Hizi gari Zina maajabu gani? Mbona bei yake ni kubwa sana

Dr Msweden

JF-Expert Member
Nov 3, 2020
2,632
9,445
Habari Wana jukwaa?

Katika pita pita be forward nimekutana na hivi vi Suzuki bei yake imenishtuaView attachment 1654569nilikuwa naulizia kuna kipi cha ziada mpka imepelekea kuuzwa bei kubwa? Naona Hadi crown,Subaru ,Benz zimepitwa gharama..
Screenshot_20201219-202841.png
Screenshot_20201219-203333.png
 
Back
Top Bottom