Uchaguzi 2020 Mitandao ya Airtel na Vodacom ukituma SMS “Tundu Lissu” au “John Magufuli” haiendi

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,361
94,539
Wadau nini kimetokea?

Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda....

Jaribu kwa Airtel, Vodacom

0602E472-2CF1-4F04-8215-3E7EFAF75FD5.jpeg
 
CCM baada ya miaka 59 ya uhuru wa Tanganyika ndiyo imefika mwisho wa safari yake. Mungu ameikataa, wananchi hawaitaki na hata Ibilisi mwenyewe amekaa mbali nayo. Isipokuwa wamebaki wanafiki wachache ambao bado wanajishebedua tu kutoka na kutaka kulinda maslahi yao binafsi.
tapatalk_1598801676995.jpg
 
Back
Top Bottom