INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

CalifNice

Member
Mar 28, 2012
78
28
Kwa yeyote mwenye kuhitaji Fridge yenye nafasi kubwa ya kuweka vitu na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu kwa matumizi nafuu ya umeme basi anitafute kupitia namba hii
0673 17 5000
Bei yake ni Tsh 850,000
Napatikana Kigamboni
Dar es Salaam

IMG-20231207-WA0001.jpg
IMG-20231207-WA0000.jpg
IMG-20231207-WA0002.jpg
 
850k au umechanganga bei mkuu? Unajua bei ya fridge ukubwa huo dukani?
 
Teknolojia imesogea sana hilo jokofu linaonekana ni la 1990s mwishoni au 2000s mwanzoni kumuuzia mtu 850K ni uwongo.

Mimi ninayo Hisence model 2011 nililinunua 2013 nimeliweka mnada kwa fundi nataka 300K tu lakini wateja wanalitolea mbavuni wakiisikia hiyo offer hata kupatana hawataki na lipo vizuri sana kimuonekano.

Ushauri:rekebisha hiyo bei.
 
Kama unalitaka piga sim mkuu
 
Khaaa. We jamaa wewe. Sio Bora mtu aongeze laki Moja akachukue fridge mpya kubwa kushinda hiyo Tena Ina water dispenser kabisa
 
Back
Top Bottom