Wanaume wenzangu fanyeni mazoezi acheni kula chips yai

Red black

JF-Expert Member
Nov 29, 2019
2,356
5,730
Niajee wakuu,

Mazoezi ni muhimu sana.

Shauri yenu!!!

Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi.

Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo).

Hivyo vitambi waachieni wake zenu.

Mazoezi kwa afya bora.
 
Niajee wakuu,

Mazoezi ni muhimu sana.

Shauri yenu!!!

Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi,ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi.

Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo).

Hivyo vitambi na big ass waachieni wake zenu.

Mazoezi kwa afya bora.
ndio maana sikuizi wote tunasingiziwa ati hatuna pumzi na haatuwezi tena kusimamia ncha za vidole mahali flani kama zamani 🐒
 
Niajee wakuu,

Mazoezi ni muhimu sana.

Shauri yenu!!!

Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi,ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi.

Achaneni na chips yai wazee pigeni tiz(mazoezi ya viungo).

Hivyo vitambi na big ass waachieni wake zenu.

Mazoezi kwa afya bora.
Upo sahihi sana mkuu...kuangalia sana porn na kuwaza sana ngono ni matokeo yanayosababishwa sana na kutofanya mazoezi
 
Naunga mkono uzi, ila Mkuu kiepe yai upate na mirinda bariiidi kwa mara moja moja sio dhambi.

Kuna kiepe fulani hivi hakikauki kipo teketeke yai halijaungua, aisee acha kabisa Mkuu, na ka kuku choma nusu kidari mixer ukwaju. Piga mambo Chifu.

Uzuri kiepe yai kinakubaliana hadi na bia.

Au upate ndizi mzuzu zikaangwe fresh na hako ka nusu kuku, usisahau ukwaju mixer mayonize iwe American Gadern. Aisee acha utani chifu.

Kila siku tupigilie misumari tu au makande!!?, hapana bhana.

Oyaa Wakuu kiepe tupige na matizi kwa kubalance, au sioo!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom