Nigeria: Mchina ahukumiwa kifo kwa kosa la kumuua mpenzi wake

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,694
A Chinese man, Frank Geng-Quangrong has been sentenced to death for the murder of his 22-year-old girlfriend in Nigeria.

he actually killed the lady because he spent a huge amount of money on her, he claim to buy her a car,house open a business for her in Abuja and at the end of the day she wanted to opt out.

though he claimed she was the one that wanted to stab him but he collected the knife from her and stabbed her.

I think this might be a story the lawyer cooked to prove self defense, My point is as a lady if you'll not marry don't spend his money.


IMG_20240326_165650.jpg
IMG_20240326_165653.jpg


Source Authentic of OAU, Africa facts zone
 
Maskini mdada alimfanya danga huku anakibaby chake ki HB chakumuuoaa sasa kumbe ndo aliyatimba
 
Shida hawa dada zetu wakionaga ngozi nyeupe wanaona mtelezo tu,,,,,wazungu wamewazoesha vibaya watawahonga, kikubwa wataishia kuwaomba marinda tu ila hii side B mchina pesa yake chungu sio mzungu huyo
 
Amekula hela ya Mchina, kamchuna vya kutosha, sasa anataka atumie pesa na handsome wake.
 
Shida hawa dada zetu wakionaga ngozi nyeupe wanaona mtelezo tu,,,,,wazungu wamewazoesha vibaya watawahonga, kikubwa wataishia kuwaomba marinda tu ila hii side B mchina pesa yake chungu sio mzungu huyo

Anashindwa kutulia akaolewa na wa imani yake, Muislamu kuolewa na asiekua Muislamu ni kujitafutia matatizo tu, wapi ndoa itakua na barka!
 
Dah huyu mchina nahisi alijiandaa,.kufanya hivyo mana kabla ya tukio alienda akavaa t shirt iliyoandikwa just do it....
 
Niliiona hii kule NairalandForum
Mchina kafanya unyama sana.
Demu kauliwa/kachinjwa kinyama sana...damu kila sehemu ndani ya nyumba.

Ila na sie wanawake tukomage.
Hata nami ningekuwa mwanaume nisingekubali
 
Back
Top Bottom