Kuongeza nauli ya daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600 ni kuishusha thamani Tsh 500

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,333
8,252
Katika jambo ambalo nimeshangaa ni hili la kuongeza nauli za daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600.

Maana yake ni kwamba sarafu moja pekee ya Tsh haiwezi kulipia nauli ya daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine. Si hivyo tu kutumia sarafu ya Tsh 500 kwenye nauli inapunguza kuombaomba chenji.

Hili swala halipo sawa viongozi tuwe tunawaza kabla ya kuanzisha vitu, mbona tumeishusha thamani Tsh 500 kiasi hicho? Ilitakiwa miatano iwe nauli ya kulipia mpaka mwisho wa kituo bila kujali umbali.

Ukienda nchi ya China, unazunguka na basi mpaka mwisho wa kituo kwa Tsh 330 - 360 tu, unalipia sarafu ya RMB 1 tu.
 
20231209_135117.jpg
 
Just today nimemsikia konda akisema yaani saa ivi kwa makondakta sh 100 inadili kuliko mia500 maana mtu akiwa na pesa yake akiongeza na mia anarahisisha chenji. Kwa hiyo akapropose bora nauli iende buku au ibaki mia5
 
Thamani ya pesa ya Tanzania ipo Chini kitambo tu Mkuu.

LIPA NAULI ACHA KULALAMIKA

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
SHda mmepandisha week mbili nauli week nyingine mbili mafuta yameshuka sasa hapa faida hamwoni anayeipata ni mwenye chombo?
 
Hizi mada zinadhihirisha upumbavu wa watanzania. Nauli zimepandishwa na LATRA karibu mwezi mzima umepita na zimeanza kutumika juzi. Sasa ndiyo kuna majinga ndiyo yanaanza kujadili.

Mxiuuuuuu!!! Majitu kama haya yalikuwa bize kujadili ngono, umbea na stori za Simba na Yanga.
 
Hongera kwa mawazo mazuri mkuu
 
Katika jambo ambalo nimeshangaa ni hili la kuongeza nauli za daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600.

Maana yake ni kwamba sarafu moja pekee ya Tsh haiwezi kulipia nauli ya daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine. Si hivyo tu kutumia sarafu ya Tsh 500 kwenye nauli inapunguza kuombaomba chenji.

Hili swala halipo sawa viongozi tuwe tunawaza kabla ya kuanzisha vitu, mbona tumeishusha thamani Tsh 500 kiasi hicho? Ilitakiwa miatano iwe nauli ya kulipia mpaka mwisho wa kituo bila kujali umbali.

Ukienda nchi ya China, unazunguka na basi mpaka mwisho wa kituo kwa Tsh 330 - 360 tu, unalipia sarafu ya RMB 1 tu.
Uache kulinganisha China na nchi zenye uchumi wa ajabu, parcel tu yenye uzito wa maana kwenye ndege ni kuanzia $2 mpaka $5 na hiyo parcel itaenda kwa ndege, lkn nisikilizie hapa Bongo.
 
Soon watalazimika kutengeneza sarafu ya tsh 1000 kama tsh 50 ilivyopoteza thamani kwani hakuna cha kununua chenye thamani ya tsh 50.
 
Katika jambo ambalo nimeshangaa ni hili la kuongeza nauli za daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600.

Maana yake ni kwamba sarafu moja pekee ya Tsh haiwezi kulipia nauli ya daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine. Si hivyo tu kutumia sarafu ya Tsh 500 kwenye nauli inapunguza kuombaomba chenji.

Hili swala halipo sawa viongozi tuwe tunawaza kabla ya kuanzisha vitu, mbona tumeishusha thamani Tsh 500 kiasi hicho? Ilitakiwa miatano iwe nauli ya kulipia mpaka mwisho wa kituo bila kujali umbali.

Ukienda nchi ya China, unazunguka na basi mpaka mwisho wa kituo kwa Tsh 330 - 360 tu, unalipia sarafu ya RMB 1 tu.
Seen
 
Back
Top Bottom