kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

    Situmii pombe, Situmii sigara. Situmii kitimoto Sio mtu wa wanawake Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu. Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
  2. jooohs

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya kula bata Igunga (Tabora)

    Habarini ndugu. Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri . Natanguliza shukran.
  3. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kula vyakula vilevile kila siku

    Kila siku nimekuwa nikila vitu kwenye mzunguko uleule Wali Pilau Nyama za ng'ombe na kitimoto (za kukaanga, kuchoma & kuungwa na nyanya) Samaki (kuunga na nyanya & wa kukaanga) Mayai (kukaanga na kuchemsha) Tambi Mboga za majani za kuunga na nyanya Dagaa (same, kukaanga na kuunga) Kuku (wa...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kula hizi chipsi, tupeni uzoefu

    Ukisafiri toka DAr kwenda mkoa ukapita Kituo cha Kibaha Stendi na Pale Picha ya Ndege utaletewa Chips. Je, hizi ni chips au unga wa ngano umewekewa rangi na nyanya chungu? Msamvu je?
  5. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Mtanzania akijipata ni kuringishia kwa kula

    Nyie mliojipata acheni sifa za kijinga za kujiposti na misosi kwenye mitandao ya kijamii. Hali ya maisha sasa hivi kwa wengi ni ngumu chakula ni shida halafu kwa maksudi mnaturingishia hiyo misosi. Unakuta ni kuposti tu unafakamia minyama. Kuna mantiki gani kuwadharau wenye njaa? Kuna haja...
  6. Back N days

    JamiiForums Tanzania Kula utumbo kama ni kitu imenishinda

    Huwa nawashangaa sana watu wanakula utumbo wa ng'ombe mbuzi na wanyama wengine . Hivi mnawezaje wakuu kula utumbo kwanza huwa una kishombo fulani hivi huwa sikielewi yani unaweza tapika ila kuna watu husema aaah utumbo ni mtamu kuliko nyama yakawaida. Utumbo sio kitu cha kula kabsa wakuu ile...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mtoto wa miaka miwili afariki kwa kula nepi

    Tukio la kusikitisha limeripotiwa kutoka katika Jimbo la Indiana Nchini Marekani ambapo Mtoto wa miaka miwili amefariki dunia kutokana na hali mbaya ya malezi na ukosefu mkubwa wa chakula Nyumbani kwao, taarifa za awali zinaeleza kuwa Wazazi walikuwa wakiwanyima chakula Watoto wao hali...
  8. Mwezeshaji1

    JamiiForums Tanzania Kwanini unapambana? Hela ya kula tu au una JAMBO linaloiambia nafsi "usilete ujinga, kaza"

    Eti mwana jamii forum, ipi ndio sababu hauna mchezo, wala lelemama na utafutaji🤔? Binafsi: sina hamu na UMASIKINI
  9. hamis77

    JamiiForums Tanzania Iran kuanza kula kipondo muda wowote kuanzia sasa

    Nukuu Kuu za JD Vance (Islamabad, Pakistan): Aprili 12, 2026 asubuhi na mapema. Kuhusu Msimamo wa Iran: "Tumekaa nao usiku kucha, tukiwapa nafasi ya wazi ya kurejesha amani na utulivu katika eneo hilo. Lakini viongozi wa Iran wamechagua njia nyingine. Wamechagua kutokubali masharti yetu...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Spy X wengi wamejiuliza kwanini mchezaji wake wa kike Anya hupenda sana kula karanga. Na Anya akiri kupenda karanga zaidi kuliko karoti

    https://www.youtube.com/watch?v=wuuDdOeI--k "X Spy Family" ni filamu nzuri ya watoto na ina mhusika mkuu mmoja aitwae Anya ambae katika vyakula vyote avipendavo huwa hakosi Karanga. Haijulikani hadi leo sababu kubwa ya Anya kupenda mno kitafunwa hicho maarufu cha karanga. Jana nilimwona mmoja...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umejiandaa kupika au kula nini Idi hii?

    Imezoeleka siku za siku kuu watu hula pilau, biriani, chipsi kwa familia nyingi, siku ya sikukuu harufu za vyakula hushabiiana kwa nyumba nyingi kwani wengi hula vyakula vya aina moja. Ni kama tumekosa ubunigu hivi wa kuonesha utofauti kwenye siku muhimu kama siku za sherehe na sikukuu. Hebu...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

    CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima. Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

    Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed. Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Watoto wanasoma mpaka Saa 11 Jioni bila kula Wilayani ya Karagwe, hilo si jambo jema

    Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika. Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana. Katika kufatilia...
  16. Inside10

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

    Wakuu Hii Video Sijui Ya Lini Nimekutana Nayo Mtandaoni.. https://www.instagram.com/reel/DVmBxopCM-5/?igsh=Nnp2amUycTVub3Ax
  17. M

    JamiiForums Tanzania Said Issa Mohammed: Heche tuheshimiane, siwezi kula nguruwe mimi

    Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohammed amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche @hechejohn kumheshimu na kutokutoa lugha zisizo sahihi dhidi yake ikiwemo ya kuwa ‘akazie swaum kwa kula nguruwe'. Akieleza kuwa yeye ni muislam na ulaji wa nguruwe kwa misingi...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanaruhusiwa (HALAL) kula FISI NA MIJUSI. Lakini Nguruwe ni kharamu

    Waislamu tunaruhusiwa kula FISI na MIJUSI hao ni HALAL kabisa Hadithi inayoelezea hivyo ni riwaya ya Sayyidina Jabir ibn Abdullah (RA) kuhusu uwindaji na kula fisi, na ipo katika makusanyo ya hadithi ya Kiislamu. Muhtasari wa tukio Sayyidina Ibn Ammar (RA) alimwuliza Jabir ibn Abdullah (RA)...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha kutekwa na kuuawa

    Pia soma ~ Jeshi la Polisi lasema linafanya uchunguzi kifo cha Mfanyabiashara Banjoo wa Arusha
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

    Mimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena. Tuache unafiki hakuna...
Back
Top Bottom