kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Kuongeza nauli ya daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600 ni kuishusha thamani Tsh 500

    Katika jambo ambalo nimeshangaa ni hili la kuongeza nauli za daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600. Maana yake ni kwamba sarafu moja pekee ya Tsh haiwezi kulipia nauli ya daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine. Si hivyo tu kutumia sarafu ya Tsh 500 kwenye nauli inapunguza kuombaomba chenji...
  2. W

    Viongozi 9 kutoka Afrika waliotawala kwa muda mrefu zaidi na bado wapo madarakani

    1. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo - Miaka 44 Huyu anashikilia rekodi ya kuwa Mtawala aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani. Ni Rais wa Equatorial Guinea ambaye ameshika madaraka tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua Mjomba wake Francisco Macías Nguema. Mbali na Afrika, Mbasogo anashikilia rekodi...
  3. TUKANA UONE

    Uzi maalumu wa kuelezea uongo kutoka kwa waganga

    Nitasema ukweli daima,Salamu kwangu Mwiko! Sijajua kama wapo waganga wa Kweli kama tunavyoaminishwa ama laa! Miaka fulani wakati najitafuta kama kijana,hali ya maisha ilikuwa ngumu sana,katika kujichanganya na wana mitaani nikakutana na mwana mmoja huko mkoani akaniaminisha ya kwamba kuna...
  4. BARD AI

    Leo ni kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Ben Saanane, unakumbuka nini kutoka kwake?

    Siku chache kabla ya kupotea katika mazingira yasiyoelezeka, kada wa CHADEMA, Ben Saanane alifanya mambo mengi kama mawasiliano yake binafsi na pia ya chama chake. Hata hivyo, kati ya mawasiliano hakuna kilichosaidia kung’amua ni katika mazingira gani mwanasiasa huyo kijana alipotea na yuko...
  5. Damaso

    Mfahamu Pata Seca: Kutoka kuwa Mbebesha Mimba mpaka Alama ya Ukombozi

    Habarini Wanajukwaa! Uzalishaji wa watumwa ulikuwa ni jambo la kawaida sana kutokea haswa kuanzia miaka ya 1619, jambo hili lililotokea huko Marekani, ambapo wamiliki wa watumwa wangezalisha Waafrika waliokuwa watumwa kwa madhumuni ya kuongeza thamani yao ya kiuchumi kama sehemu ya utendaji wa...
  6. polokwane

    Hili la nauli Serikali iliangalie upya yaani ongezeko la Tsh 15,000/ kweli!? Nauli kutoka 38,000 hadi 53,000 jamani kweli!? Mbona mmekuwa wabinafsi?

    Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo? Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo kuwa unasafiri kwa elfu 10 saihiz ni elfu 15 sehemu uliyo safiri kwa 40,000 sasa hivi ni 55,000, hivi...
  7. C

    My Gx110 produces a loud clunk sound when i shift to drive(D) and reverse-R i need solution

    I have Grand mark ii gx110 produces a loud clunk when I shift from parking to reverse and drive , I have changed all the rear bushing and CV cross joint but still the problem persist I need your help please
  8. Chachu Ombara

    CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  9. CalifNice

    INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

    Kwa yeyote mwenye kuhitaji Fridge yenye nafasi kubwa ya kuweka vitu na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu kwa matumizi nafuu ya umeme basi anitafute kupitia namba hii 0673 17 5000 Bei yake ni Tsh 850,000 Napatikana Kigamboni Dar es Salaam
  10. Influenza

    India yaonesha nia ya kupata Duma kutoka Kenya, siku chache baada ya kuipa mkopo wa Ksh. Bilioni 38

    Serikali ya India imeonyesha nia ya kupata duma kutoka Kenya wakati wa ziara ya Kiserikali ya Rais William Ruto katika taifa hilo la Asia. Kama ilivyoripotiwa na The Indian Express, Wizara ya Mazingira ya India tayari imewasilisha pendekezo hilo lakini maelezo kuhusu idadi ya duma walioombwa...
  11. Melki Wamatukio

    Hivi ni kweli nchi yetu inakosa vifaa vya kutabiri matetemeko ya ardhi na volkano kutoka milimani?

    Aisee, ni uzembe wa hali ya juu sana. Mamlaka ya hali ya hewa ndiyo taasisi pekee iliyotakiwa kuongezwa nguvu na kuwezeshwa kipesa kwa kuwa ndiyo ambayo hushikilia uhai wa watu na wanyama kwa ujumla. Inasikitisha sana. Mpaka inafikia hatua Mlima Hanang unaleta madhara makubwa kwa watu na...
  12. ajent45

    Hela zangu hazitaki kutoka kwenye Tigo lipa

    Habari za jioni, Aisee tangu jana laini yangu ya tigo lipa haikubali kuhamisha pesa zilizopo kwenye laini ya tigo ya wakala sasa kuna laki saba na ushee na pesa haitaki kuhama mara naambiwa network error, inajicancel tu au inasema huduma hii haipatikani kwa sasa Dah mtaji wenyewe wa kuunga...
  13. Uhakika Bro

    Msaada: Tafsiri ya shairi zuri kutoka katika lugha ya kisukuma kuwa kiswahili

    Ndugu zangu kuna Msukuma anakijua vizuri zaidi basi please: Umo wing'we anambeleje kutafsiri Lugano lwenulu na mambo gose du. Tusaidiane tafadhali wasukuma. Nitumie tafsiri yake kupitia 0734189022 tafadhali The DEDE legend: Sukuma tradition ""Lugano lwa DEDE, lwa kabili: Dede 1 Kimala...
  14. S

    Wakati nikiwa mchunga ng'ombe Hanang nilifanikiwa kujua kumbe mlima Hanang una kitambi

    Katika hatua za ukuaji wangu nikiwa mdogo zamani! Nilibahatika kupata kazi ya kuchunga ng'ombe huko wilaya ya Hanang! Nikiwa huko porini nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana yakiwemo mbinu za kulinda mifugo, madawa za mitishamba ya binadam, ishara ya mmea kuashilia matukio ya njaa au hatari...
  15. T

    Honeymoon for Men & Women, dawa ya kuongeza nguvu za kiume ya Viagra iliyojificha kwenye jina la dawa za Asili kutoka Uturuki

    Wakuu, habari za muda. Kuna hii dawa inaitwa Honeymoon for Men & Women. Ni Vifurushi vya asali ambavyo unapewa unatakiwa umeze kimoja baada ya siku 3. Nimeambiwa kabla ya hapo ilikua ni vidonge, sasa wameboresha wamevileta kama asali. Kwa nini nimejua hii dawa. Ni hivi, hivi karibuni...
  16. R

    Kwanini hakuna salam wala msaada kutoka nchi zinazotuzunguka kuhusu janga lililotokea huko Katesh Manyara?

    Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu. Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu? Lakini pia hakuna...
  17. Ghost MVP

    Umewahi kupata maumivu kutoka kwa mtu uliyewekeza muda, upendo na imani yako kwake?

    Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu. Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu...
  18. S

    niunganisheni na pis kali kutoka Eastern Tanzania

    Hellow J F Mimi ni mwenyeji wa Musoma hukoo ndani ndani nimesoma sifa nyingi nzuri na nyingine hasi kutoka kwa mabinti wa Kaskazini mwa Tanzania, ila kwangu napenda changamoto niunganisheni na binti mrembo yeyote awe M'mbulu, Iraq, Chagga & so. awe mrefu kiasi, mweupe yani ile rangi yenyewe...
  19. buzitata

    Haya ndio yanayotukera kutoka kwa vijana waliozaliwa miaka ya 90s

    Hapa nazungumzia hiki kizazi ambacho Kwa sasa ni vijana na wamezaliwa Miaka ya 90. Hawa vijana kiukweli wanakera sana Kwa matendo yao japo Wana mazuri lakini mazuri yao sio mengi kama mabaya yao Yafuatayo ndio yanayotukela kutoka Kwa hiki kizazi. 1. Wengi wao ni wavivu Inashangaza sana kuona...
Back
Top Bottom