Msiopanda 'DalaDala' mnakosa Uhondo, Vituko na Maajabu makubwa ya Kuzijua vyema zilivyo Akili 'Tata' za Waswahili Wenzetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,068
107,560
Mtu ( Abiria ) anapanda DalaDala halafu anaamua Kukaa katika Siti ambayo japo kuna Jua Kali linapiga lakini Dirisha lake ni zima na linapitisha Upepo ( Hewa ) vizuri tu ( hasa Kipindi hiki cha Joto Kali jijini Dar es Salaam ) anaamua Kuhama hapo ili kulikwepa hilo Jua na kwenda Kukaa katika Siti ambayo Jua halipigi lakini Dirisha lake halifunguki na kuna Joto Kali katika huo upande.
 
Kuna wataalamu wa kubambia ndani ya daladala!

Kuna waswahili wa mitego ndani ya daladala!

Mara nyingi watu wanapitiliza vituo kisa vituko.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo sisi tunaogeuza na gari huwa tunapiga mahesabu mengi upande upi upo wa jua ....wanangu wa gomz na mbagala wanajua nachomanisha
Kuna Siku nilihama upande uliokuwa na Jua kabla Gari halijatoka Kituoni na lilipoondoka tu kumbe upande niliohamia Jua lilikuwa ni Kali zaidi.
 
Hahahahaha mahesabu hwa tabu sana
Ila kuna Watu wanajua kweli Mahesabu ya Kulikwepa Jua wakiwa katika 'DalaDala' kwani kila ukikutana nao ndani ya Basi Jua kamwe haliwapigi.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Babu kwenye Pantoni huko kigamboni nako si haba...ni mwendo wa kubadilishana namba za simu tu!
 
Ila kuna Watu wanajua kweli Mahesabu ya Kulikwepa Jua wakiwa katika 'DalaDala' kwani kila ukikutana nao ndani ya Basi Jua kamwe haliwapigi.
Kama mm hapa mwanzon ndo yalikuwa yananipa tabu ila baada ya kuzoea raha sana
 
Kwahiyo na Wewe sasa hivi umekuwa 'Mathematician' ndani ya 'Basi' Mkuu? Mimi kwa Utabiri mbovu wa 'TMA' huwa nabahatisha kutobahatisha.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Nipo kwa daladala ya Makumbusho juzi, kufika Mwenge Konda akasema kwa sauti 'Mwenge Mwenge' akageuza kichwa watu wote kimyaaa..!

tumepita Mwenge twakaribia ITV, mama mmoja akasema 'konda niache Mwenge', dereva ndiyo kwaaanza akaongeza speed makusudi kabisa, vile Wabongo tulivyo na degree ya ku mind other people's business tukageuka wote kumtazama, naye mama wa watu akajikausha kama hayupo,

Kufika ITV, konda akaita tena, watu wakainuka ila macho kwa yule mama hayatoki waone Je, atainuka kushukia hapo, lakini ndiyo kwaaanza akajikausha zake, nimekuja kushuka naye Makumbusho ndani kabisa maskiini sijui alikuwa mgeni..!!
 
Mkuu nimecheka kwa hii 'post' yako. Kuna Abiria kweli wana Akili za 'Kipa Katoka' kabisa hapa Dar es Salaam katika hizi 'DalaDala' zetu nyingi tu.
 
Nipo kwa daladala ya Makumbusho juzi, kufika Mwenge Konda akasema kwa sauti 'Mwenge Mwenge' akageuza kichwa watu wote kimyaaa..!

tumepita Mwenge twakaribia ITV, mama mmoja akasema 'konda niache Mwenge', dereva ndiyo kwaaanza akaongeza speed makusudi kabisa, vile Wabongo tulivyo na degree ya ku mind other people's business tukageuka wote kumtazama, naye mama wa watu akajikausha kama hayupo,

Kufika ITV, konda akaita tena, watu wakainuka ila macho kwa yule mama hayatoki waone Je, atainuka kushukia hapo, lakini ndiyo kwaaanza akajikausha zake, nimekuja kushuka naye Makumbusho ndani kabisa maskiini sijui alikuwa mgeni..!!
Yaani Wabongo Ni Wambea Balaa :D
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom