Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza kuniongelea majibu ya kijinga

Akawa ananipa kashfa juu ya kashifa kwamba kufunga utafunga wewe? Aisee nilichukia bwana nikampiga kofi mbili na ngumi akaanguka chini na kuzimia pale pale aisee nimechanganyikiwa hapa na ukizingatia mtu mwenyewe niliyempiga ni mwanamke daaah najuta sana aisee😩😩😩😩
 
Kwa kumpiga, umefanya dhambi na kupoteza thawabu yoyote itokanayo na mfungo wako.
 
Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza kuniongelea majibu ya kijinga

Akawa ananipa kashfa juu ya kashifa kwamba kufunga utafunga wewe? Aisee nilichukia bwana nikampiga kofi mbili na ngumi akaanguka chini na kuzimia pale pale aisee nimechanganyikiwa hapa na ukizingatia mtu mwenyewe niliyempiga ni mwanamke daaah najuta sana aisee😩😩😩😩
Kushinda njaa wengi tunashinda
 
Wewe haujafunga, wanaofunga hawasemi na ni wavumilivu kwa wengine. Wewe umebadirisha ratiba ya kula chakula tu, maana wanaofunga hawapigani na hawana hasira za aina hiyo. Kukataa kula uamue mwenyewe halafu upige wanaokula. Shida kweli kweli
 
Ishia hapohapo kwa huyo uliyempiga. Una kichaa ukiendelea na tabia hiyo ya uendawazimu utaumizwa kwa kupigwa na wewe. Sasa kama mtu anakula mbele yako ina athari gani kwako uliyofunga kama si ukichaa? Kwanza fahamu kuwa unajitaabisha kwa njaa bure wala mungu hatambui funga hiyo ya kipuuzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom