Honeymoon for Men & Women, dawa ya kuongeza nguvu za kiume ya Viagra iliyojificha kwenye jina la dawa za Asili kutoka Uturuki

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,464
17,303
Wakuu, habari za muda.

Kuna hii dawa inaitwa Honeymoon for Men & Women.

Ni Vifurushi vya asali ambavyo unapewa unatakiwa umeze kimoja baada ya siku 3.

Nimeambiwa kabla ya hapo ilikua ni vidonge, sasa wameboresha wamevileta kama asali.

Kwa nini nimejua hii dawa. Ni hivi, hivi karibuni nimetokea ku underperform kwa mpenzi wangu hadi kufanya nijisikie vibaya sana.

Mpenzi wangu hatukua tumeonana kama mwezi, so kwa expectations zake na zangu ilikua tukikutana ni shoo shoo, shoo ya kufa mtu. Ajabu tulipokutana nikapiga kamoja tena dakika 3 halafu mashine ikagoma kusimama, akafanya juu chini kuisimamisha inadimama kidogo inalala, kidogo inalala.

Hilo jambo likatokea kwa siku 2 mfululizo. Haikuishia hapo, tukapishana tena kwa muda wa wiki 2, tulipokutana hali ikawa vile vile. Kumbuka in between hapo naendelea kupiga show zangu za mtaani kama kawaida bila tatizo lolote, najipigia watoto wazuri bila shida, ila ikifikia yeye mxigo haiunuki baada ya goli la kwanza.

Hali hiyo ikanisosonesha sana, nikalazimika kuuliza wadau nafanyaje kupambana na hii aibu, ndio mdau mmoja ataka anipe suluhisho la hilo tatizo langu, nikasema sawa wacha nijaribu.

Nikaambiwa kuna dawa ya asili ya kigiriki, inaitwa Honeymoon for Men and Women. Inauzwa 150k. Mzee nikatuma pesa ikaletwa. Nilifanya hivyo ili nipate temporary solution kwani weekend nilikua nakutana na mpenzi wangu kwa ajili ya shoo.

Wakuu dawa ikaletwa, nikameza kapakti kamoja ka asali na kunywa maji mengi sana kama nilivyoelekezwa, nikasubiri nusu saa kama nilivyoelekezwa, nusu saa ikapita hakuna kitu, saa ikafika mashine imelala tu.

Baada ya saa 1 na nusu akaja yule mpenzi wangu. Tukaanza maandalizi, sioni maajabu yoyote, nikapiga goli la kwanza kawaida kama vile hua napiga, mzigo ukalala, tukapiga stori nyingi, baada ya lisaa hivi mzigo ukainuka wenyewe, nikaoiga show yangu kama kawaida yangu ambayo hua napiga, mzigo ukalala tena, nbaada ya muda nikarudia cha tatu na mechi ikaishia hapo.

Sasa hii dawa niliambiwa ukimeza nikimeza mshine haitalala, ni mwanzo mwisho naweza kupiga hata goli 5 haijalala, sijaona tofauti yoyote.

Leo nikaamua nijielimishe zaidi kuhusu hii dawa ndio nikaiona mtandaoni ikiwa na onyo kutoka shirika la madawa na chakula la Marekani kwamba ni Viagra iliyojificha kwenye jina la dawa za asili na watu wakatahadharishwa kuitumia.

So wakuu, mjihadhari na haya madawa yanayoitwa ya asili, ni Viagra. Kichwa kinaniuma toka juzi na nimeambiwa ni madhara ya viagra.

images (2).jpeg
 
 
Kwahyo RunguBeshi lako linachagua Mbususu za kuzichakata Mkuu, ukiwa kwa mamanzi wa Street fresh ila kwa Babe wako inalala.

Unatatizo la Rungubeshi acha kujitetea Mkuu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom