Wanaume wengi ambao hatuna ndoto za kuoa sio husband material kabisa japo wengi wetu tuna maokoto ya kula bata

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,413
11,061
Mimi Wadiz nawasalimu na hapa chini ni ujumbe wangu kwenu wenye kupangia watu maisha.

Wanawake wanatakiwa kujua sisi wanaume ambao hatutaki kuoa hatuna sifa ya husband material kabisa.

Ndiomana wengi wetu pia hatutaki single mothers kwa sababu hatutaki kubeba majukumu ya wengine.

Sisi wakataa kuoa tunataka 50-50 chako changu changu chako. Ndiomana kwanza hatutaki wanawake ombaomba sisi hisia zetu za mapenzi sio kama za hao mateka wengine.

Hata tukiwa na hao single mothers story za watoto hatutaki kusikia sijui ada, sijui utumbo gani.

Sisi tunawaza dili za maokoto tu na kujua viwanja vipya, kujenga frame za kupangisha, tunawekeza kwenye saloon Kali za kiume, tupo kwenye kilimo, tupo kwenye pembejeo, tupo kwenye maduka ya hardware.

Pia sisi baadhi yetu ambao ni wana CCM tunachsngia sana mawazo na michango pesa kwenye maendeleo ya chama chetu yaani CCM.

Siwezi kuwaza kukijenga chama na pia nikawaza kuhusu kuoa hilo sahau. Sina ndoto ya kuhama CCM hivyo kuhusu kuoa haitatokea.

Wapinzani sio maadui wangu na napenda mawazo mbadala Tanzania ni yetu sote.

Kwa hio hata mnaopambania kuoa nyie ni ndugu zetu kila mtu aishi kwa kuchagua na kupanga ndio maisha. yake.

Enzi za ujamaa wa kijinga umeishia.

Narudia tena sisi mabaharia wakataa kuoa sio husband material kabisa. Kipaji chetu tulio wengi ni kutafuta maokoto na kujenga uchumi wa nchi hasa kipaumbele cha uwekezaji.

Ni hayo tu.

Wadiz
 
Mliooa pambaneni na ma-stress yenu kimpango wenu.

Msiforce kila mtu aone. Mbona mnahangaika sana na wasiooa??

Kipi mnachokipata kwenye ndoa ambacho sisi hatukipati?? Kipi??

Labda stress!!
 
Sisi tumekataa ndoa
Ndoa ni ujangili😂

Ndoa ni siasa

Ndoa ni ukatili

Ndoa ni pango la wezi na wanyang’anyi
 
Kwenye suala la kula maisha role model wangu ni Comrade Lemutuz, nilikua naielewa sana lifestyle ya mwamba, muda wangu wa mapumziko huwa najitahidi kuishi maisha yale minus mapicha
 
Back
Top Bottom