijua speed of light lakini???Ni 3x10⁸ m/s sidhani kama dunia ya sasa kinaweza kwenda kwa speed hiyo
 
Back
Top Bottom