Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 16,897
- 25,914
Ukisafiri toka DAr kwenda mkoa ukapita Kituo cha Kibaha Stendi na Pale Picha ya Ndege utaletewa Chips.
Je, hizi ni chips au unga wa ngano umewekewa rangi na nyanya chungu?
Msamvu je?
Je, hizi ni chips au unga wa ngano umewekewa rangi na nyanya chungu?
Msamvu je?