Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
Tukiwa tuna siku kadhaa tokea mfungo uanze nimejaribu kukutana na changamoto kadhaa kwa baadhi ya watu wakikereka na watu wanaokula mbele yao huku wakiwa hawajafunga.
My take
Sijaona andiko linaloashiria kuonesha kwamba ni vibaya kula mbele ya mtu aliyefunga.
Dhambi ipo kwa mtu ambaye...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili
Akitoa...
Niajee wakuu,
Mazoezi ni muhimu sana.
Shauri yenu!!!
Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi.
Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo).
Hivyo vitambi waachieni wake zenu.
Mazoezi kwa afya bora.
A Chinese man, Frank Geng-Quangrong has been sentenced to death for the murder of his 22-year-old girlfriend in Nigeria.
he actually killed the lady because he spent a huge amount of money on her, he claim to buy her a car,house open a business for her in Abuja and at the end of the day she...
tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba :
Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo...
Utumwa ni hali ya kutumikishwa na kunyang'anywa hiari yako.
Utumwa mbaya ni ule wa kifikra, ambapo mtu mmoja au kundi la watu linawaburuza kiasi watacho.
Kupangiwa muda wa kula iwe kazini kwako au popote pale huo ni utumwa.
Jikwamue na utafute uhuru wako wa mwili na fikra.
Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza...
Mama kaenda Marekani kaja na wali wenye virutubisho, Tanzania yenye ardhi yenye rutuba asilimia 80 mvua inayonyesha na maji yanayotiririka masaa 24, Tanzania yenye amani isiyo na vita, Tanzania ilitolelewa kijamaa iliyolima mashamba ya Ujamaa kuvuna mavuno ya kutosheleza, leo tumefanywa kama...
Kichwa cha habari chahusika naomba mwenye ratiba ya mwezi mzima ya muda wa kufuturu na kula daku alfajir kwa kanda hii ya Shinyanga.
Nafanya kazi ya uchimbaji porini huku hakuna kanisa wala msikiti hakuna hata adhana.
Hii imetokea katika shule ya Sekondari Kilolo iliyopo katika Kijiji cha Luganga, kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa.
Tukio hilo limetokea jana. Wanafunzi 7 wa kiislam waliokuwa wamefunga kwenye mfungo wa Ramadhani wamekumbana na kadhia ya kutapika na kuharisha kunakoelezwa kunatokana...
Najua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!!
---
Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo...
Mimi Wadiz nawasalimu na hapa chini ni ujumbe wangu kwenu wenye kupangia watu maisha.
Wanawake wanatakiwa kujua sisi wanaume ambao hatutaki kuoa hatuna sifa ya husband material kabisa.
Ndiomana wengi wetu pia hatutaki single mothers kwa sababu hatutaki kubeba majukumu ya wengine.
Sisi...
Haya mambo yasikie tu, watoto wetu siku za shule huwa wanalazimishwa kulala tu punde wamalizapo kula. Hii ni hatari kwa mujibu wa tafiti za afya. Uelewa mdogo na kutojali kwa wazazi kunaweza kupelekea watoto wetu kupata madhara hapo mbeleni.
Kulala mara baada ya kula ni kitendo ambacho...
Unafahamu kuwa unashauriwa kula matunda Nusu saa kabla ya kula chakula au mlo kamili, Kula matunda kwa muda huo unaweza saidia mwili wa binadamu kwa njia tofauti.
Kula matunda kabla ya chakula kunaweza kusaidia kujiandaa kwa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula kwa ajili ya chakula kinachokuja, hivyo...
Hivi ndivyo vichekesho ambavyo vinapatikana Bongo.
Prof. wa kwenye media, professor Janabi siku moja nilimsikia anasema kuwa kama unavaa nguo yenye kiuno size 37 wewe ni mgonjwa. Inamaana huyu Prof. hajui kuwa kuna watu naturally wana maumbo makubwa?
Kama mwili wako una umbo dogo ukinenepa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.