Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

kipumbwi

JF-Expert Member
Feb 3, 2015
3,057
8,724
Najua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!!
---

1710516234569.png

Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo haikupikwa vizuri ikaiva.

Mwanaume huyo wa miaka 52 alimtembelea daktari wake baada ya kulalamika maumivu makali ya kichwa ya mara kwa mara.

Na baada ya vipimo ilionekana kuwa kuna mayai ya minyoo kwenye ubongo wake.

Madaktari wanaamini kuwa mwanamume huyo,alipata minyoo kwa kula nyama ya nguruwe ambayo haijaiva vizuri.

BBC Swahili
 
Back
Top Bottom