maajabu

  1. BONGOMOVIE

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA FAMILIA INAYOTEMBEA KWA MIKONO NA MIGUU KAMA NYANI

  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Baba na binti yake wamemteka mwanamke, wamemuibia na kisha binti akamsaidia baba yake kubaka.

    Vituko Duniani hua haviishi. Baba na mwanae wa kike wanashitakiwa kwa kosa la kumteka mwanamke mwingine, kumuibia na kisha kumbaka, huku binti akitajwa kumsaidia baba yake kumbaka huyo mwanamke. Soma hiki kisa hapa. Father, daughter charged with raping woman, leaving her to die in desert...
  3. Bongoclever

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya watu kufanana sura

    Habari Zenu Jf Members? kuna maswal mengi sana huwa najiuliza inakuwaje watu wanafanana sura na ili hali hawatoki ukoo mmoja, unakuta labda 50 cent kafanana na mtu kutoka Kenya. mpaka msemo wa dunian wawil wawil ukaibuka. hii imekaaje asee? mwenye uwelewa wa hii kitu anifafanulie
  4. Nuraty J

    JamiiForums Tanzania Ninachojiuliza kuhusu ya wanyama mwitu

    Habarini, Kuna kitu kimenishangaza kwa wanyama wa mwituni. Mfano, nilikuwa naangalia channel ya wanyama muda huu, kuna Chui jike ana watoto watatu anakanao kwenye pango. Akitaka kutoka kuhamia kwingine vinamfuata nyuma. Kilichoniacha hoi ni pale mama yao anapoinuka kutaka kwenda kuwinda...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Barrick na Tanzania waunda Kampuni ya ubia iitwayo Twiga Minerals na Serikali itamiliki asilimia 16

    Waziri wa Mambo ya Nje, Prof Palamagamba Kabudi ametangaza leo kuwa Serikali kwa kushirikiana na Barrick Gold Corporation wameunda kampuni ya ubia inayoitwa Twiga Minerals Corporation. Katika kampuni hiyo Serikali ina hisa asilimia 16 na Barrick asilimia 84. ====== Baada ya mgogoro uliodumu...
  6. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Binti Aolewa na wanaume wawili Mapacha!

    Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake. Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi...
Back
Top Bottom