Kiimani Ijumaa Kuu Tunakatazwa Kula Nyama..Hii ina maana kubwa sana Kwa Mnyama SIMBA

Ila kupiga vyombo inakubaliwa
GJiqsqUa4AEGsLi.jpeg
 
🔹 Simba anacheza siku ya ijumaa kuu siku ya majonzj ( Kumbukumbu ya KIFO Cha Kristu)

🔹 Simba wanaocheza na mafarao waliohusika kuwatesa waizrael ( Babu za Kristu kiubinadamu)

🔹YANGA wanacheza siku ya Jumamosi ( siku ambayo usiku wake Kristu atafutuka) Ni siku ya furaha na kufuta majonzj yaliyotokea siku ya ijumaa kuu

🔹 Hivyo Simba wajiandae na kilio na YANGA wajiandae na furaha
 
na kwa wasoma nyota wanasema heruf Y ina maana ya ARIS na kipindi chake cha bahati ni 23 march -April hao mamelod wajiandeee.
 
Pumba kabisa mkatoliki gani unalinganisha mambo matakatifu ya Kiimani na masuala ya Giza la ushirikina .
Inakuwaje unakuwa Mshabiki Mpaka unakuwa kipofu wa ukweli .
 
Kwa sisi wakatoliki imeandikwa usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu.
Mwisho wa Kunukuuu.

Na tunajua Mnyama hua anakula Nyama..

Ujumbe huu upokeeni😂😂
Kikanisa siku inaanza saa 12 jioni siku iliyotangulia na kumalizika saa 12 siku yenyewe, mfano: ijumaa kuu inaanza saa 12 alhamis na kumalizika ijumaa saa 12 jioni. Ndipo pia inapokuja hesabu ya mkesha wa pasaka (baada ya saa 12 jioni siku jmos adhimisho la pasaka linaanza kwa sababu jumapili tayari ishaingia) kuwa siku ya tatu toka ijumaa kuu wakati kwa hesabu za kawaida ni siku mbili, hivyo kama mnyama atakua amefunga kula nyama siku ya ijumaa kuu inayomalizika saa 12 jioni, saa 3 usiku ambayo kikanisa ni jmos anaruhusiwa kuwinda na kula nyama kama kawaida....kila la kheri kwa mnyama ktk mawindo yake kimataifa.
 
🔹 Simba anacheza siku ya ijumaa kuu siku ya majonzj ( Kumbukumbu ya KIFO Cha Kristu)

🔹 Simba wanaocheza na mafarao waliohusika kuwatesa waizrael ( Babu za Kristu kiubinadamu)

🔹YANGA wanacheza siku ya Jumamosi ( siku ambayo usiku wake Kristu atafutuka) Ni siku ya furaha na kufuta majonzj yaliyotokea siku ya ijumaa kuu

🔹 Hivyo Simba wajiandae na kilio na YANGA wajiandae na furaha
Aaahaaa
 
mechi ya simba ni jumamosi.
mechi ya yanga ni jumapili.
mbona hamuelewi aaarrgh
 
Yesu Kristo anasema Mnaangamia kwa Kutokujua maandiko.

Mi wapi Biblia inasema Msile Nyama siku ya Ijumaa???

Hata maana ya Pasaka Hamuijui

DUNIA IMEJAA WAKRISTO FEKI.
WAKRISTO WA KWELI NI WACHACHE MNO.
 
🔹 Simba anacheza siku ya ijumaa kuu siku ya majonzj ( Kumbukumbu ya KIFO Cha Kristu)

🔹 Simba wanaocheza na mafarao waliohusika kuwatesa waizrael ( Babu za Kristu kiubinadamu)

🔹YANGA wanacheza siku ya Jumamosi ( siku ambayo usiku wake Kristu atafutuka) Ni siku ya furaha na kufuta majonzj yaliyotokea siku ya ijumaa kuu

🔹 Hivyo Simba wajiandae na kilio na YANGA wajiandae na furaha
kristu hajawah kuwepo duniani ...ila kristo
 
Yesu Kristo anasema Mnaangamia kwa Kutokujua maandiko.

Mi wapi Biblia inasema Msile Nyama siku ya Ijumaa???

Hata maana ya Pasaka Hamuijui

DUNIA IMEJAA WAKRISTO FEKI.
WAKRISTO WA KWELI NI WACHACHE MNO.

Katoliki ndo 'Sheria Ya Dunia' , Wewe ukishaambiwa Usile hiki au kile Siku Fulani ni Kutekeleza tu kama Jeshini...!

Utakuja kueleweshwa baadae... Usiwe mbishi..
na utaelewa kidogo kidogo..sio Lzm kuelewa kwa Mkupuo..!
 
Back
Top Bottom