Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,133
- 166,016
Kama Reli Imepita Shambani Kwako...
Na kama ilimopita reli tayari ni tuta.
Na kama treni haipiti juu ya reli kwa msimu mzima wa kilimo, kuanzia kupanda, palizi hadi mavuno.
Je, kuna dhambi gani kwa mwenye shamba kulima mahindi yake na akayavuna kabla ya msimu wa treni kuanza kupita?
Ni Tafakuri Jadidi.