Nafurahia sana kula vyakula vilivyo chemshwa!!

Nafurahia sana kula vyakula vilivyo chemshwa!!

Bhakusyobhile

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
73
Reaction score
216
Kwa nini watu wengi wanaamini vyakula vilivyo tiwa viungo vingi na nakshi mbalimbali ndio vyakula vitamu hadi kufikia kumsifu mpishi kuwa anajua kupika??Je viungo ni vya lazima sana kwenye mapishi?mbona Mimi naona viungo vinapoteza ladha halisi ya chakula husika??na hapa ndipo ninapoona anaepika kwa kutumia viungo vingi ndie asiyejua kupika,na yule anaepika kutunza ladha halisi bila viungo(au viungo kidooogo) ndie mpishi bora.Unaweza ukasikia watu wakisifia mgahawa flani wakidai wapishi wa mgahawa huo wanajua kupika ni professional"LAKINI nikijaribu kwenda kununua chakula hapo,nagundua wamejaza maviungo mengi na kupelekea chakula kuwa na ladha ya ajabu!!naishia tu kujilaumu kwa kupoteza pesa yangu then naona bora chakula kile ningelikipika mimi mwenyewe ningelifaidi ladha yake.,,mfano viazi vitamu,mihogo vikichemshwa vinaladhabyake madhubuti isiyokuwa na mfano,LAKINI anakuja mtu anaanza kukaanga nakuweka viungo, tayari anakuwa amepoteza uhalisia wa ladha malidhawa ya viazi/mihogo..R.I.P bibi yangu nakimiss sana kwa chakula ulichokuwa unatupikia wajukuu zako😭😭😭
 
Back
Top Bottom