kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan. Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, Wakristo wataruhusiwa kusherekea Sikukuu ya Pasaka Jumapili huko Zanzibar? Je, endapo watasherehekea watakamatwa kwa kula mchana?

    Kuna msuguano wa fikra mitandaoni kuhusu Katazo la kula mchana adharani huko Zanzibar kipindi hiki cha Mfungo. Lakini kwa wenzetu wakristo jumapili ni Sikukuu ya Pasaka na naamini Zanzibar kuna wakristo wengi ambao wanajiandaa kusherekea Sikukuu hiyo. Je, Katazo la kula adharani linawahusu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kula vyuma hivyo usherekee sikukuu vizuri

    Ukipata ukifanikiwa usisite kunibless ata ya soda basi dah! Wana mna roho ngumu haki ya nani! 😂👇👇
  4. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani. Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
  5. safuher

    JamiiForums Tanzania Sijaona andiko la Uislamu linalokataza kula mbele ya mtu aliyefunga

    Tukiwa tuna siku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga. My take Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga. Dhambi ipo kwa mtu ambaye...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kiimani Ijumaa Kuu Tunakatazwa Kula Nyama..Hii ina maana kubwa sana Kwa Mnyama SIMBA

    Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu. Mwisho wa Kunukuuu. Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama.. Ujumbe huu upokeeni😂😂
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu fanyeni mazoezi acheni kula chips yai

    Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo). Hivyo vitambi waachieni wake zenu. Mazoezi kwa afya bora.
  9. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mchina ahukumiwa kifo kwa kosa la kumuua mpenzi wake

    A Chinese man, Frank Geng-Quangrong has been sentenced to death for the murder of his 22-year-old girlfriend in Nigeria. he actually killed the lady because he spent a huge amount of money on her, he claim to buy her a car,house open a business for her in Abuja and at the end of the day she...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

    tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba : Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo...
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Kupangiwa muda wa kula ni utumwa

    Utumwa ni hali ya kutumikishwa na kunyang'anywa hiari yako. Utumwa mbaya ni ule wa kifikra, ambapo mtu mmoja au kundi la watu linawaburuza kiasi watacho. Kupangiwa muda wa kula iwe kazini kwako au popote pale huo ni utumwa. Jikwamue na utafute uhuru wako wa mwili na fikra.
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kula Mkeka kwa Muhindi

    ChatGPT ina akili Vizuri kweli?
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je, Shujaa Magufuli angekubali kula wali wenye virutubisho!?

    Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama...
  15. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

    Kichwa cha habari chahusika naomba mwenye ratiba ya mwezi mzima ya muda wa kufuturu na kula daku alfajir kwa kanda hii ya Shinyanga. Nafanya kazi ya uchimbaji porini huku hakuna kanisa wala msikiti hakuna hata adhana.
  16. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hii imetokea katika shule ya Sekondari Kilolo iliyopo katika Kijiji cha Luganga, kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Tukio hilo limetokea jana. Wanafunzi 7 wa kiislam waliokuwa wamefunga kwenye mfungo wa Ramadhani wamekumbana na kadhia ya kutapika na kuharisha kunakoelezwa kunatokana...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

    Najua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!! --- Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo...
  18. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania KWELI Msongo wa Mawazo (Stress) husababisha mtu kula sana na hatimaye kuongezeka uzito

    Je, ni kweli kuwa watu wenye stress hula sana na matokeo yake huwasababishia uzito kupita kiasi?
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi ambao hatuna ndoto za kuoa sio husband material kabisa japo wengi wetu tuna maokoto ya kula bata

    Mimi Wadiz nawasalimu na hapa chini ni ujumbe wangu kwenu wenye kupangia watu maisha. Wanawake wanatakiwa kujua sisi wanaume ambao hatutaki kuoa hatuna sifa ya husband material kabisa. Ndiomana wengi wetu pia hatutaki single mothers kwa sababu hatutaki kubeba majukumu ya wengine. Sisi...
  20. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania KWELI Ni hatari kiafya kulala muda mfupi baada ya kula

    Haya mambo yasikie tu, watoto wetu siku za shule huwa wanalazimishwa kulala tu punde wamalizapo kula. Hii ni hatari kwa mujibu wa tafiti za afya. Uelewa mdogo na kutojali kwa wazazi kunaweza kupelekea watoto wetu kupata madhara hapo mbeleni. Kulala mara baada ya kula ni kitendo ambacho...
Back
Top Bottom