Uzi maalumu wa kuelezea uongo kutoka kwa waganga

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Nitasema ukweli daima,Salamu kwangu Mwiko!

Sijajua kama wapo waganga wa Kweli kama tunavyoaminishwa ama laa!

Miaka fulani wakati najitafuta kama kijana,hali ya maisha ilikuwa ngumu sana,katika kujichanganya na wana mitaani nikakutana na mwana mmoja huko mkoani akaniaminisha ya kwamba kuna mtaalamu mmoja huyo ni noma na watu wengi wamefanikiwa kupata maisha kutoka kwake!

Ok!,nikamwambia mshikaji kama vipi anipeleke ili na mimi aweze kunitatulia changamoto zangu.

Tulipofika kwa huyo mtaalamu ukafika muda wa kupigiwa ramli chonganishi!,Mle ndani nikabaki mimi na yule mtaalamu!

Yule mtaalamu baada ya kupiga Ramli zake akaanza kuniambia eti "Bodaboda wenzio wanakuroga pale kijiweni hivyo wanataka kukuangamiza" 😂😂

Nilishangaa sana moyoni kwasababu sijawahi kuwa dereva wa Bodaboda tangu nizaliwe, kwakuwa sikutaka kumkatisha tamaa ikabidi niwe naitikia kama vile ni kweli mimi ni Bodaboda!

Baada ya hapo nilimpa hela na niliumia sana kutoa ile hela,na akanipatia dawa akawa amenielekeza namna ya kuzitumia!

Wakati tunarudi tukiwa njiani, yule mshikaji aliyenipeleka kwake akawa anamsifia sana yule mganga huku akiniuliza kama yote niliyotabiriwa ilikuwa kweli? Sikutaka kumkata jamaa asije akajisikia vibaya nikawa namwambia kila kitu nilichokuwa naambiwa kilikuwa sahihi!

Zile dawa nilipofika nilizitupilia mbali kabisa!

Tangu miaka hiyo sijawahi na sitokuja kumwamini mtu anayejiita Mganga kwasababu wote ni matapeli!
 
Afadhali udanganywe tu na mganga yaishe.
Waganga wengi wake zao walionao leo walikuwa wateja wao.
Ukienda kwa mganga jiandae kwa lolote hata kutyoombw@@ na kuliwa jicho kwa mpigo.
Mnaopenda kwenda kwa waganga jiandaeni kisaikolojia.
 
Nitasema ukweli daima,Salamu kwangu Mwiko!

Sijajua kama wapo waganga wa Kweli kama tunavyoaminishwa ama laa!

Miaka fulani wakati najitafuta kama kijana,hali ya maisha ilikuwa ngumu sana,katika kujichanganya na wana mitaani nikakutana na mwana mmoja huko mkoani akaniaminisha ya kwamba kuna mtaalamu mmoja huyo ni noma na watu wengi wamefanikiwa kupata maisha kutoka kwake!

Ok!,nikamwambia mshikaji kama vipi anipeleke ili na mimi aweze kunitatulia changamoto zangu.

Tulipofika kwa huyo mtaalamu ukafika muda wa kupigiwa ramli chonganishi!,Mle ndani nikabaki mimi na yule mtaalamu!

Yule mtaalamu baada ya kupiga Ramli zake akaanza kuniambia eti "Bodaboda wenzio wanakuroga pale kijiweni hivyo wanataka kukuangamiza" 😂😂

Nilishangaa sana moyoni kwasababu sijawahi kuwa dereva wa Bodaboda tangu nizaliwe, kwakuwa sikutaka kumkatisha tamaa ikabidi niwe naitikia kama vile ni kweli mimi ni Bodaboda!

Baada ya hapo nilimpa hela na niliumia sana kutoa ile hela,na akanipatia dawa akawa amenielekeza namna ya kuzitumia!

Wakati tunarudi tukiwa njiani, yule mshikaji aliyenipeleka kwake akawa anamsifia sana yule mganga huku akiniuliza kama yote niliyotabiriwa ilikuwa kweli? Sikutaka kumkata jamaa asije akajisikia vibaya nikawa namwambia kila kitu nilichokuwa naambiwa kilikuwa sahihi!

Zile dawa nilipofika nilizitupilia mbali kabisa!

Tangu miaka hiyo sijawahi na sitokuja kumwamini mtu anayejiita Mganga kwasababu wote ni matapeli!
Huyo mganga alikuwa wa wapi?

Isijekuwa mganga wa buguruni huyo.
 
2014.Niko Kahama mara moja ,kazi yangu kubwa kutombanisha mijusi tu.Kuna jamaa aliibiwa pikipiki SanLg mpyaaa.Baada ya heka heka akaamua kwenda kwa mganga.Mganga akampa madawa akamuambia kajipakeni kwenye macho then mtege hospitali ya wilaya pale.Manina tulikaa kuanzia saa 12 asubuhi na madawa yetu machoni mpaka tatu usiku holaa.Kurudi kwa mganga akaambiwa amekosea location,tukalitege tena soko la mkulima.Kuanzia saa 11 asubuhi mpaka saa 5 usiku na madawa yetu machoni ,pikipiki zinapita mikweche tu.Yule mganga nishai sana .
 
Hapa mlipigwa na kitu kizito.. aliwaona malofa 😄 🤣
 
Waganga wa kweli nenda Bush ndani ndani kuna waganga nguli huko sio huku town hata miti ya Dawa hakuna unalishwa tu mamichoro au Mavi ya kenge, ushahidi ninao kuna jamaa katumia nguvu za kiganga kutoboa na katoboa mganga alimtoa Bush huko akaja nae town kaloga weee wiki nzima analoga tu kila njiapanda fanya sana mambo meusi na mekundu na nasema kaloga sababu kuna mambo ya kiganga alikua anayafanya hayana tofauti na kulogaloga, sasa hivi maisha mseleleko

Wale wa kufuatana PM sitaki mje PM simjui mganga alipo Ila namjua jamaa alietoboa kupitia mganga na huyo jamaa sio Mimi na hata mkisema niwapeleke mumuulize alipo mganga sitaki pia
 
mbonaa unajihami mapema mkuu ,wape vijana connection
 
Back
Top Bottom