Hela zangu hazitaki kutoka kwenye Tigo lipa

ajent45

Senior Member
Mar 20, 2017
158
162
Habari za jioni,

Aisee tangu jana laini yangu ya tigo lipa haikubali kuhamisha pesa zilizopo kwenye laini ya tigo ya wakala sasa kuna laki saba na ushee na pesa haitaki kuhama mara naambiwa network error, inajicancel tu au inasema huduma hii haipatikani kwa sasa Dah mtaji wenyewe wa kuunga unga millioni chache tu na laki saba inakwama sehemu nimemaindi sijui cha kufanya naomba ushauri wakuu nifanye nini hapa
 
Back
Top Bottom