maajabu

  1. Replica

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu Bungeni: Spika awaonya watakaovaa tai nyekundu

    Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi. Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Kakonko: Makusanyo kwa mwaka ni Tsh. Milioni 539, lakini Ujenzi wa nyumba ya Mkuu wa Wilaya umetengewa Tsh. milioni 700

    Wakati makusanyo ya mapato katika wilaya ya Kakonko kwa mwaka 2020/21 yalikua ni Milioni 539, ujenzi wa nyumba ya mkuu wa wilaya umetengewa milioni 700. Fedha hizi ni mara tatu ya fedha zinazogharamia elimu kwa shule za msingi Kakonko Ukarabati wa nyumba Katibu Tawala Kisarawe umetengewa...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi. Deby alienda mwishoni mwa wiki kuvitembelea vikosi vya nchi hiyo ambavyo vinapambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Waasi hao wamevuka mpaka wakitokea Libya. Kifo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Prominent COVID conspiracy theorist dies of virus

    Mabibi na mabwana yamesemwa mengi na hata yamerushwa matusi mengi. Uzuri ni kuwa wapigania haki za watu kuishi hawana tuzo wala utambulisho wanaotaka kibinafsi hapa duniani wala huko juu mbinguni. Hapa yupo mwingine alikuwa mshupavu kweri kweri: Wajameni haka kaugonjwa kana tabia mbaya ya...
  5. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Maajabu mazishi ya Prince Phillip: Mahubiri marufuku kanisani, marufuku kuimba nyimbo za kwaya na Marufuku bendera kuwa nusu mlingoti

    Leo ndio mazishi ya Prince Philip wa Uingereza waweza angalia moja kwa moja tv ya SKYNEWS Maandalizi yote ya msiba wake aliyaanda mwenyewe kabla kufa na ratiba aliindaa mwenyewe. Katika maagizo aliyoagiza ni kuwa ni maruku padre kuhubiri mahubiri mahubiri kwenye msiba wake na kanisani...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya baadhi ya Wana-JamiiForums kwa Utawala wa Awamu ya 6

    Wasalam...! Kwanza lazima tukubali tu kuwa kwa sasa tuna Rais mwingine na ni Awamu nyingine kuanza kutafuta kuokoteza maneno maneno na kuyaanzishia thread za kukosoa Utawala wa Awamu ya 6 chini ya mama shupavu SSH ni kukosa hoja na kuonesha kuwa kuna watu walikuwa wanafaidika moja kwa moja...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

    Hii ni habari mbaya sana maana ni ngumu kuiamini. ---- Jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi Ilala linamshikilia Juma Shamata kwa kushindwa kuhifadhi eneo salama bastola yake, hali iliyosababisha mtoto wake wa miaka 17 kuitumia kwa kumpiga risasi mtoto mwenzie Ikhissan Abdilahi (10) na kumsababishia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu haya yanapatikana tu Yanga SC

    Wakati Klabu ya Simba ikiwa inashangilia Kutinga Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika tena Convisingly kabisa huko Yanga SC katika hali ya Kushangaza leo nao Wameshangilia urejeo wa Mshambuliaji wao Mburundi Saido Ntibanzonkiza. Kuna Watu hata Aibu hawana na wala hawaogopi kutokana na Simba SC...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya siasa Mimi ccm hata wamuweke Nani hapo juu automatically namuona ni tatizo.

    Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018 hii. Nilichogundua Mapenzi hayalazimishwi yankj automatically. Na huu ndo ukweli. "Hakika kunguru...
  10. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya maajabu, 70% na zaidi inategemea kilimo na haina kiwanda cha mbolea,mbegu wala kutengeneza trekta

    Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha; ~Mbolea ~Mbegu ~Utengenezaji matrekta. Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi. Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao. Nchi imejaa UZEMBE SANA. 80% ya zao...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya msiba, Halima avunja ukimya

    Mabibi na mabwana msiba wa mzee baba umekuwa na maajabu yake. Ilikuwa Jaffo na sasa bi Halima au sauti ya zege: Kutokea kwenye kuvunjwa mkono hadi kwenye mahaba niue, kweli siku hazigandi. Kalale pema peponi JPM.
  12. hypothalamus

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia, mtu aliepata mtoto pasipo kuwahi kuishi kabisa

    Unaweza kufikiria ilikuwaje mtu ambae hajawahi kuishi kupata mtoto? Familia moja huko marekani ilipata mtoto na baba alipoamua kufanya kipimo cha DNA majibu yalimshangaza Hakuwa baba wa mtoto Familia iliamua kufanya kipimo maalumu cha 23andMe na matokeo yaliwashangaza zaidi Baba halali wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanga: Tujitathmini kidemokrasia tunaweza kuwa tunapwaya

    Mabibi na mabwana hii clip inajieleza: Hii ni katika ziara ya makamu wa rais mama Samia. Huyu jirani yetu asiyekuwa mwema, kazi anayo. Maendeleo hayana vyama!
  14. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kifahamu kijiji cha maajabu kinachoongoza kwa utalii Afrika, kinaelea kwenye ziwa

    Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji kikubwa zaidi kilichopo kwenye ziwa barani Afrika na ni maarufu sana kwa watalii. Kijiji kiliundwa...
  15. Pinkman

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya 'ziwa la mifupa ya binadamu' India

    CHANZO CHA PICHA,HIMADRI SINHA ROY Juu katika milima ya Himalaya nchini India, ziwa lililo kwenye bonde lenye theluji, limetapakaa mamia ya mifupa ya binadamu. Mto Roopkund uko umbali wa futi 16,500 juu ya usawa wa bahari chini ya mteremko mkali wa Trisul, moja ya milima mirefu, katika jimbo la...
  16. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Nyumbanitu: Msitu wa ajabu mkoani Njombe wenye kuku weusi, ng'ombe weusi, mbuzi weusi na kondoo weusi

    Njombe ni mmoja wa mikoa 31 ya Tanzania, uliorasimishwa kuwa mkoa mwaka 2012 mara baada ya kutenganishwa na Iringa inayopatikana Nyanda za Juu kusini Kwa Tanzania. Hapo awali Njombe ilikuwa ni wilaya ndani ya mkoa wa Iringa ikiwa ina ukubwa wa eneo la mraba la Km 21,347. Sensa ya mwaka 2012...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Fahamu maajabu ya Vinasaba vinne vya msingi

    Ni kawaida sana kusikia mama akisifiwa kwa kuzaa photocopy ya mume wake, bila kujua kwamba ile process ya ‘photocopying’ haikufanyika tumboni kwa mama, bali ilianza kwenye ‘Gonads /(Korodani)’ za baba mtu na kwenda kukamilika tumboni kwa mama. Kidijitali taarifa za kielektroniki zinatunzwa na...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Katika hii Safari nimejionea maajabu Makubwa sana

    Nlisafiri kwenda Mkoani. Ili kukwepa traffic na mambo ya mwendo elekezi nikaondoka Dar saa 4 usiku. Kiukweli nlikuwa speed sana mpaka alfajil huo Mkoa watu walikuwa wakiona gari yangu inavyokimbia wanashika vichwa na kuachia mdomo wazi huku macho wametoa hivi. Ile speed nahisi ilikuwa...
  19. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania Hizi gari Zina maajabu gani? Mbona bei yake ni kubwa sana

    Habari Wana jukwaa? Katika pita pita be forward nimekutana na hivi vi Suzuki bei yake imenishtuanilikuwa naulizia kuna kipi cha ziada mpka imepelekea kuuzwa bei kubwa? Naona Hadi crown,Subaru ,Benz zimepitwa gharama..
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tafakuri Jadidi na maajabu ya Bongoland

    Kama Reli Imepita Shambani Kwako... Na kama ilimopita reli tayari ni tuta. Na kama treni haipiti juu ya reli kwa msimu mzima wa kilimo, kuanzia kupanda, palizi hadi mavuno. Je, kuna dhambi gani kwa mwenye shamba kulima mahindi yake na akayavuna kabla ya msimu wa treni kuanza kupita? Ni...
Back
Top Bottom