Uchaguzi 2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
36,291
2,000
Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake.

Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika.

Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge maarufu waliopata kuwa mawaziri kurudi bungeni kwa njia ya dirishani badala ya mlangoni akina Dkt. Kigwangalla, January Makamba na Nape ambao kiukweli wanakwenda kuwakilisha jimbo na si Wanajimbo.

Kubwa kuliko ni pale Daktari Faustine alipomtuliza mtaalam wa uvuvi ni RC mstaafu Mh. Paul pale Kigamboni.

Johnthebaptist, mzee Mgaya na mchungaji Erasto tunawatakia watanzania wote uchaguzi wenye baraka.

Mungu mbariki Rais Magufuli.

Mungu wabariki wabunge wateule hasa Iringa, Mbeya Tunduma, Hai, Same, Mikumi, Kawe, Nyamagana, Karatu, Vunjo, Arusha mjini na Kigoma ujiji.

Mungu mbariki diwani mteule kule Mbweni.

Maendeleo hayana vyama!
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
37,699
2,000
Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika.
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu JF, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
36,291
2,000
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Mbona kuna wengi tu walipata kura 0

Kuwa mwanasiasa ni lazima uwe na ngozi ngumu by rip Sitta

Mungu mbariki Pascal Mayalla.
 
Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
3,477
2,000
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Tulia dawa iku ingie..una batizwa kwa moto kama makamba alivyo sema
 
Ngariba1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
832
1,000
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Samahani mkuu P, hivi hiyo kura moja ni baada ya kuomba kura kwa kuwashawishi wajumbe kuwa utawapa mamilioni?

Ilikuwaje ukaona ushawishi wa fedha ndio utawanasa?

Ulijisikiaje walipokutosa (waliporuka mtego wako wa fedha)?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom