kula

Kula - kitendo cha kuingiza kitu kinywani (hasa chakula) kwa lengo la kupoza njaa
  1. Logikos

    JamiiForums Tanzania Janga wachume wao, Kula tule Sisi !!!

    Hata wahenga walisema mchuma janga hula na wakwao na sio mchuma Janga hupelekea wengine wakale...; Ni mengi yalikuwa yakitokea na tuliyaona tangia kitambo; Impunity, Ufisadi, Ufujaji na sio tu kutokujua kula na vipofu bali watu walikuwa mpaka wanawatemea mate let alone kutokuwashika mkono...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kazini kuna kazi, Hili ndondo linafyekwa kwa umoja

    Wamefanya kosa moja tu la kiufundi, shoo kama hizi hazihitaji VIJIKO,
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mababa Askofu msiwajibu Masheikh wanaotumikia mfumo, waoneeni huruma maana kula yao inatokana na wao kutumika

    Mababa Askofu. Nakuandikieni barua hii kuwaombeni kuwa msihadaike, msishawishike na wala msiingie msukumo wa kujibishana na masheikh wanaotoa matamko ya kuwashambulia. Hao masheikh wengi wanaowashambulia ni masheikh wa mfumo, wapo kimkakati, wapo kazini. 1. Kazi ya Masheikh hao ni kutumika...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania John Heche kusitisha kula kuanzia leo akiwa mahabusu

    Katibu wa familia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, ametoa taarifa kuhusu hali ya kaka yake, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ambaye kwa siku 13 sasa amekuwa mikononi mwa Jeshi la Polisi, katika mahabusu ya Mtumba, Dodoma. Kupitia taarifa hiyo...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wameua Watanganyika. Sasa hawawazi waliowaua wala Uchumi wa Tanganyika, wanawaza kugawana Madaraka ili waendelee kula.

    Haya ndo yanayozungumzwa na Propaganda machinery yao Kigogo. Hawa watu hawawazi Watanganyika waliowaua, hawawqzi uchumi wao waliousimamisha. Wanachowaza ni kugawana vyeo na Madaraka ili waendelee kuila Tanganyika. Nawahakikishia. Kwa ushenzi mlioufanya mwaka huu jueni tu Revolution wont be...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Una uhakika wa kula maisha yako yote na ukoo wako wote, bado tu ung'ang'ania cheo ili iweje?

    Panaugumu gani mtu kuachia nafasi kwa sababu ya kuogopa nafsi zinazopotea kwa ajiri yako? Unajua kabisa wewe ni waziri wa mambo ya ndani, lakini kinachofanyika kwenye wizara unayoiongoza ni laana tupu ya maisha yako yoote Licha ya watu wengi kuishi maisha ya dhuluma na hata kutesa na kuuwa...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Bodaboda Arusha wapo 'Lokapu' wakituhumiwa kula hela za kempeni za chama cha Siasa

    VIONGOZI watatu wa Umoja wa Bodaboda Jiji la Arusha (UBOJA) akiwemo Mwenyekiti wao Costantine Okelo, Katibu Hakimu Msemo, na mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Hemedi maarufu kama Osama, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa zaidi ya wiki moja wakikabiliwa na tuhuma za kula fedha...
  8. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku naye analinda kula yake kupitia MNF pale Rotana Johari Buildings amesahau matamko yake amelipwa Trilioni ngapi Watz M60 tumchangie?

    Kwa kifupi tu Andrew Nyerere mwenye Ubini na ihalali wa yale majengo alishamaliza kila kitu na ndiyo maana familia ya ndani ya Baba wa Taifa wapo kimya. Butiku asitake kula matapishi yake tuko imara kwa data aliwahi kuiponza Taasisi ya TPO leo anaona maslahi ya wanaye ni bora kuliko Taifa hafai...
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Elfu 30 yangu nimeitunza kabisa ya kula siku tano mfulilizo

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sisi ambao ni mpaka uingie mjini ndo upate hela ya kula yaan usipoingia mjini basi huli, huwa mda mwingi ni waoga sana. Baada ya leo kupata habari kwamba Tesha katikisa nchi kama ilivyokuwa imetapakaa huko mtaan, nikaenda kwa wadeni wangu...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kula yako ipoje? huwa unakula unachokiona au mpaka ujiandae kiakili

    Kwa mfano kwa Sisi wapenda pombe huwa kula yetu ni ya Kiasi tunamfuata Janabi, sasa Mimi binafsi ukiniamsha asubuhi ukanishtukiza eti kula supu ya kuku hii hapa aisee huwa siwezi. Mimi napenda niamke asubuhi nianze kujiandaa na kutafakari nini Leo samaki au utumbo ndizo au majani ya maboga au...
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kama Kuna Dawa Inachoma Mafuta Mwilini Basi Usiache Kuyala

    Katika ulimwengu wa sasa, ambapo uzito wa mwili unachukuliwa kuwa changamoto kubwa kwa wengi, ni kawaida kuona matangazo mengi ya dawa au virutubisho vinavyodai kuchoma mafuta mwilini kwa haraka. Hata hivyo, ukweli wa kisayansi ni kwamba hakuna dawa yoyote ya kienyeji au ya viwandani inaweza...
  12. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Nitafurahi nikisikia bi tukinao kagoma kula ugali. ( code o5 )

    Salaam?? Code o5 , Jamani chakula cha hapa duniani ni kitamu sana. ..... Mda flan walimgomea injinia asile ugali wakampa chakula kingine. Yani japo yawezekana waliona chakula kingine ndo kitam kuliko ugali ila mimi naona injinia walimkatili kwakumzuia kula ugali... Sasa leo natamani sana by...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kula chuma hio:Nobody 2

    Bonge moja dude 2025 bwana hucth kaenda vacation kula bata na familia yake kaenda kuchokozwa na mamafia wa ki Russia wakamgusia familia yake kaona msinitanie ngoja niwashangaze kwa kuwapelekea moto.sio ya kukosa mazee
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama una Stress zako tafadhali Kula Chuma hiki ziondoke

    Kudadadeki.............. Shikamooni Wakongo.
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbungwa: Ngoma ya Mashetani na wenye mapepo. Kula Chuma hicho.

    MBUNGWA: NGOMA YA MASHETANI NA WENYE MAPEPO. KULA CHUMA HICHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Narudisha miaka yangu nyuma kidogo. Kumbukumbu zinanichukua na kunipeleka kwa kasi kisha zinapunguza mwendo kwa kasi, polepole naanza kuyaona matukio ya mwaka mpaka mwaka kuanzia miaka ya 1995 mpaka...
  16. Mributz

    JamiiForums Tanzania App gani ya mikopo play store napata hela ya kula leo

    Wataalamu wa mikopo jaman nipeni app ya kupata hela chap
  17. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi wa kula tunda kimasihara uwekwe kwenye dashboard ya mmu watu tupone

    Ndugu zangu.. Jukwaa la MMU lilitukisika sana na kupamba moto kupitia uzi wa kula tunda kimasihara ulio letwa na akili kubwa rikiboy miaka kadhaa ilopita na kufanya jukwaa hili kupata muamsho mkubwa sana Cc Moderator na active, ni maombi yangu kwako huu uzi uwekwe kwenye dashboard pale tuu...
  18. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenzangu huwa mnawezaje kula viporo?

    Siko hapa kumbeza yeyote, ila kuna kitu mimi binafsi kimenishinda kabisa katika maisha yangu. Huwa naona na kusikia watu wanasifu kiporo cha wali maharage au wali kisamvu na chai ya maziwa eti ni kitamu sana. Mimi binafsi toka nikiwa mdogo chakula chochote kilicholala huwa siwezi kukila,yani...
  19. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ahukumiwa kwa kula nauli ya mwanaume, Nigeria

    Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer...
  20. kadiri kasimba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 7 jela Kwa kula nauli ya mwanaume!

    Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume 30,000 ambayo alitumiwa na mwanaume Emmanuel kisha hakwenda kwa mwanamume huyo. Mwanamke huyo alishtakiwa na mwanaume ambae alituma nauli hiyo kwa kusema...
Back
Top Bottom